Ili kuepusha foleni za ajabu ajabu, kwanini Rais Samia na wenzake wasiwe wanatumia Helikopta?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?

Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.

Tumechoka aisee!
 
Hizo foleni za kijinga kwa nini Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka airport hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?!

Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.

Tumechoka aisee!
Hapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.
 
Kushauri rais atumie helikopta kunakuwa vipi chuki kwa rais?
 
Kwani foleni si za kijinga?

Kushauri rais atumie helikopta kuepuka foleni za kijinga kunakuwa vipi chuki kwa rais?
Kiranga soma vzr nilishosema naona unabeba jukumu inconsistent!! Nilisema ashaur mfumo wa utawala na sio kutaja Samia cz haya c ya leo wala jana!! Kuna mamb ya kumuangushia jumba bovu Samia lkn sio hili!!
 
Hapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.
Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....

Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
 
Kiranga soma vzr nilishosema naona unabeba jukumu inconsistent!! Nilisema ashaur mfumo wa utawala na sio kutaja Samia cz haya c ya leo wala jana!! Kuna mamb ya kumuangushia jumba bovu Samia lkn sio hili!!
Kwa nini asimlaumu Samia?

Kwani Samia haoni hili tatizo?

Tatizo lililokuwapo tangu siku nyingi lisitatuliwe leo kwa sababu ni la siku nyingi?

Unajua Samia ndiye mkuu wa mfumo wote wa utawala, na lawama za mfumo wote wa utawala zinaishia kwake?

Unajua maana ya "The Buck Stops With The President"?
 
Akianza kutumia helicopter mtaanza kusema anatumia gharama kubwa,hamkawii kusema tunanyonywa!.. by the way sidhani kama ni salama zaidi kutumia helicopter Kila mara kwa cheo chake it's keeping her life near crocodile mouth....
 
Sema suala jingine, lakini si gharama.

Ukipiga mahesabu ya kiuchumi productivity inayopotea kwa watu kusubiri msafara wa rais upite ni kubwa sana, hiyo gharama ya msafara wa helikopta ni ndogo sana ukiilinganisha na gharama ya productivity ya maelfu wa watu wanaokwama kwenye foleni.
 
Kiranga, angalia heading... Folen za kijinga, Hujui kusoma context na kumuelewa mtu?
Ujinga siyo tusi ewe mjinga, na acha kuuanika ujinga wako kijinga!

Na, tumechoka na foleni za kijinga zinazoratibiwa kijinga na wajinga wenziyo ewe mjinga.

Suluhu ya hizo foleni za kijinga ni hao wanao ratibu waache ujinga ili waratibu ki uwerevu hizo safari za ..... wenziyo.
 
Sema suala jingine, lakini si gharama.

Ukipiga mahesabu ya kiuchumi productivity inayopotea kwa watu kusubiri msafara wa rais upite ni kubwa sana, hiyo gharama ya msafara wa helikopta ni ndogo sana ukiilinganisha na gharama ya productivity ya maelfu wa watu wanaokwama kwenye foleni.
Tabu itakuwa kwenye usalama wake...
 
Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....

Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Alafu amejivika u-ccm. Kama vyama vya upinzani wanatumia ajenda ya kupandikiza chuki za dini na ukabila wanafeli sana.
 
Back
Top Bottom