Kwa hivyo wewe umekubali kubweteka kuwa less advanced?
Wahindi hawa nao walikuwa kama sisi.
Wametswsliwa na Waingereza kama sisi, mpaka mwaka 1948.
Lakini hawakubweteka na kusema "USA wako more advanved" na kuishia hapo.
Wameona USA wanafanya space exploration mwezini, wamejipanga.
Wameweka mikakati ya miaka mingi kujiongeza.
Juzi wamerusha spacecraft kwenda mwezini, kwa gharama ndogo sana relatively, US $75 million.
Sisi bado tunalialia USA wako more advanved katika safari za helikopta za rais mjini tu?
Nchi ya watu milioni zaidi ya 60.
Hamuoni hata aibu kusema hivyo jamani?
Yani kupeleka watu mwezini tumeshindwa, tutasema USA is more advanved.
Kumsafirisha rais mmoja tu mjini kwa helikopta nayo tunasema USA is more advanved?