Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.Hizo foleni za kijinga kwa nini Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka airport hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?!
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Watumie helkopitaHapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.
Kushauri rais atumie helikopta kunakuwa vipi chuki kwa rais?Hapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.
Huyo ni chawa. Once a chawa always a chawa to no matter what.Kushauri rais atumie helikopta kunakuwa vipi chuki kwa rais?
Nisaidie kushangaa ndugu!Kushauri rais atumie helikopta kunakuwa vipi chuki kwa rais?
Kiranga, angalia heading... Folen za kijinga, Hujui kusoma context na kumuelewa mtu?Kushauri rais atumie helikopta kunakuwa vipi chuki kwa rais?
Kwani foleni si za kijinga?Kiranga, angalia heading... Folen za kijinga, Hujui kusoma context na kumuelewa mtu?
Kiranga soma vzr nilishosema naona unabeba jukumu inconsistent!! Nilisema ashaur mfumo wa utawala na sio kutaja Samia cz haya c ya leo wala jana!! Kuna mamb ya kumuangushia jumba bovu Samia lkn sio hili!!Kwani foleni si za kijinga?
Kushauri rais atumie helikopta kuepuka foleni za kijinga kunakuwa vipi chuki kwa rais?
Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..Hapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.
Kwa nini asimlaumu Samia?Kiranga soma vzr nilishosema naona unabeba jukumu inconsistent!! Nilisema ashaur mfumo wa utawala na sio kutaja Samia cz haya c ya leo wala jana!! Kuna mamb ya kumuangushia jumba bovu Samia lkn sio hili!!
Sema suala jingine, lakini si gharama.Akianza kutumia helicopter mtaanza kusema anatumia gharama kubwa,hamkawii kusema tunanyonywa!.. by the way sidhani kama ni salama zaidi kutumia helicopter Kila mara kwa cheo chake it's keeping her life near crocodile mouth....
Ujinga siyo tusi ewe mjinga, na acha kuuanika ujinga wako kijinga!Kiranga, angalia heading... Folen za kijinga, Hujui kusoma context na kumuelewa mtu?
Tabu itakuwa kwenye usalama wake...Sema suala jingine, lakini si gharama.
Ukipiga mahesabu ya kiuchumi productivity inayopotea kwa watu kusubiri msafara wa rais upite ni kubwa sana, hiyo gharama ya msafara wa helikopta ni ndogo sana ukiilinganisha na gharama ya productivity ya maelfu wa watu wanaokwama kwenye foleni.
Usalama is debatable, lakini marais wanatumia helikopta all these years.Tabu itakuwa kwenye usalama wake...
Alafu amejivika u-ccm. Kama vyama vya upinzani wanatumia ajenda ya kupandikiza chuki za dini na ukabila wanafeli sana.Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....
Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Sio Kila mara ndugu.. pima na level za nchi ktk ulinzi wa aina fulani kwaajili ya usalama mi sishauri atumie helicopter! Just for emergencyUsalama is debatable, lakini marais wanatumia helikopta all these years.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app