Ili kuepusha foleni za ajabu ajabu, kwanini Rais Samia na wenzake wasiwe wanatumia Helikopta?

Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....

Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Sifia na wewe waislamu wenziyo, hujakatazwa bwana IS.
 
Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....

Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Mkuu,

Mbona unatoka kwenye kujadili hoja, unakwenda kumshutumu mtoa hoja kwa ad hominem attack?

Surely, even a broken clock can be right twice a day, no?

Tujadili hoja, kumjadili mtu ni kama tumeshindwa kujadili hoja.
 
Alafu amejivika u-ccm. Kama vyama vya upinzani wanatumia ajenda ya kupandikiza chuki za dini na ukabila wanafeli sana.
Kuna agenda ya udini kwenye andiko hili ewe mtoka pabaya?! Kuna dini inaitwa foleni siku hizi?!
 
Kwann iwe kwa Samia na sio waliopita? Ndio hoja yang, huu utaratib umekua kero kwa kila awamu, jukumu la lawama wapelekewe security system cz wao ndio hupanga utaratib wa kiusalama!!! NB; Makosa ya tangu zaman mpaka sasa asilaumiwe Samia!!! Over!
 
Achana na huyo mjinga, ni mpuuzi!

Kipindi cha Magufuli alikuwa akimpinga kwa sababu ya dini sasa akili yake ilivyooza kila anaye mpinga bi chaunabe anahisi ni kwa sababu ya dini yake kama alivyo kuwa akifanya yeye.

Kingine, jamaa ana tabia za kinoko noko. Namaanisha ni MNOKO FULANI HIVI!
 
Sio Kila mara ndugu.. pima na level za nchi ktk ulinzi wa aina fulani kwaajili ya usalama mi sishauri atumie helicopter! Just for emergency
Kama nchi inashindwa kudhibiti usalama wa rais wake kutumia helikopta, kwa safari fupi za mjini, basi haina haki ya kuwa nchi na kujitawala.

Kama unashindwa kudhibiti usalama wa mtu mmoja kutumia helikopta kwa safari fupi za mjini, utaweza vipi kulinda usalama wa nchi nzima yenye mamilioni ya watu?

Hspa sababu kubwa ni juwa rsis anataka aonekane tu, kwenye helikopta haonekani vizuri.
 
Ni dhana potofu kudhani eti Rais kutumia helkopta ni kuhatarisha usalama wake marais kibao wanatumia hizo helkopta miaka na miaka nothing bad happened.kuna modern chops kibao ambazo zitamfanya mama afike Magogoni safe kabisa
 
Sasa mtu kutoa ushauri ni chuki? Alieturoga ngozi nyeusi atuhurumie
 
Gharama ya Kumpata Rais mwingine ni Bora tuchelewe kwenye Foleni.
 
Huwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....

Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Tena wewe Ostadhi ndio mdini wa kutupwa sasa kadrinali kaingiaje hapa kwenye foleni?
 
Gharama ya Kumpata Rais mwingine ni Bora tuchelewe kwenye Foleni.
Ume assume kwamba usafiri wa helikopta utasababisha tulazimike kumpata rais mwingine.

Marais wa Marekani wanatumia helikopta inaitwa Marine One all the time.

Wanatumia kutoka Airport ya Andrews Air Force Base kwenda White House, kutoka White House kwenda Camp David, and back. Mara nyingi sana.

Na hakuna rais wa Marekani aliyekufa kwenye ajali ya helikopta.
 
Watu tunafikiria tofauti...😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…