Sasa wakitumia kata upepo ma vx atapanda nani mtaonaje ana ulinzi mkali hela za walipa kodi zitalikajeHizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Tungefikiria sawa tusingehitaji JF.Watu tunafikiria tofauti...[emoji28]
Kuna watu wanamdharau sana Rais Samia,yaani wanaona kama vile haoni foleni zinazoweza kuepukika.Eti usimseme Samia,laumu utawala.Rais mwenyewe ni sehemu ya hao watawala,sioni shida kumsema yeye pia.Kwa nini asimlaumu Samia?
Kwani Samia haoni hili tatizo?
Tatizo lilokuwapo tangu siku nyingi lisitatuliwe leo kwa sababu ni la siku nyingi?
Unajua Samia ndiye mkuu wa mfumo wote wa utawala, na lawama za mfumo wote wa utawala zinaishia kwake?
Unajua maana ya "The Buck Stops With The President"?
Yani wanamdharau rais, halafu katika akili zao wao wanaona ndiyo wanamtetea rais hapo!Kuna watu wanamdharau sana Rais Samia,yaani wanaona kama vile haoni foleni zinazoweza kuepukika.Eti usimseme Samia,laumu utawala.Rais mwenyewe ni sehemu ya hao watawala,sioni shida kumsema yeye pia.
Better go and ask them, by the way do not compare us and TZ .Tungefikiria sawa tusingehitaji JF.
Unakuja JF kufanya nini kama fikra zetu wote sawa?
Back to the topic.
Kwa nini marais wa Tanzania wanapenda kuwawekea watu foleni kubwa na hawapendi kutumia helikopta na kuondoa hizi foleni na hata kuokoa muda wao wenyewe?
Marais wa US mara nyingi wanatumia helikopta kutoka White House mpaka airport ya Andrews Air Force Base, au kwenda Camp David na kurudi White House.
Kwa nini sisi hatufanyi hivyo?
Dar Airport mpaka Ikulu si safari ndefu hivyo kwa mfano.
How do you know they are not here?Better go and ask them, by the way do not compare us and TZ .
Nilifikiri kumjua mtu vizuri kunasaidia kumuelewa?Mkuu,
Mbona unatoka kwenye kujadili hoja, unakwenda kumshutumu mtoa hoja kwa ad hominem attack?
Surely, even a broken clock can be right twice a day, no?
Tujadili hoja, kumjadili mtu ni kama tumeshindwa kujadili hoja.
USA wako more Advanced, huwezi kuwa unatumia akili sawasawa ukalinganisha usafiri wa Rais wa USA na wa TZUme assume kwamba usafiri wa helikopta utasababisha tulazimike kumpata rais mwingine.
Marais wa Marekani wanatumia helikopta inaitwa Marine One all the time.
Wanatumia kutoka Airport ya Andrews Air Force Base kwenda White House, kutoka White House kwenda Camp David, and back. Mara nyingi sana.
Na hakuna rais wa Marekani aliyekufa kwenye ajali ya helikopta.
Your questions point on me, okay let them read and wait if they can answer..😂How do you know they are not here?
Why should I not compare the US with Tanzania?
Is the US some mythical heaven that does not exist on this earth?
Hapo kuna tatizo la kumuangalia mtu badala ya kuangalia hoja.Nilifikiri kumjua mtu vizuri kunasaidia kumuelewa?
Issa Shivji anapozungumza kuhusu chochote huwa anakuwa very clear kuwa yeye ana prefer serikali ifanye biashara kuanzia mabenki Hadi Bandari....hii inasaidia Sana kwenye mjadala unavyo evolve ...unajua kabisa msimamo wa mhusika...
Mkifika huko kwenye mkataba upi sahihi mnajua kabisa kuwa Fulani yeye tatizo lake wala sio mkataba ...hataki kabisa privatisation to begin with....
Hawa ambao ni "biased based on religion"... sometimes lazima uwezeshe wengine waweze kuwa "identify" just in case wasijifiche kwenye kichaka chochote...iwe foleni iwe privatisation....
Kwa hivyo wewe umekubali kubweteka kuwa less advanced?USA wako more Advanced, huwezi kuwa unatumia akili sawasawa ukalinganisha usafiri wa Rais wa USA na wa TZ
This is not as hard as you make it out to be.Your questions point on me, okay let them read and wait if they can answer..😂
Two different level bro!, it's going to take a while for us to be like us.. US is next level in terms of protecting their president.. also technically and intelligent.
Do you want our nyawawa to be taken down in just a minute...😂
Think twice bro.
Hujitambui kbs!! Unadhan Rais ndio anaamua kuhusu usalama wake? Mfumo wa kiusalama ndio hufany maamuz. Achana na mamb ya vijiwen, usifikir ukiwa Rais kila jambo unajiamulia tu!!Mkuu wa nchi ni nan? Watu weusi tumelaaniwa
Kwa hyo kwa sababu kipindi kilichonikiutaa ndio ynaifanya reference jamaa kaleta hoja ww unaandika tantariraHapa umeonyesha zaid chuki kwa Samia, sometimes huyu maza mnamchukia bila sababu. Issue ya foleni Rais kupita ni kawaida kwa wote, angalau hata awamu iliyopita kulikua na msururu wa magari hatar!! Hoja itolewe kushauri namna ya kupunguza folen pindi Rais akipita.
HV kumbe we Ni kiazi namna hiHuwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....
Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Alfu unajionaga una akili kumbe Ni debe tupu la mashuduNilifikiri kumjua mtu vizuri kunasaidia kumuelewa?
Issa Shivji anapozungumza kuhusu chochote huwa anakuwa very clear kuwa yeye ana prefer serikali ifanye biashara kuanzia mabenki Hadi Bandari....hii inasaidia Sana kwenye mjadala unavyo evolve ...unajua kabisa msimamo wa mhusika...
Mkifika huko kwenye mkataba upi sahihi mnajua kabisa kuwa Fulani yeye tatizo lake wala sio mkataba ...hataki kabisa privatisation to begin with....
Hawa ambao ni "biased based on religion"... sometimes lazima uwezeshe wengine waweze kuwa "identify" just in case wasijifiche kwenye kichaka chochote...iwe foleni iwe privatisation....
Kumbe na wewe uliifuatilia Chandrayaan 3?Kwa hivyo wewe umekubali kubweteka kuwa less advanced?
Wahindi hawa nao walikuwa kama sisi.
Wametswsliwa na Waingereza kama sisi, mpaka mwaka 1948.
Lakini hawakubweteka na kusema "USA wako more advanved" na kuishia hapo.
Wameona USA wanafanya space exploration mwezini, wamejipanga.
Wameweka mikakati ya miaka mingi kujiongeza.
Juzi wamerusha spacecraft kwenda mwezini, kwa gharama ndogo sana relatively, US $75 million.
Sisi bado tunalialia USA wako more advanved katika safari za helikopta za rais mjini tu?
Nchi ya watu milioni zaidi ya 60.
Hamuoni hata aibu kusema hivyo jamani?
Yani kupeleka watu mwezini tumeshindwa, tutasema USA is more advanved.
Kumsafirisha rais mmoja tu mjini kwa helikopta nayo tunasema USA is more advanved?