macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hata kutumia gari kusingekuwa shida kama wangesingekuwa wanamfanya rais kama mungu mtu. Wanasimamisha magari muda mrefu bila sababu. Nimeona nchi zilizoendelea wale polisi wenye pikipiki wanapishana pishana kutangalia mbele kwenda kuzuia magari kwenye junction tu wakati msafara unakaribia pale. Hii inafanya watu wasisubiri muda mrefu.Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Do you think it's safe if terrorist will attack the helicopter..?This is not as hard as you make it out to be.
It is more about lack of imaginatiin than anything else.
Otherwise, the president would not even be able to fly on a presidential plane.
What is so hard about installing a helipad at Ikulu and the airport, if we don't have one already, and designating special landing zones all over Dar?
If Mbowe and CHADEMA can use a helicopter to campaign successfully all over Tanzania, without using Ikulu's funds, why can't the president use a helicopter to get around Dar?
After all, presidents do use helicopters, so what is the difference between the times when they do use helicopters and when they don't?
Wewe ni kihiyo wa ubongo. Unataka kero isitatuliwe kero kwa sababu tu zilikuwepo siku za nyuma? Aisee ni hatari kweli kweli!Kwann iwe kwa Samia na sio waliopita? Ndio hoja yang, huu utaratib umekua kero kwa kila awamu, jukumu la lawama wapelekewe security system cz wao ndio hupanga utaratib wa kiusalama!!! NB; Makosa ya tangu zaman mpaka sasa asilaumiwe Samia!!! Over!
Atatumia helkopta 100 nini? Maana nijuavyo helkopta hazitapaswa kufika tatu. Hii tabia tuliipigia kelele sana wakati wa Magufuli maana ndio ilikuwa imekithiri, tena afadhali hata sasa. Wakati wa Magufuli barabara ilikuwa inafungwa hata masaa matatu kabla ya yeye kupita. Tabia ile ikaota mizizi hadi kwa viongozi wa chini. Na imeendelea hadi sasa, japo sio kwa vitisho kama wakati wa dhalimu.Akianza kutumia helicopter mtaanza kusema anatumia gharama kubwa,hamkawii kusema tunanyonywa!.. by the way sidhani kama ni salama zaidi kutumia helicopter Kila mara kwa cheo chake it's keeping her life near crocodile mouth....
Kiranga katika ubora wake. Umemvua nguo, lakini atachutama?Hapo kuna tatizo la kumuangalia mtu badala ya kuangalia hoja.
The logical fallacy is called ad hominem.
Kwa msimamo huo, wewe unaweza kupotoshwa kirahisi sana siku DP World wakijua kwamba Watanzania wanamuamini sana Issa Shivji kutokana na misimamo yake ya awali, wakamuhonga, akaja aka support DP World, na wewe kwa sababu unapenda kuangalia mtoa hoja, badala ya hoja, ukasema "Hata Issa Shivji kaikubali DP World, mimi ni nani niikatae?".
Unajiweka katika hali ya kukataa neno la kichaa, kwa sababu limesemwa na kichaa.
Siku kichaa atapata nafuu, labda kapewa dawa, atakwambia usipite njia hiyo kuna joka kubwa mbele hapo.
Wewe utasema huyu kichaa tu, maneno yake hayana msingi, hutataka hata kuhakiki maneno yale kama yanaweza kuwa ya kweli.
Utapita kwa mbwembwe zote njia ile na kugongwa na joka kali.
Tujadili hoja, tuache kujadili mtu.
Kama hoja ni mbovu, ipangue tu hoja huna haja ya kumsakama mtu.Hoja mbovu ni mbovu tu hata ikitolewa na nani, sasa kwa nini unaangalia mtu badala ya hoja?
Ukianza kumsakama mtu wakati hujajibu hoja, unaonekana kama umeshindwa kuijibu hoja, na sasa unakimbilia kumsakama mtoa hoja.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
KufaHizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Nimeifuatilia naona wa TZ wengi ama hawajui, ama wameipotezea tu.Kumbe na wewe uliifuatilia Chandrayaan 3?
Ulichokisema hapo hata mimi niliwaza hivyo hivyo.
Pamoja na matatizo yao mengi waliyonayo, kidogo kidogo India itakuja kuwa nchi iliyoendelea sana katika nyanja za kisayansi.
Wagalatia Wana chuki sanaHuwezi kumuelewa huyu Hadi upitie nyuzi zake zingine ..
Kuna nyuzi anamsafisha Philip Mpango...pitia ...halafu kuna nyuzi anampa pongezi Kardinali Rugambwa....
Huyu ana chuki za kidini...
Hatachukia foleni iwapo Rais angekuwa mkatoliki mwenzake
Usalama upi boss, watu wana exaggerate tu ili wapate impresst za kujazana kwenye misafara kwa kisingizio cha usalama.Tabu itakuwa kwenye usalama wake...
Terrorists can attack her motorcade, her jet, yet she uses these daily.Do you think it's safe if terrorist will attack the helicopter..?
Not that we can't,I think we are not mature enough!..
Our nyawawa can fly anytime but the problem it's about risk!.
Kindly you read people due to the way they are, in our country noise will rise immediately coz citizens thinks the using of nyawawa it's going to be a very bad cost of the year!.
Completely I say we are not yet big enough to risk our nyawawa...😅
Uko sahihi sana kwenye upande wa IT. Ukigoogle lolote kwa sasa wahindi ndio watoa msaada/maelekezo na kiingereza chao chenye accent ya kihindi.Nimeifuatilia naona wa TZ wengi ama hawajui, ama wameipotezea tu.
India wameshaipita UK kwa ukubwa wa uchumi sasa hivi, ingawa hiki kigezo pia kinaendana na wingi wao.
Kuna Wahindi wanakuja US kufanya kazi wanakaa kidogo wanasema India kuna fursa nzuri zaidi ya US kwa kazi zao, kwa uchumi wao ulipofika. Wanarudi India wengi sana sasa hivi.
Wenzetu waliona wanahitaji kujipanga kwenye tech muda mrefu, wakachukua hatua kuanzisha vyuo vingi sana, hususan vya IIT, tangu 1950s, sasa wanavuna walichopanda ukitaja ma CEO wa Microsoft, Google etc, unakuta wahindi kibao.
Sisi bado tunaendekeza habari za "US is more advanced" mpaka leo, mpaka kwenye kumsafirisha rais kwa helikopta Dar!
Hapa mwenyewe najiongeza mambo ya IT kuna kitabu cha muhindi nasoma, juzi nilikuwa naangalia video mambo hayohayo ilikuwa ya muhindi mwingine.Uko sahihi sana kwenye upande wa IT. Ukigoogle lolote kwa sasa wahindi ndio watoa msaada/maelekezo na kiingereza chao chenye accent ya kihindi.
Repeat my last sentence...Terrorists can attack her motorcade, her jet, yet she uses these daily.
What is your point?
What you are not getting is, this conversation is not about where we are, rather, it is about where we want to go.Repeat my last sentence...
Matumizi ya lugha huzingatia muktadha fulani, unaposema ashauri mfumo kwa muktadha wa nchi yetu rais huonekana ndo mfumo na wakati mwingine kuwa juu ya mfumo ndio maana katajwa kwa sababu yeye ndo mfumo wenyeweKiranga soma vzr nilishosema naona unabeba jukumu inconsistent!! Nilisema ashaur mfumo wa utawala na sio kutaja Samia cz haya c ya leo wala jana!! Kuna mamb ya kumuangushia jumba bovu Samia lkn sio hili!!
Nafikiri pia marais wanapenda kutanua barabarani watu wawaone.Usalama upi boss, watu wana exaggerate tu ili wapate impresst za kujazana kwenye misafara kwa kisingizio cha usalama.
Ni sehem ya system but sio in general! Pia hoja yang ililenga kukosoa tang awamu zilizopita ambazo mfumo wake ni huu huu uliopo, ikimaanisha kumshutum Samia only kweny issue ya foleni c saw!!Matumizi ya lugha huzingatia muktadha fulani, unaposema ashauri mfumo kwa muktadha wa nchi yetu rais huonekana ndo mfumo na wakati mwingine kuwa juu ya mfumo ndio maana katajwa kwa sababu yeye ndo mfumo wenyewe
Ni ushauri mzuri. Sijaelewa kwa nini Waheshimiwa Ma-Rais wa Afrika, kasoro Nyerere, huwa wakienda Ulaya hawajifunzi masuala mazuri, yenye tija na kuyatumia katika uendeshaji wa nchi zao. Utadhani hawa Ma-Rais hawajawahi kuwa raia wa kawaida. Misafara ya magari mengi, misafara yenye mbwembwe, misafara inayopoteza muda mwingi wa raia, raia wengine wakiwa watoa huduma za kufa au kupona, MTU wa kwanza kuelekeza kuwa wahusika watafute njia ya kuirekebisha misafara hiyo ni RAIS mwenyewe na si vinginevyo! Huchukuwa Rais mwenye MAONO na UUNGWANA kufikiria hivyo! Zidisheni maombi kwa Mwenyezi Mungu.Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Dah m nimecheka tu helkopitaHizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!