Wewe kichwani kwako kuna ma+viHujitambui kbs!! Unadhan Rais ndio anaamua kuhusu usalama wake? Mfumo wa kiusalama ndio hufany maamuz. Achana na mamb ya vijiwen, usifikir ukiwa Rais kila jambo unajiamulia tu!!
Hutaki samia asemwe au hoja yako inajikita wapi? Hakusema wakati huo labda hakuwahi kuathirika au aliona kawaida sasa ameguswa kusema leo inaonekana nongwa! Kwa nini umpangie mtu wakati wa kusema? Na je kwa kuwa ilikuwepo tokea zamani basi tuiache iendelee kwa kuwa wakati huo hatukusema ili mradi tusimguse "nani kama mama"?Ni sehem ya system but sio in general! Pia hoja yang ililenga kukosoa tang awamu zilizopita ambazo mfumo wake ni huu huu uliopo, ikimaanisha kumshutum Samia only kweny issue ya foleni c saw!!
Jiwe angeweza kutoka Dar mpaka Dodoma au Chattle kwa gari na kusababisha foleni kubwa. Viongozi wetu hao ndio walivyoHizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam?
Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana.
Tumechoka aisee!
Kwakua umegoma kusoma na kuelewa context yang ntarudia tena... Tatizo hili ni la awamu zote zilizopita hoja yang iweje Samia aangushiwe jumba bovu wakati ilipaswa kutoa ushauri cz c kosa lake kuleta foleni bali ni protocolHutaki samia asemwe au hoja yako inajikita wapi
Anasemwa yeye kwa kuwa yeye ndo yuko kwenye nafasi ya kurekebisha kwa Sasa unataka asemwe ambaye hana nafasi ya kurekebishaKwakua umegoma kusoma na kuelewa context yang ntarudia tena... Tatizo hili ni la awamu zote zilizopita hoja yang iweje Samia aangushiwe jumba bovu wakati ilipaswa kutoa ushauri cz c kosa lake kuleta foleni bali ni protocol
Rais hajipangii ulinz bali mfumo wa kiusalama pia hawez taka ziwe gar mbili kweny msafara wake!! Eleweni hii ni protocol.Anasemwa yeye kwa kuwa yeye ndo yuko kwenye nafasi ya kurekebisha kwa Sasa unataka asemwe ambaye hana nafasi ya kurekebisha
Ameingilia mpaka mambo yasiyo mhusu mf swala la Feisal na Yanga atashindwaje kuwaagiza washauri wake kubadili utaratibu? Rais wa nchi hii ndo kila kitu aliingilia kesi ya Mbowe ikafutwa wakati mahakama ishamkuta na kesi kujibu atashindwaje kuamua hata juu ya ulinzi wake? Kwa taarifa nchi hii hakuna kinachofanyika bila ridhaa ya raisRais hajipangii ulinz bali mfumo wa kiusalama pia hawez taka ziwe gar mbili kweny msafara wake!! Eleweni hii ni protocol.