Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia.

Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
 
Una maanisha Meddy?
 
Soka la tz sio ulaya, mwalimu anaenda pale Manchester akiwa anajua fulani na fulani hawawezi kuwa kwenye mfumo wangu..

Africa kocha anakuja simba kagere anamjulia pale pale.. Da rosa alivyokuja kuna video ilisambaa wachezaji wanajitambulisha majina na nafasi zao uwanjani.

Ni vema mwalimu awatizame wachezaji kisha yeye ndio aamue yupi anamfaa yupi hamtaki, ili kesho asitafupte mchawi.

Hivi unadhanj bwana KOEMAN pale Barcelona ingekuwa uongkzi ndio umesema suarez kazeeka hatumtaki kisha wakamuuza atletico kisha akafanya haya aliyoyafanya unadhani angelaumiwa kocha ama uongozi.. Ila kocha mwenyeeewe akasema mimi nakuja hapo ila suarez si sehemu ya mipango yangu.
 
Logistics za usajili Africa sio sawa na Ulaya hata kidogo,kama ingekuwa kocha ndo ataamua hatma za wachezaji wote pale Simba,basi hata Wawa,Bwalya na Morrison wasingeachwa mapema ili kocha ndio awaruhusu yeye mwenyewe

Na hata usajili kocha angesubiriwa afanye kwa wachezaji wanaofaa mfumo wake ila cha kushangaza wachezaji wote waliosajiliwa wamekuja sio kwa mkono wake

Mugalu na Kagere kuwaangalia kwa siku 15 ni uongo mkubwa,Je kocha akisema hawa waendelee kubaki wananifaa sana?,Mashabiki Wa simba hawawezi kukuelewa hata kidogo
 
Wizi mtupu. Bora hata upande wa pili mambo yanaenda katika straight way. Hakuna ubabaishaji wa aina yoyote ile
 
Soka la tz sio ulaya, mwalimu anaenda pale Manchester akiwa anajua fulani na fulani hawawezi kuwa kwenye mfumo wangu..

Africa kocha anakuja simba kagere anamjulia pale pale.. Da rosa alivyokuja kuna video ilisambaa wachezaji wanajitambulisha majina na nafasi zao uwanjani.

Ni vema mwalimu awatizame wachezaji kisha yeye ndio aamue yupi anamfaa yupi hamtaki, ili kesho asitafupte mchawi.

Hivi unadhanj bwana KOEMAN pale Barcelona ingekuwa uongkzi ndio umesema suarez kazeeka hatumtaki kisha wakamuuza atletico kisha akafanya haya aliyoyafanya unadhani angelaumiwa kocha ama uongozi.. Ila kocha mwenyeeewe akasema mimi nakuja hapo ila suarez si sehemu ya mipango yangu.
Kama ni ivyo basi wangesubili amuone wawa na morrisoni kwanza ndo aamue yeye waondoke au wabaki, Uswahili juu ya uswahili, tafuta hoja nyingine iyo haina mashiko
 
Morrisson nadhani shida kubwa ni utovu wa zamu, sina hakika ila nahisi wawa kocha alikuwa hajafika, ila kubwa ni mkataba kuwa umeisha, hawa wameenda nao bado wana mikataba yao, sasa kumuacha mchezaji una mkataba nae kuna gharama za kuvunja mkataba.
Hawa wameenda nao mwalimu asipowahitaji watawatoa hata kwa mkopo.
 
Soka la tz sio ulaya, mwalimu anaenda pale Manchester akiwa anajua fulani na fulani hawawezi kuwa kwenye mfumo wangu..

Africa kocha anakuja simba kagere anamjulia pale pale.. Da rosa alivyokuja kuna video ilisambaa wachezaji wanajitambulisha majina na nafasi zao uwanjani.

Ni vema mwalimu awatizame wachezaji kisha yeye ndio aamue yupi anamfaa yupi hamtaki, ili kesho asitafupte mchawi.

Hivi unadhanj bwana KOEMAN pale Barcelona ingekuwa uongkzi ndio umesema suarez kazeeka hatumtaki kisha wakamuuza atletico kisha akafanya haya aliyoyafanya unadhani angelaumiwa kocha ama uongozi.. Ila kocha mwenyeeewe akasema mimi nakuja hapo ila suarez si sehemu ya mipango yangu.
Ripoti ya mwalimu mkuu aliyeikochi timu kwenye msimu ndio muhimu kwenye kuacha na kuendelea na mchezaji msimu unaofuata. Kocha mpya kupewa timu siku 15 aseme nani anafaa na nani hafai ni kichekesho. Lakiniii! Hiivi tunaenda preseason na kundi looote la msimu uliopita ili tukaamue nani abaki na nani apewe mkataba?
 
Chup
Morrisson nadhani shida kubwa ni utovu wa zamu, sina hakika ila nahisi wawa kocha alikuwa hajafika, ila kubwa ni mkataba kuwa umeisha, hawa wameenda nao bado wana mikataba yao, sasa kumuacha mchezaji una mkataba nae kuna gharama za kuvunja mkataba.
Hawa wameenda nao mwalimu asipowahitaji watawatoa hata kwa mkopo.
Chupli zenu mnataka kumuangushia jumba bovu mwali mgeni baba wa watu ili nyinyi mfiche nyuso zenu kwenye mgongo wake. Ripoti ya mwalimu aliyemaliza nao msimu inasemaje? Shida yenu hapa ni hela hamna za kuvunja mikataba Yao, mnawatafutia sababu kupitia kocha mgeni asiyewafahamu hata nusu ya robo ya uwezo na tabia zao.
 
Ripoti ya mwalimu mkuu aliyeikochi timu kwenye msimu ndio muhimu kwenye kuacha na kuendelea na mchezaji msimu unaofuata. Kocha mpya kupewa timu siku 15 aseme nani anafaa na nani hafai ni kichekesho. Lakiniii! Hiivi tunaenda preseason na kundi looote la msimu uliopita ili tukaamue nani abaki na nani apewe mkataba?
Kuwa serious kidogo kila mwalimu na mbinu zake, aina ya uchezaji wake, so mwalimu huyu anaweza kumuona anafaa huyu akaona hamfai.

Tufanye timu yako anaondoka guardiola ndio utumie ripoti hiyo kwa jose mourinho!?? Unadhani wachezaji atakaopendekeza pep ndio special one watamfaa.

Hakuna sehemu nimesema eti wachezaji wameenda huko ndio watapewa mkataba, wameenda watu ambao bado wana mikataba so ni juu ya mwalimu kusema atawatumia au awatoe kwa mkopo, ama waachwe huo ni uamuzi wa mwalimu.
 
😂 😂

Nishajua we ni mtu wa namna gani, we ni shabiki maandazj hujui mpira zaidi ya kuona ona, mzee ile ni biashara,

Walimu wana falsafa tofauti, hivyo kila mmoja apewe nafasi, yule anaweza kusema kaggere simtaki, huyu akaona anamfaa so tumtimue kisa yule alisema hafai, akibuma lawama kwa nani.
Niliweka kisa cha suarez, KOEMAN alisema hamtaki suarez, akauza kisha yeye akakwama akatimuliwa, we unadhani viongozi wangekomaa awe nae kisha akabuma lawama kwa nani, lazima tujifunze kuheshimu taaluma ya mtu.

HAwajui tabia zao ndio maana kaenda nao huko, askyemtaka atapiga chini.
 
Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia.

Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
Kwani pesa zinazotumika ametoa Ghalib? Waacheni na mambo yao na nyie endeleeni na yenu. Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene.
 
Kuwa serious kidogo kila mwalimu na mbinu zake, aina ya uchezaji wake, so mwalimu huyu anaweza kumuona anafaa huyu akaona hamfai.

Tufanye timu yako anaondoka guardiola ndio utumie ripoti hiyo kwa jose mourinho!?? Unadhani wachezaji atakaopendekeza pep ndio special one watamfaa.

Hakuna sehemu nimesema eti wachezaji wameenda huko ndio watapewa mkataba, wameenda watu ambao bado wana mikataba so ni juu ya mwalimu kusema atawatumia au awatoe kwa mkopo, ama waachwe huo ni uamuzi wa mwalimu.
wachezaji wanaoachwa uwamuzi huwa umefanywa mapema hata kabla ya mechi ya mwisho ya msimu haijachezwa. Wanaoachwa wanaambiwa ili wajue wanachukua njia gani kwaajili ya msimu ujao, mchezaji anaweza kukataa kwenda kwa mkopo kwenye timu fulani. yaani umpeleke kagere timu ya Ihefu kwa mkopo dakika za mwisho za usajili.

Kubali tu kuwa kuna walakini kwenye zoezi. Kumtaka kocha mgeni kabisa kwenye timu na ligi atambue ndani ya wiki moja ni mchezaji yupi anafaa na asiyefaa kwenye falsafa yake ni ubabaishaji, na matokeo yake walah tutayashuhudia wote kwa macho yetu ya nyama. Timu baada ya kuboronga kwenye ligi na azam cup imechanganyikiwa kabisa, imeshitukia inamfukuza pablo bila sababu za msingi, imemkosa Morrison, Aziz Ki, Adebayor, Sopu, Konate, na wengine kutokana na ukata wa fedha. Wakajikuta wako Misri bila kutarajia na kundi la wachezaji wote hata wale wanaotaka kuwaacha. msimu umekwisha kuendelea kuwahudumia wachezaji ambao huna nia ya kuendelea nao msimu ujao ni gharama zisizo za lazima kwa club na kuwapotezea muda na usumbufu kwa wachezaji hao. Ni kumvalisha lawama kocha mgeni asiyewafahamu wachezaji hao
 
Kwani pesa zinazotumika ametoa Ghalib? Waacheni na mambo yao na nyie endeleeni na yenu. Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kinene.
kuna jambo gani hapo zaidi ya kuugulia maumivu ya kupokwa mataji yote na Manara? Muombe mungu wenu ngao ya jamii msifungwe na yanga, la sivyo Simba itafeli kabla ligi haijaanza. Yanga haihitaji preseason ndefu, maana 97% ya kikosi ni kilekile na 100% ya benchi la ufundi ni lilelile la msimu uliopita.

Sasa hivi anzeni kutafuta kisingizio mapema kama mtafungwa ngao ya jamii. Najua mtakimbilia kusema kocha mpya, wachezaji hawajazoeana, nk.
 
Kuna vitu viwili Simba vinawafanya waonekane ma mbumbumbu. Moja wanataka kumwacha Kagere lakini awataki timu nyingine imsajili apa Tanzania. Pili Wana ukata, kama unataka ku terminate mkataba inatakiwa ulipie gharama lakini inaonekana viongozi wanapata kizungumkuti.
Aliyewahi kuwa kaimu CEO wa Simba kwasasa ni mshauri wa MO aliwahi kusema Viongozi ndio wanao sajili wachezaji zaji na sio kocha kwakua kocha ni mtu wa kupita tu.

Hii inamaanisha ata wachezaji wanao ondoka viongozi walisha amua ila jumba bovu kaachiwa kocha atangaze.

Kagere ndiye mwenye goli nyingi kuliko Boko au Mugalu lakini yeye ndio Sadaka.
 
Ripoti ya mwalimu mkuu aliyeikochi timu kwenye msimu ndio muhimu kwenye kuacha na kuendelea na mchezaji msimu unaofuata. Kocha mpya kupewa timu siku 15 aseme nani anafaa na nani hafai ni kichekesho. Lakiniii! Hiivi tunaenda preseason na kundi looote la msimu uliopita ili tukaamue nani abaki na nani apewe mkataba?
Mambo ya simba yanakuwasia nini we nyani usiokuwa na Elimu
 
pesa si wanazo acha wapakie wachezaji wote kwenye ndege.
 
Back
Top Bottom