kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #21
hizi ni timu za wananchi kaka, angefanya hivyo Gwambina na Azam usingeona uzi kama huu. Baada ya Morrison kuanika ukweli kuhusu uongo tuliokuwa tukilishwa na uongozi juu yake, sasa hivi nina question kiiiilaa kitu cha uongozi wa simba.Mambo ya simba yanakuwasia nini we nyani usiokuwa na Elimu