Ili kujua nani abaki na nani aachwe unahitaji kwenda Misri na wachezaji wote?

Mambo ya simba yanakuwasia nini we nyani usiokuwa na Elimu
hizi ni timu za wananchi kaka, angefanya hivyo Gwambina na Azam usingeona uzi kama huu. Baada ya Morrison kuanika ukweli kuhusu uongo tuliokuwa tukilishwa na uongozi juu yake, sasa hivi nina question kiiiilaa kitu cha uongozi wa simba.
 
Niliandika hivi nikaonekana Nina wivu na ni shabiki wa Yanga wakati hata Yanga wenyewe hawana hamu na Mimi.
 
Mimi nilijua wewe mtu wa mpira kumbe Khadija Koppa.
 
Hivi hawa kolo kwa nn hawana shukrani hata kidogo? Kagere kawaokoa mechi kadhaa muhimu kabisa. Yaan ukitoa goli za kagere hawa kolo wanashuka daraja. Leo hii hawamtaki, kibaya zaidi hawataki asajiliwe huku bongo.
 
Hela za magodoro zimekata kambi tumepeleka moro
Acheni kujitoa ufahamu basi. Timu inaingia kambini Avic Town Kigamboni leo tarehe 20/07/2022!!! Hizo habari zenu za Morogoro mmezitoa wapo?

Na uzuri wanachama na mashabiki wote tumeunga mkono hilo wazo! Shida iko wapi? Huko Uturuki kuna jipya lipi? Maana karibia wachezaji wote wameshawahi kupanda ndege!

Mimi naona tungekutana tu msimu mpya wa ligi ili tuone hiyo tofauti ya Pre season ya Misri, na ile ya Avic
town.
 
Simba kweli inachukiwa ukiangalia waandishi wa habari wanavyoiponda pre season na kuwasifia yanga kubaki unaona kabisa wamepokea bahasha za kaki.
 
Wizi mtupu. Bora hata upande wa pili mambo yanaenda katika straight way. Hakuna ubabaishaji wa aina yoyote ile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upande wa pili upi? Mbna yacouba hamku mtoa kabla ya ujio wa DOMOLEPEE? mmesubiri ashawamalizia mchongo mkamfurusha, tutolee upupu wako hapa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost ako Takadini jana kwa press anaonesha kabisaa anateseka na kuumia. Ndo usiteseke wee???
Maumivu yako pale pale.

Byuti byuti.
 
Unajua umri wa kagere au unaongea miaka 36 mwili umechoka unakataa
 
Hata mwaka Jana walisema preseason Yao ilikuwa Bora sana kuliko ya Yanga, lakini kilichowapata wote ni mashahidi.

Simba wanawajua wazee wao wote, yaani mzee Wawa, Mzee Onyango, mzee Boko, mzee Kagere, mzee Mkude na mzee Nyoni. Kwanini wasiwaambie waondoke badala ya kuwapeleka Misri ili kocha mpya akaseme ondokeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…