Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

Ubunifu mzuri, kila la kheri, usiache kutupa mrejesho ili na wengine wenye uhitaji kama wewe waweze kuitumia hiyo mbinu...
 
Tuone picha basi bibie
 
Uzi bila picha haunogi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We si ulisema mimi kikojozi?Utakoma.Na ntarudia tena kutaka kukuoa.😝😝😝😝😝
 
Kwako tv ni chogo au flatscreen
 
Kweli we ni sexless, leo ni KE kesho tena utakuwa ME. Maisha yenyewe mafupi haya jipe raha mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…