Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
kuskiza matakwa ya waasi DRC ni sawa na kuskiza maagizo ya Pres.Yoweri Kaguta Museven wa Uganda na Pres. Paulo Kagame wa Rwanda. Full stop 🐒 🐒
 
Kosa kubwa ni kuona muasi hana lalamiko lolote hapa matatizo ya Congo hayataisha katika mtindo huu tunaoutumia sasa
Shida ni wazungu kuwatumia Rwanda na Uganda kupora rasilimali za Congo na kuzipeleka kwa wazungu bila Congo kunufaika hata kwa maendeleo mdogo, ndio maana Tanzania hata wakati wa Kikwete ilionekana adui au mnoko kuzuia hilo
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Hao waasi wanafadhiliwa na bwana Kagame na Museveni , ili wao waibe mali za Congo . Kutatua huo mgogoro ni ku deal na hao mabwana FULL STOP.

Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
 
Despite any support M23 may or may not receive from neighboring countries, it's crucial to acknowledge that at its core, M23 is a movement led by Congolese individuals.
This recognition has been affirmed by the Congolese government, as evidenced by the peace deal signed between the government and M23 under the auspices of the then CNDP in Pretoria, South Africa. However, the failure of the government to uphold the terms of this agreement is cited by M23 as the primary reason for the current conflict.

So, who exactly are the members of M23? Primarily comprised of Congolese Tutsi who speak Kinyarwanda, these individuals have long faced marginalization and uncertainty about their nationality. Their grievances stem from decades of neglect and mistreatment, rather than being a recent development. It's essential to recognize that they are natives of the land they inhabit, with their roots tracing back to this region. Although historically part of Rwanda, the arbitrary divisions imposed during the Berlin Conference left them within the borders of the Democratic Republic of Congo. Despite this, their culture and language have remained unchanged.

In response to those who question their Congolese identity, Mwalimu Nyerere once aptly remarked, "If you refuse to accept them as Congolese and seek to expel them from the DRC, what will become of their ancestral land?" His words highlight the complexity of the situation and underscore the importance of inclusivity. M23's struggle is fundamentally about seeking recognition and representation within the fabric of Congolese society.

Even in the event of M23's defeat today, the underlying issues would remain unresolved. History has shown that without addressing the root causes, conflicts are likely to resurface. Therefore, engaging in meaningful dialogue with M23 is essential for the welfare of the people of the DRC and the stability of the entire region.

Those who advocate for war and beat the drums of conflict do not offer a sustainable solution for Congo. Instead, it is through dialogue and understanding that lasting peace can be achieved.
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Hao watu wenye asili ya Rwanda Burundi, wahamishiwe magharibi ya Zaire na wawaandikishe na kuchukua alama zao muhimu. Wasikae au kuishi mpakani na nchi Yao ya asili . Ndio chanzo cha mgogoro, wizi na Nia ya kuchukua Ardhi ya BA Congo
 
Daaaah, mkuu amini amini nakueleza wale waasi wa Congo ukiwachukua hapa uwaulize wanataka nini nakuapia utapewa blah blah blah kwisha wao wenyewe hawajui wanapigania nini ,
Ila makamanda wao wakuu ndio wana malengo yao binafsi tu na si kwa maslahi mapana hapana jiulize tu kwanini wanapenda sana sehemu za madini?
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Hawana wanachopigania zaidi ya fujo.
Kama mezani wameshawekwa sana na kusikilizwa ila hawana la maanaa.
WATWANGWE TU OVA
 
Lengo la Watutsi ni kupata Mikoa ya Kivu kusini na kivu Kasikazini waitawale. Kisha wampindue rais Mhutu wa Burundi.

Akifika hapo wamege Magahribi wa Tz hilo eneo la Kivu Burundi Rwanda na Magharibi ya Tz ndiyo wanataka liwe taifa lao.
Jumlisha kusini Magharibi ya Uganda.

Genocide na FDRL ni blah blah tu.

Huko Kivu hakuna hata kijiji kimoja ambako Tutsi wanafikia 20% ya population
 
But it's not that easy bro.
-Kama wenye pesa aanawatumia raia wa kawaida kufanikisha mambo yao,unategemea watakubali kumaliza biashara hivi hivi?

-Wazungu wangapi wanaomiliki makampuni ya kuchimba?! Unadhani wapo tayari kupoteza? Wanaiba! Wanashilikiana na viongozi,unategemea nani akibali biashara yake ilale?

UN,wanaojiita walinda amani,uliwahi sikia raia walivyowateka,vifaru vikapinduliwa,yakakutwa mawe kwenye mifuko?

Kwanza UN yenyewe ndo US. US hawatakii watu mafanikio,hasa pale anapopata chochote. Unategemea kitatokea nini!
Upo sahihi kabisa, pampja na yote hawa jamaa hatakaa waache kuua raia ili kuleta hizi confusion nani alikuwa anajua kumbe vikosi vya kulinda amani ni kwa maslahi ya hawa waporaji,hapo jambo ni kuwapiga hawa waasi, that is the only solution, hamna kugawa nchi
 
Hao waasi ni jeshi bandia la Rwanda wakishirikiana na mataifa ya magharibi kuiba rasilimali za Congo na kuharibu usalama wa afrika!

Wafutwe bila kusikilizwa
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Mnataka mazungumzo tena mkuu kwani mambo yashakuwa magumu sana,pambaneni tu mkizidiwa sio mbaya mnavuka border mnarudi kwenu kutulia sasa hv awamu ya mazungumzo ishapita sasa hv vinatembea vyuma tu.
 
Upo sahihi kabisa, pampja na yote hawa jamaa hatakaa waache kuua raia ili kuleta hizi confusion nani alikuwa anajua kumbe vikosi vya kulinda amani ni kwa maslahi ya hawa waporaji,hapo jambo ni kuwapiga hawa waasi, that is the only solution, hamna kugawa nchi
Hata hiyo UN, ni wale wale tu. Kama wameingia wazi vitani,maana yake nini sasa!
 
Malalamiko ya waasi ni yepi hayo,
Sometimes hawa kenge wafyekwe tu waishe, hakuna justification ya kuua raia vile, wapelekewe moto
Tangu vita ianze kongo imeonesha silaha hazita wamaliza waasi
Nisuala la kukaa chini na kuyamaliza tu haya majambo
 
Hayo majadiliano yamefanywa sanaa,
Waasi wapo wengi, huwez wamaliza wote, na kila mmoja ana malengo yake, pale ni kuweka nguvu kubwa, finya ua wote kama kuku
Hata hayo mapigano yashapiganwa sana na bado vita zinapiganwa
Kongo niliwahi sikia pale kuna zaidi ya makundi 100 yanapigana dhidi ya sirikali hapa unadhani watachomoa kweli
Suala la kongo kwa kutumia nguvu halitaisha maana kama nguvu zishatumika sanaaaaaaaa
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Never negotiate with a betrayer or a terrorist take it or leave it..
 
Congo bishops warn against ‘balkanization’ of central African nation
By Ngala Killian Chimtom
Feb 27, 2023
|
Africa Correspondent

YAOUNDÈ, Cameroon – Just weeks after Pope Francis visited the country, the Catholic bishops in the Democratic Republic of Congo have again raised concerns over what they say is a “cynical plan” by foreign armies, rebel groups and multinational companies to balkanize the country.

The eastern part of the DRC has been plagued by violence for years, with dozens of rebel groups fighting each other and the government.

Francis visited the DRC from January 31 to February 3, where he met with victims of the violence in the east of the country.

Recently, an East African regional force was dispatched to help fight the rebels, but the bishops are concerned that these forces are becoming part of the problem

In and Peace Commission, could work collaboratively with communities to persuade the rebels to lay down their arms.

“Faced with this threat, the best barrier is to consolidate national cohesion and revive the patriotic spirit. It is appropriate to control certain opinion leaders who are known for their derogatory remarks and the political actors who disseminate speech inciting hatred and exclusion,” the prelates said.

They stressed the importance of setting up a broad national framework to assess the agreements and alliances “that would constitute obstacles in the efforts to save the homeland in order to adopt new strategies.”

They called on the government to strengthen the monitoring and control system following suspicions that funds allocated to soldiers fighting insurgents was being embezzled, and insisted the embezzlers need to be brought to book.

Noting that their primary concern was “the lives of our brothers and sisters who have been bruised for several decades and the future of the DR Congo,” the Church leaders called on the government to intensify its military response by encouraging more young people to enlist in the army.

“We will not hesitate to contribute to any initiative that will aim to guarantee national security, territorial integrity, the stability of the State and its institutions, social peace,” the bishops concluded
 
Back
Top Bottom