Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

Ndio hayo malalamiko yao tuambiwe.

Mpaka sasa mbinu ya vita haijaleta haueni yoyote ile Congo na ni miaka mingi inatumika lakini hakuna kitu.

Vile vikao wanavyo kaa na waasi inabidi tujurishwe nini waasi wanataka na hapo ndipo tuangalie njia ya kutatua hayo matatizo
Vita ya inaoyendelea Congo inasababishwa na Kagame ili apate madini ya kuuza na kupata hela za kujenga Rwanda. Kagame akizuiwa kabisa kuwasaidia watajisalamisha.
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Migogoro ya Kongo solution ni kuwa na serikali imala inaweza kusitisha uchimbaji wa madini Congo kwa mwaka mmoja tu. Baada ya hapo husikii vita Tena. Ila ukisitisha uchimbaji wa madini Congo, uchumi wa Dunia nzima utayumba kwa hiyo hiyo serikali imala lazima iwe imara kweli.
 
Ndio hayo malalamiko yao tuambiwe.

Mpaka sasa mbinu ya vita haijaleta haueni yoyote ile Congo na ni miaka mingi inatumika lakini hakuna kitu.

Vile vikao wanavyo kaa na waasi inabidi tujurishwe nini waasi wanataka na hapo ndipo tuangalie njia ya kutatua hayo matatizo
Kutaka kujitenga?
 
Siasa ni ujinga mkubwa watue wanakufa kwa ufala wa watu wachache...Hii vita hapajatwa mlengo wa dini ila unajulikana hao jamaa ni dini gani.

Ingetokea somalia basi ingekuwa mzozo wa dini .

Tuacheni ujinga amani ni bora ona watu wanakufa ksa ujinga wa watu wachache.

Pale kwenye mkanganyiko huo kuna ADF ambao ni magaidi wa dini ya waislamu, wapo kwenye mlengo wa magaidi wengine wa waislamu ambao huitwa dola la kislamu, yaani Islamic State, wao huchinja wanavijiji kwa kwenda mbele, sijawahi kuelewa nini huwasibu au malalamiko yao nini
 
Ndio hayo malalamiko yao tuambiwe.

Mpaka sasa mbinu ya vita haijaleta haueni yoyote ile Congo na ni miaka mingi inatumika lakini hakuna kitu.

Vile vikao wanavyo kaa na waasi inabidi tujurishwe nini waasi wanataka na hapo ndipo tuangalie njia ya kutatua hayo matatizo
Shida ni Rwanda basi
 
Pale kwenye mkanganyiko huo kuna ADF ambao ni magaidi wa dini ya waislamu, wapo kwenye mlengo wa magaidi wengine wa waislamu ambao huitwa dola la kislamu, yaani Islamic State, wao huchinja wanavijiji kwa kwenda mbele, sijawahi kuelewa nini huwasibu au malalamiko yao nini
😁😁😁 Dini yako ni laana ndio chanzo hata cha vita ya kwanza ya dunia.

Kila mnapoenda mnachafua mlikuta nchi za watu safi mkaanza ujinga wenu....Nchi nyingi zenye ukatoliki ndio maskini kutupwa hapa Duniani na machafuko.

Sehemu walipopita kanisa lako nidio chanzo cha matatizo
 
Vita ya inaoyendelea Congo inasababishwa na Kagame ili apate madini ya kuuza na kupata hela za kujenga Rwanda. Kagame akizuiwa kabisa kuwasaidia watajisalamisha.
The announcement that bishops from the DRC, Rwanda, and Burundi will engage with the presidents of their respective countries seems futile, as it is unlikely that they will delve into the underlying cause of the conflict. The issue at the heart of the matter is President Kagame's interference in the affairs of both the DRC and Burundi, and it remains to be seen whether the discussions will address this core issue.

In a significant development amid the ongoing conflict in the Eastern Democratic Republic of Congo, bishops from Rwanda, the DRC, and Burundi are set to hold discussions with the respective presidents of these countries, urging them to halt the war. The announcement comes from Mgr José Moko, the president of ACEAC and Bishop of Idiofa, during a press conference in Goma on Saturday, January 27.

This collaborative effort by the bishops reflects a crucial step towards advocating for peace and stability in the region. The fact that representatives from Rwanda, a country often implicated in the conflict dynamics, are part of this initiative adds a unique dimension to the plea for peace. The bishops' decision to directly address the presidents of the involved nations underscores the urgency of the situation and the need for diplomatic intervention to end the conflict.

The statement made by Mgr José Moko, expressing that they plan to convey the message that "enough is enough" and it is time to end the war, encapsulates the gravity of the situation. The call for intervention by religious leaders highlights their commitment to promoting peace and protecting the welfare of the people affected by the conflict. The upcoming meetings with the presidents can influence diplomatic efforts and contribute to a resolution that prioritizes stability and the well-being of the citizens in the conflict-ridden region.

However, it is crucial to recognize the complex geopolitical dynamics at play, and while the involvement of the bishops is commendable, achieving a lasting solution to the conflict will require sustained efforts from all stakeholders. The international community, particularly neighboring countries and organizations, should collaborate to support and reinforce the bishops' call to end the violence in East Congo.

Many Congolese on social media expressed skepticism about the effectiveness of the bishops' mission to engage with the presidents of Rwanda, DRC, and Burundi, urging them to stop the war. The sentiment reflects a widespread belief that the root cause of the conflict, attributed to President Kagame's interference in the affairs of the DRC and Burundi, may not be adequately addressed through diplomatic talks. Some argue that Rwanda orchestrates the war in the DRC, and the bishops should explicitly designate the primary instigator rather than employing hypocritical language. The call to end the war is seen as a straightforward demand for Kagame and Museveni to withdraw their armed groups from the East of the DRC.

Criticism is also directed towards the church, with some stating that religious figures have historically aligned themselves with aggressors, complicating efforts to reveal the truth. President Kagame is singled out as the main troublemaker, having planned and participated in all wars since 1994, in contrast to President Félix and his Burundian counterpart, who assumed power more recently. Some view the bishops' approach as futile, asserting that only the DRC supports a military option but has struggled to reclaim any territory.

The diplomatic effort seems a bit crooked, as people worry about the Burundian bishop facing challenges against Ambongo from the DRC and Kambanda from Rwanda. Also, Kagame might be trying to make peace with Tshisekedi and the people in the area, asking for forgiveness for Rwandans.#rwanda #congo #burundi
 
Malalamiko ya waasi ni yepi hayo,
Sometimes hawa kenge wafyekwe tu waishe, hakuna justification ya kuua raia vile, wapelekewe moto
Ndio akili kama za wacongo hizi, ukabila na ujinga ni vitu vya hovyo sana na ndio kitakachowamaliza Congolese, ila uzuri wa maisha ukifyeka unafyekwa na wewe
 
Ni sawa ni leo tuwaambie wamasai warudi Kenya Tanzania siyo kwao wakati mipaka ilichorwa na wakoloni
 
😁😁😁 Dini yako ni laana ndio chanzo hata cha vita ya kwanza ya dunia.

Kila mnapoenda mnachafua mlikuta nchi za watu safi mkaanza ujinga wenu....Nchi nyingi zenye ukatoliki ndio maskini kutupwa hapa Duniani na machafuko.

Sehemu walipopita kanisa lako nidio chanzo cha matatizo

Dini yako ilianzishwa na muarabu aliyekua anaua watu na kulazimisha dini, na mpaka leo ndio uzombi unaowasumbua, magaidi ya ADF yanachinja waafrika weusi wenzao pale DRC kisa dini ya muarabu.
 
😁😁Washenzi nyie chanzo cha machafuko ,kule middle east palikuwa safi mpaka mlivyoanza kufika .

Makafiri mna tabu sana.
 
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.

Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.

Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?

Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.

Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !

Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.

Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Nchi inayofadhili uasi wa M23 inafahamika, jamii ya kimataifa waipige vikwazo vikali huo uasi utaisha tu.

Huo ni uvamizi wa nchi jirani ndani ya ardhi ya Drc sio uasi wa ndani.
 
mwambie hilo suala kagame, kwamba pia aongee na FDLR. manake nao ni waasi kule congo.
 
Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu.
 
Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu. Waafrika tuache kuwa wajinga
 
Wewe umechangia nje ya mjadala kabisa.
 
Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu. Waafrika tuache kuwa wajinga
Most of them unajua walisettle kule kuanzia karne ya 17 huko, tangu enzi za ufalme wa watutsi maeneo ya Rwanda na Burundi, inasemekana awali wengine walikimbia kodi ya Mwami/mfalme wa kitusi, na mavita mbalimbali yaliyoendelea baadaye, ukoloni n.k. la msingi ni kwamba, hao jamaa walikuwepo eneo hilo hata kabla ya uhuru wa Congo, hivyo ni wacongoman. walianza kubaguliwa tangu enzi za mobutu seseseko, na marais wote, na wao kama distinct group of people wenye asili ya kitutsi huwa wanaamini kama vile tu rwanda ilivyopata nchi, na wao wanatakiwa kupata lile eneo liwe nchi inayojitegemea kwasababu wao ndio wengi na wamekuwepo pale tangu kabla hata ya uhuru wa congo.
 
Back
Top Bottom