Waanzishe chama cha siasa kinachopigania maslahi yao na wakati huo kikizingatia maslahi mapana ya CongoKosa kubwa ni kuona muasi hana lalamiko lolote hapa matatizo ya Congo hayataisha katika mtindo huu tunaoutumia sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waanzishe chama cha siasa kinachopigania maslahi yao na wakati huo kikizingatia maslahi mapana ya CongoKosa kubwa ni kuona muasi hana lalamiko lolote hapa matatizo ya Congo hayataisha katika mtindo huu tunaoutumia sasa
Congo itakuwa kubaki moja tu na si vinginevyo. Wanaotaka igawa ni wahuni, wezi na wabinafsi tu, wasisikilizwe na waandamwe popote watakapokuwa.Upo sahihi kabisa, pampja na yote hawa jamaa hatakaa waache kuua raia ili kuleta hizi confusion nani alikuwa anajua kumbe vikosi vya kulinda amani ni kwa maslahi ya hawa waporaji,hapo jambo ni kuwapiga hawa waasi, that is the only solution, hamna kugawa nchi
Kama Kagame kashindwa kupata anachokitaka kutoka Congo pasipo kumwaga damu, then siyo smart kama anavyosifiwa.Vita ya inaoyendelea Congo inasababishwa na Kagame ili apate madini ya kuuza na kupata hela za kujenga Rwanda. Kagame akizuiwa kabisa kuwasaidia watajisalamisha.
Si sahihi kabisa kuwatimuwa lkn pia wanawajibika kuishi kwa kufuata taratibu za waliyopewa na mchora mipaka.Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu. Waafrika tuache kuwa wajinga
Kwa kweli unachokisema ni kweli kabisa and it is very clear, bila ku adress madai ya M23, hii vita haitakwisha. Leta majeshi yote unayotaka, honga ma Raisi wote unaotaka wa SADEC, EAC, AU hata MONUSCO hutaweza maliza hii vita. Nini madai ya M23 na kwanini hii vita haimaliziki? Kuna jamii kubwa ya wa Congo wanao ongea Kinyarwanda ambao ndio wahusika wakuu wa hii issue, wamo Wanyamurenge, Wanya Masisi etc, wote hawa ni wa congo lakini lugha yao ni Kinyarwanda au lugha inayofanana na kinyarwanda, kama walivyo Wahangaza, Waha, Washubi etc(TZ), Wakiga (UG). Hii jamii ya wa Congo wanaoongea Kinyarwanda wamekimbia kwao (Congo) na takribani 350K wako Uganda na 200k wako Rwanda kama wakimbizi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Hawa ndio ambao vijana wao wanajiunga na M23 kila inapobidi wanarudi kudai haki yao ya kurudi nyumbani na kuachana na ukimbizi. Walikuwepo akina Nkunda, Ntaganda na sasa Makenga, mtawapiga lakini watarudi tuu. Sasa sijui Tanzania na SA watabakisha majeshi yao huko milele na milele kwani hawa watu hawataacha kupigania haki yao. In fact TZ na SA wanafanya makosa kuingilia kwenye mzozo wa wenyewe kwa wenyewe. Ni kama vile Chadema anyanyasike kupita kiasi then aanzishe varangati kutaka haki yake ndani ya TZ then baadhi ya nchi zije kuwasaidia kijeshi. Hii ni against AU na UN charters.Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na ionekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?
Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wanacho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.
Nchi zetu zinazotuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !
Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.
Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
No more, saiv Vikundi vingi kama sio vyote vimeungana na serikali.Hata hayo mapigano yashapiganwa sana na bado vita zinapiganwa
Kongo niliwahi sikia pale kuna zaidi ya makundi 100 yanapigana dhidi ya sirikali hapa unadhani watachomoa kweli
Suala la kongo kwa kutumia nguvu halitaisha maana kama nguvu zishatumika sanaaaaaaaa
Kagame siyo smart, ni mtu wa mtutu tu. Kakulia kwenye vita ya msituni na kuingia madarakanai kwa kupitia mtutu wa bunduki kwa hiyo thinking yake yote iko kwenye mtutu tuKama Kagame kashindwa kupata anachokitaka kutoka Congo pasipo kumwaga damu, then siyo smart kama anavyosifiwa.
Wewe mtusi unamjua Nyerere kuliko sisi Watanzania?Kwa kweli unachokisema ni kweli kabisa and it is very clear, bila ku adress madai ya M23, hii vita haitakwisha. Leta majeshi yote unayotaka, honga ma Raisi wote unaotaka wa SADEC, EAC, AU hata MONUSCO hutaweza maliza hii vita. Nini madai ya M23 na kwanini hii vita haimaliziki? Kuna jamii kubwa ya wa Congo wanao ongea Kinyarwanda ambao ndio wahusika wakuu wa hii issue, wamo Wanyamurenge, Wanya Masisi etc, wote hawa ni wa congo lakini lugha yao ni Kinyarwanda au lugha inayofanana na kinyarwanda, kama walivyo Wahangaza, Waha, Washubi etc(TZ), Wakiga (UG). Hii jamii ya wa Congo wanaoongea Kinyarwanda wamekimbia kwao (Congo) na takribani 350K wako Uganda na 200k wako Rwanda kama wakimbizi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Hawa ndio ambao vijana wao wanajiunga na M23 kila inapobidi wanarudi kudai haki yao ya kurudi nyumbani na kuachana na ukimbizi. Walikuwepo akina Nkunda, Ntaganda na sasa Makenga, mtawapiga lakini watarudi tuu. Sasa sijui Tanzania na SA watabakisha majeshi yao huko milele na milele kwani hawa watu hawataacha kupigania haki yao. In fact TZ na SA wanafanya makosa kuingilia kwenye mzozo wa wenyewe kwa wenyewe. Ni kama vile Chadema anyanyasike kupita kiasi then aanzishe varangati kutaka haki yake ndani ya TZ then baadhi ya nchi zije kuwasaidia kijeshi. Hii ni against AU na UN charters.
Bahati mbaya sana hapa kwenye hili jukwaa kuna watu wanashabikia bila hata kujua nini kinachoendelea, kwa kweli kama Baba wa taifa mwalimu J.K.Nyrere angekuwa bado hai, TZ isingepeleka majeshi kule DRC, Na Kama Nelson Mandela angekuwa hai SA isingethubutu kupeleka majeshi DRC kwenda kuisaidia Congo kupiga raia wake yenyewe kisa viongozi wana pocket few millions in dollars.
So kwa kumalizia Sababu na Madai ya M23 kwenye huu mgogoro, pamoja na kupigania haki ya watu wao zaidi ya 600k walioko ukimbizini Uganda, Rwanda na hata Kenya kwa zaidi ya miaka 25 Mengine wasikilize hawa wazee wa Busara Nyerere, Mandera na Mbeki kwenye hizi video hapa chini then utajua ni nini madai ya M23(See Attachement)
Sahihi kabisaKagame siyo smart, ni mtu wa mtutu tu. Kakulia kwenye vita ya msituni na kuingia madarakanai kwa kupitia mtutu wa bunduki kwa hiyo thinking yake yote iko kwenye mtutu tu
Acha tuone ila sioni mapigano yakimaliza mzozo wa kongo wala nisiwe mnafiqNo more, saiv Vikundi vingi kama sio vyote vimeungana na serikali.
Lengo ni kupambana na M23 au Rwanda kama wenyewe wanavyosema.
Wakumaliza huu mgogoro ni Kenya na Tanzania.Acha tuone ila sioni mapigano yakimaliza mzozo wa kongo wala nisiwe mnafiq
Angalau sasa wewe umetaja njia mbadala isiokua vitaWakumaliza huu mgogoro ni Kenya na Tanzania.
Tukiziwekea vikwazo Rwanda na Uganda, mpaka ziache Ujinga wao.
Asubuhi tu mgogoro Unakata, hakuna bidhaa yoyote kuingia wala kutoka Kenya au Tz kwenda nchi hizo mbili.
Sema ndio vile tu haiwezekani Tanzania na kenya kuwa on the same side.
Watusi ni watu wa Shenzi kuinteract nao mtandaoni humu nimewajua.
Wengi wao ni wapumbavu.....
Mazungumzo hayatosaidia kitu.
Makundi ya waasi ni mengi Congo sijui kwanini anakazaniwa M23 na kumpaka matope PK as if ndiye kuu la waasi. Kuna makundi ni deadly na hatari yanafadhiliwa na dola za magharibi na UN mnafiki mkuu akiweka mambo smooth in the name of peacekeeping ya nyoko.Wale ni Tutsi wanataka hicho kipande chenye madini kiwe huru ili wakiunganishe na Rwanda ili watengeneze bahema impire mzee. Hao hakuna majibu zaid ya kuwaswaga.
Ni makundi yapi mkuu?Makundi ya waasi ni mengi Congo sijui kwanini anakazaniwa M23 na kumpaka matope PK as if ndiye kuu la waasi. Kuna makundi ni deadly na hatari yanafadhiliwa na dola za magharibi na UN mnafiki mkuu akiweka mambo smooth in the name of peacekeeping ya nyoko.
M23 ni kweli wanaiba madini wakifadhiliwa na PK lakini hawahatarishi usalama wa raia na kufanya mauaji kwa raia kama yalivyo makundi mengine ya waasi ambayo na raia (wanasiasa na matajiri) wa DRC wenye tamaa wana mikono yao.
Pia serikali na jeshi la Congo ni legelege kimakusudi kabisa. Congo chini ya yule mmiliki wa TP Mazembe ingepitia mageuzi makubwa lakini wahafidhina wa DRC hawataki huyo mtu ashike usukani ataharibu miundombinu yao haramu ya uchotaji rasilimali za Congo.
Pk ndie kubwa la maadui maana ukiachia wizi wake wa madini yeye agenda yake nikuigawa Congo na kuchukua hilo eneo Na watu wanajuaMakundi ya waasi ni mengi Congo sijui kwanini anakazaniwa M23 na kumpaka matope PK as if ndiye kuu la waasi. Kuna makundi ni deadly na hatari yanafadhiliwa na dola za magharibi na UN mnafiki mkuu akiweka mambo smooth in the name of peacekeeping ya nyoko.
M23 ni kweli wanaiba madini wakifadhiliwa na PK lakini hawahatarishi usalama wa raia na kufanya mauaji kwa raia kama yalivyo makundi mengine ya waasi ambayo na raia (wanasiasa na matajiri) wa DRC wenye tamaa wana mikono yao.
Pia serikali na jeshi la Congo ni legelege kimakusudi kabisa. Congo chini ya yule mmiliki wa TP Mazembe ingepitia mageuzi makubwa lakini wahafidhina wa DRC hawataki huyo mtu ashike usukani ataharibu miundombinu yao haramu ya uchotaji rasilimali za Congo.
Mpaka Sasa haijui kwamba Watusi wanataka kuigawa Congo ili waunde nchi nyingine ambayo wataiunganisha na Rwanda?Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na ionekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?
Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wanacho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.
Nchi zetu zinazotuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !
Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.
Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
mauaji hayo mkuu. wazungu walitugawa kwa kutujengea hisia za wengine bora kuliko wengine watutawale vizuri.Mpaka Sasa haijui kwamba Watusi wanataka kuigawa Congo ili waunde nchi nyingine ambayo wataiunganisha na Rwanda?
Au na wewe ni Mtusi? Unaandika utopolo tu.
Jambo ni moja tu, kufyeka vichwa vya watusi wote popote walipo iwe Congo , Tanzania au Rwanda. Duniani haitakiwi kuwa na kiumbe anaitwa Mtusi.
Kama mauaji yapo Toka Kitambo basi tambua Kagame anasimamia sera ya watusi. Hâta akiingia mwingine Bado naye atakua kama Kagame. Congo kabila ya M23 walioishi kama uishivyo Leo hapa Tanzaniamauaji hayo mkuu. wazungu walitugawa kwa kutujengea hisia za wengine bora kuliko wengine watutawale vizuri.
tatizo sio watutsi tatizo ni PK. PK mwenyewe anaua mamia ya watutsi ambao anaona wanahatarisha maslahi yake au wale wakosoaji wake.
Uchafuzi wa DRC uko toka miaka kenda huyo PK akiwa ananuka makamasi.
Believe me DRC mgogoro ule unachagizwa na wanasiasa na wafanyabiashara walafi wabinafsi wa kikongo kwa ushirika na wamagharibi.
PK ni sehemu ndogo sana ya tatizo. Ni kweli anaiba madini kwa kua Rwanda haina rasilimali lakini hayuko kwenye table moja na watabe wa pale DRC angekua kwenye table angeiba madini bila maneno maneno hapo ndio anafeli, tuseme anaiba bila baraka za wababe..hivyo kila jumba bovu ataangushiwa yeye na kikundi chake.
Unadhani kwanini hawataki Moise Katumbi awe rais wa DRC?