Vita ya inaoyendelea Congo inasababishwa na Kagame ili apate madini ya kuuza na kupata hela za kujenga Rwanda. Kagame akizuiwa kabisa kuwasaidia watajisalamisha.Ndio hayo malalamiko yao tuambiwe.
Mpaka sasa mbinu ya vita haijaleta haueni yoyote ile Congo na ni miaka mingi inatumika lakini hakuna kitu.
Vile vikao wanavyo kaa na waasi inabidi tujurishwe nini waasi wanataka na hapo ndipo tuangalie njia ya kutatua hayo matatizo
Migogoro ya Kongo solution ni kuwa na serikali imala inaweza kusitisha uchimbaji wa madini Congo kwa mwaka mmoja tu. Baada ya hapo husikii vita Tena. Ila ukisitisha uchimbaji wa madini Congo, uchumi wa Dunia nzima utayumba kwa hiyo hiyo serikali imala lazima iwe imara kweli.Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?
Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.
Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !
Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.
Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Kutaka kujitenga?Ndio hayo malalamiko yao tuambiwe.
Mpaka sasa mbinu ya vita haijaleta haueni yoyote ile Congo na ni miaka mingi inatumika lakini hakuna kitu.
Vile vikao wanavyo kaa na waasi inabidi tujurishwe nini waasi wanataka na hapo ndipo tuangalie njia ya kutatua hayo matatizo
Siasa ni ujinga mkubwa watue wanakufa kwa ufala wa watu wachache...Hii vita hapajatwa mlengo wa dini ila unajulikana hao jamaa ni dini gani.
Ingetokea somalia basi ingekuwa mzozo wa dini .
Tuacheni ujinga amani ni bora ona watu wanakufa ksa ujinga wa watu wachache.
Shida ni Rwanda basiNdio hayo malalamiko yao tuambiwe.
Mpaka sasa mbinu ya vita haijaleta haueni yoyote ile Congo na ni miaka mingi inatumika lakini hakuna kitu.
Vile vikao wanavyo kaa na waasi inabidi tujurishwe nini waasi wanataka na hapo ndipo tuangalie njia ya kutatua hayo matatizo
😁😁😁 Dini yako ni laana ndio chanzo hata cha vita ya kwanza ya dunia.Pale kwenye mkanganyiko huo kuna ADF ambao ni magaidi wa dini ya waislamu, wapo kwenye mlengo wa magaidi wengine wa waislamu ambao huitwa dola la kislamu, yaani Islamic State, wao huchinja wanavijiji kwa kwenda mbele, sijawahi kuelewa nini huwasibu au malalamiko yao nini
The announcement that bishops from the DRC, Rwanda, and Burundi will engage with the presidents of their respective countries seems futile, as it is unlikely that they will delve into the underlying cause of the conflict. The issue at the heart of the matter is President Kagame's interference in the affairs of both the DRC and Burundi, and it remains to be seen whether the discussions will address this core issue.Vita ya inaoyendelea Congo inasababishwa na Kagame ili apate madini ya kuuza na kupata hela za kujenga Rwanda. Kagame akizuiwa kabisa kuwasaidia watajisalamisha.
Ndio akili kama za wacongo hizi, ukabila na ujinga ni vitu vya hovyo sana na ndio kitakachowamaliza Congolese, ila uzuri wa maisha ukifyeka unafyekwa na weweMalalamiko ya waasi ni yepi hayo,
Sometimes hawa kenge wafyekwe tu waishe, hakuna justification ya kuua raia vile, wapelekewe moto
Basi watafutiene jina lingine,Lakini kama ni Muasi hafai niwakufanyiwa mbaya tu.Kosa kubwa ni kuona muasi hana lalamiko lolote hapa matatizo ya Congo hayataisha katika mtindo huu tunaoutumia sasa
😁😁😁 Dini yako ni laana ndio chanzo hata cha vita ya kwanza ya dunia.
Kila mnapoenda mnachafua mlikuta nchi za watu safi mkaanza ujinga wenu....Nchi nyingi zenye ukatoliki ndio maskini kutupwa hapa Duniani na machafuko.
Sehemu walipopita kanisa lako nidio chanzo cha matatizo
😁😁Washenzi nyie chanzo cha machafuko ,kule middle east palikuwa safi mpaka mlivyoanza kufika .Dini yako ilianzishwa na muarabu aliyekua anaua watu na kulazimisha dini, na mpaka leo ndio uzombi unaowasumbua, magaidi ya ADF yanachinja waafrika weusi wenzao pale DRC kisa dini ya muarabu.
Nchi inayofadhili uasi wa M23 inafahamika, jamii ya kimataifa waipige vikwazo vikali huo uasi utaisha tu.Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?
Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.
Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !
Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.
Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
mwambie hilo suala kagame, kwamba pia aongee na FDLR. manake nao ni waasi kule congo.Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na waafrika wote na uonekane je, wanachopigania kina maana au upuuzi tu?
Tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuona hawana wancho lalamikia hapo tutakuwa hatutatuwi matatizo kabisa zaidi ya kujidanganya.
Nchi zetu zinazo tuma ndugu zetu( raia wenzetu) kwenda kupigana Congo lazima wananchi tujue majeshi yetu yanaenda kupigana na nani na hao wanaoenda kupigana nao wana malalamiko gani na majeshi yetu yapo sahihi kutumia mbinu za mapigano kutatua malalamiko ya hao wanao pigana nao (waasi) au laaah !
Narudia tena tusiwafunge midomo kabisa waasi na kuwapa majina mabaya pasipo kujua nini wanacho dai na kupigania.
Lazima tujurishwe nini wanadai katika mapigano yao.
Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu.Nchi inayofadhili uasi wa M23 inafahamika, jamii ya kimataifa waipige vikwazo vikali huo uasi utaisha tu.
Huo ni uvamizi wa nchi jirani ndani ya ardhi ya Drc sio uasi wa ndani.
Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu. Waafrika tuache kuwa wajingamwambie hilo suala kagame, kwamba pia aongee na FDLR. manake nao ni waasi kule congo.
Wewe umechangia nje ya mjadala kabisa.Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu.
Most of them unajua walisettle kule kuanzia karne ya 17 huko, tangu enzi za ufalme wa watutsi maeneo ya Rwanda na Burundi, inasemekana awali wengine walikimbia kodi ya Mwami/mfalme wa kitusi, na mavita mbalimbali yaliyoendelea baadaye, ukoloni n.k. la msingi ni kwamba, hao jamaa walikuwepo eneo hilo hata kabla ya uhuru wa Congo, hivyo ni wacongoman. walianza kubaguliwa tangu enzi za mobutu seseseko, na marais wote, na wao kama distinct group of people wenye asili ya kitutsi huwa wanaamini kama vile tu rwanda ilivyopata nchi, na wao wanatakiwa kupata lile eneo liwe nchi inayojitegemea kwasababu wao ndio wengi na wamekuwepo pale tangu kabla hata ya uhuru wa congo.Wacongo wanaoishi mashariki wengi ni makabila yanayosikilizana na Rwanda na Burundi. Ni kama wamasai wa Kenya na Tanzania itokee leo tuseme wamasai wz Tanzania siyo raia halali warudi kwao Kenya. Nonsense. Mipaka ilichorwa na wakoloni tu. Waafrika tuache kuwa wajinga
😁😁Washenzi nyie chanzo cha machafuko ,kule middle east palikuwa safi mpaka mlivyoanza kufika .
Makafiri mna tabu sana.