Ili kumaliza migogoro inayoendelea Congo, inabidi malalamiko yote ya waasi yasikilizwe

Wewe ni INTERAHAMWE Full kabisa, na hii tabia yenu ya kuua watu ovyo ovyo ndio imewafanya muishi kwa kukimbia kimbia kwenye misitu ya Congo na kwenye miji mbalimbali ya EAC. General PK ndio kiboko yenu.
 
Wewe mtusi unamjua Nyerere kuliko sisi Watanzania?
General Nkunda amesema mrudi Nyumbani, soon atawafagia !!!
Wewe saizi ya brain yako ni kama sisimizi huwezi kuelewa hizi issues. Eti "kuliko sisi Watanzania" are you sure? wadanganye wasio kujua.
 
Umeeleza vizuri lakini nenda kafuatilie tena
 
Tanzania na South Africa ni akili kubwa. Wanajua nini kinaendelea Congo DR. Wanaoisumbua Congo DR si wakongo.
 
Wewe saizi ya brain yako ni kama sisimizi huwezi kuelewa hizi issues. Eti "kuliko sisi Watanzania" are you sure? wadanganye wasio kujua.
Wewe ni Mtusi, na kamwe Hutokuja kuwa mtanzania.
Ukweli mchungu......
Nkunda kasema Mrudi kwenu, soon tutawaondoa Kinguvu mkishindwa kujiondoa wenyewe.

Naweza kuelezea familia Yangu Vizazi 10 nyuma?
Unaweza kufanya hivyo?
Imposter !!!
 
Wewe ni Mtusi, na kamwe Hutokuja kuwa mtanzania.
Ukweli mchungu......
Nkunda kasema Mrudi kwenu, soon tutawaondoa Kinguvu mkishindwa kujiondoa wenyewe.

Naweza kuelezea familia Yangu Vizazi 10 nyuma?
Unaweza kufanya hivyo?
Imposter !!!
Operesheni kimbunga inawahusu. Warudishwe kwao wote. Wakongomani waliwakaribisha sasa wanaisumbua nchi yao.
 
Je waasi ni raia wa drc?
 
Hoja yako ina ukweli nusu, nikweli walijikuta upande wa Congo baada ya mipaka kukatwa na wakoloni, mila zao na desturi hazikubadilika mpaka leo.
Utofauti wao na ukalibu wao na Rwanda umewafanya kubaguliwa na kuchukiwa na makabila jirani.
Hii ndio sababu kubwa ya mapigano yanayoendelea kwa sasa, wanadai nafasi sawa katika serikali na ulinzi kutoka kwa makundi ambayo yanataka kuwafukuza Congo nasio kwamba wanataka kumega nchi na kujitengenezea himaya yao au kujiunga na nchi nyingine.
Mwalimu Nyerere ashaliongelea hili jambo maana huu mgogoro niwazamani hata kabla ya Kagame kuwa kiongozi wa Rwanda.
Issue ya serikali ya Congo kutumia waasi wa serikali ya Rwanda(FDRL) kupigana na M23 inaweza kuwa sababu ya Rwanda kusaidia M23 kisiraha namafunzo.
Ukitaka kujua nini wanachotaka M23 just google why the name M23.
Meanwhile the only solution nimajadiliano hata wakipigwa leo watarudi tu..
Mpaka sasa richa ya DRC kutumia majeshi ya SADC, MONUSCO,WAGNER, FDLR, BURUNDI bado hawajaweza kuwatowa hata sehemu moja.
M23 ndio kwanza inaendelea kuteka miji huku vifaa cya kijeshi vya majeshi hayo vikitekwa na kuiongezea nguvu.
 
Kufyeka wote binafsi sikubaliani bali, bali watii mamlaka zinazo waongoza. Wakiwa Tz wafanye taratibu za Tz, wakiwa congo wafuate za Congo, vivyo hivyo na kwingine na kwingine..........Wanaokaidi wapigwe tu.
 
Solution ni mabeberu kutokuwa na upande. Hao waasi wangekatiwa misaada na mabeberu wenye maslahi nao vita ingeisha. Wanaopigana DRC ni mabeberu wenye kutaka utajiri wa DRC. DRC na Zambia zina madini mengi sana...
 
sasa, kama walikuwepo kule hata kabla ya uhuru wa congo, wakakatwa na wakoloni walipogawa mipaka, wao kama watu wenye desturi za kitusi hakuwafanyi kutokuwa na haki ya kuwa wacongo, na pia, naona wana hoja nzuri tu kutaka wamegewe mkoa ili wawe na nchi yao waishi kulingana na desturi zao ambazo wacongo hawazitaki, kama zipo.
 
kwan Drc wanapigana na M23 tu je M23 walikuwa na agenda gan kweny vita hii
 
kwann wabaguliwe wao tu ? kuna attitude mbovu walikuwa nayo dhidi ya serikali kuu
 
Wewe ni INTERAHAMWE Full kabisa, na hii tabia yenu ya kuua watu ovyo ovyo ndio imewafanya muishi kwa kukimbia kimbia kwenye misitu ya Congo na kwenye miji mbalimbali ya EAC. General PK ndio kiboko yenu.
mtu akikosoa anaitwa INTERAHAMWE?
 
Unafahamu wao ni Asilimia ngapi ya Population pale North Kivu?
 
Kipindi cha mobutu waliishije?
 
Issue ya Congo chanzo chake,ni very simple, Rwanda anaiba madini, kuna makampuni makubwa ya Afrika kusini, ulaya na America, yanachimba madini pale, na hawataki ipatikane Amani, ili waendelee kuchimba madini bure! Vita ni gharama, ukiona Vita inachukua muda mrefu ujue kuna fedha,chanzo cha fedha, kibao inatumika,
Hii Vita Hawa, waasi, wa M23, wanapewa siraha na America kupitia Rwanda, kuna kampuni za mamluki za kizungu zinawapa siraha.
Dawa,hapa kwanza ni kujua wahusika wote wanaohusika, chapa risasi, in covert way! Hapo inabidi kutuma "wasiojurikana"wawinde political leaders wa, M23, chapa risasi, na, wasiojurikana sio, Hawa wa TISS CCM, wanaojua kufatafsta wanasiasa wa, chadema, wanatakiwa wale waliobobobea kama, wa, kipindi cha nyerere, na Brigadier Hashim Mbita! Sio, Hawa wavaa suti,waliovimbisha matako na vitambi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…