Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia.

Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe.

Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali kila mtu akitaka chake.

Dunia sasa inabadilika ni vyema nasi kubadilika wanafamilia na wazazi wasione sifa kuwa fichia white watoto wao na kuwafukuza ili wakabangaize hovyo kwenye umasikini kwa kuanza kwenye zero.

Ni muda sasa ujuzi kuanza kuamishiana tukiwa hai iwe ujuzi wa biashara, kilimo, kazi nyingine yoyote kutoka kwa baba/mama kwenda kwa mtoto naye anafanya hivyo kwa watoto wake nao wanafanya hivyo kwa watoto wao inakuwa muendelezo.

Kupambana sasa na umasikini inabidi tulinde hata kile kidogo tulicho nacho na kukikuza ili kiongezeke ukubwa.

Tusione mila na tamaduni za wahindi na waarabu kuhusu mali ni za hovyo bali tione ni bora kabisa kuigwa katika kuvunja umasikini unao tuzunguka.

Tuamke sasa.
Ni jambo jema kushirikiana katika kuanzisha biashara kama familia lakini changamoto kubwa kwenye hili ni jamii yetu ya kitanzania kuyakosa maarifa ya msingi katika uendeshaji wa biashara.
 
Na watoto wenyewe ndio hawa wanaovaa MILEGEZO, hata ukimuuliza MASWALI YA UFAHAMU hajui chochote.

Anajua tu SIMBA na YANGA na MAYELE. Kichwa kimejaa ukurutu.

Ukimpa biashara yako anaimaliza ndani ya mwaka mmoja. Anatumbua hela na kwenda kula na MADEM. Ati MADEM!! Na amevaa mlegezo.

Ukizaa hakikisha unazaa watoto wenye akili timamu. Ni ngumu sana kupata mtoto timamu. WENGI NI MAZOMBI.

Yale MACHANJO YALE na MADAWA YA UZAZI. Taifa linazalisha MAZOMBI wanaotembea wima.

Hawawezi kuhoji, hawawezi kuuliza, hawawezi kufikiri, wanachojua ni SIMBA na YANGA.
Haya yote wametengeneza wazazi wenyewe. Namna tulivyo na tunavyoishi ndivyo tulivyo tengenezwa tuwe
 
Ni jambo jema kushirikiana katika kuanzisha biashara kama familia lakini changamoto kubwa kwenye hili ni jamii yetu ya kitanzania kuyakosa maarifa ya msingi katika uendeshaji wa biashara.
Tuna hitaji elimu kubwa katika hili kuanzia chini kabisa. Hakiwezekani Watanzania wenzetu wa races hizo wanafanya vyema katika hili na kuvunja circle of poverty katika jamii yao Ila sisi hatutaki hiki kitu.
 
Tatizo la umaskini wa ki Africa ni vizuizi katika watu wengi kufikia fursa na ukosefu wa mazingira rafiki ya mafanikio.
Na vizuizi vinaanzia kwenye familia zetu kabisa kabla ya kufika mbali tuna mazoea na tamaduni nyingi za ajabu ambazo tunapaswa achana nazo moja hii ya kuanza kwenye zero na kuacha kuendeleza kile kidogo kilichopo hii ni tamaduni ya hovyo sana.
 
Sisi waafrica maisha ya kibepari hatuyawezi kabisa kwa vile uwezo wenu ni mdogo yaani tupo nyuma.

Kama una kazi nzuri kununua eneo kubwa halafu jenga nyumba hata vyumba sita ...Watoto waishi humo labda mtu atake kutoka mwenyewe ,kuwa bussy kufanya biashara na kuwashirikisha watoto wako.
 
Na watoto wenyewe ndio hawa wanaovaa MILEGEZO, hata ukimuuliza MASWALI YA UFAHAMU hajui chochote.

Anajua tu SIMBA na YANGA na MAYELE. Kichwa kimejaa ukurutu.

Ukimpa biashara yako anaimaliza ndani ya mwaka mmoja. Anatumbua hela na kwenda kula na MADEM. Ati MADEM!! Na amevaa mlegezo.

Ukizaa hakikisha unazaa watoto wenye akili timamu. Ni ngumu sana kupata mtoto timamu. WENGI NI MAZOMBI.

Yale MACHANJO YALE na MADAWA YA UZAZI. Taifa linazalisha MAZOMBI wanaotembea wima.

Hawawezi kuhoji, hawawezi kuuliza, hawawezi kufikiri, wanachojua ni SIMBA na YANGA.
Mitoto ya watu weusi Mingi ni mijinga mijinga haijitambui
 
Katika familia sio watu wote Wana uelewa na dhima ya maendeleo , labda tuamue kutumia sungusungu kuwabadili wasio na dhima ya maendeleo waelewe hivyo.
Huko sahihi Mkuu, Ndugu yako yuko Dar na huu ni mwaka wa 10 kwake hakuna umeme na nguzo iko nyumba ya 6 mtu kama huyo hivi kweli mnaweza kuchangia mawazo ya kibiashara.
 
Tatizo ni kwamba unakuta huko kwenye hiyo FAMILY kuna WACHAWI na WAGANGA WA KIENYEJI. Bila kusahau WENYE HUSDA na VIJICHO kama bundi.

Hata ukitaka kuwasaidia unashangaa WANAKUROGA na Kukutumia MASHETANI. Wanakutengenezea MITEGO.

Achana kabisa na hawa wanaitwa NDUGU ni NYOKA. Kama una biashara yako au kazi yako kaa nao mbali. FUNGA NA VIOO. TINTED.

Pakikucha wasalimie KATA KUSHOTO.
unajaribu kuwekeza hao hao ndugu wanakuibia na kukuroga/kukuzindika pia.
ni shida
 
Kuna akina sisi ambao ni wazazi wa wazazi wetu! Yaani umezaliwa kwenye Lindi la umaskini umejikongoja kuweka mazingira sawa ya kuingiza kipato ila Kila ukijaribu kutuna kihela wanunue tofali zinapigwa juu kwa juu tena na baba mzazi wako. Mpaka unajiuliza hivi huyu ni mzazi kweli au Mimi ndio mzazi! Kweli Africa tuna laana.
 
WhatsApp Image 2023-11-21 at 11.15.42 AM.jpeg
 
Sisi waafrica maisha ya kibepari hatuyawezi kabisa kwa vile uwezo wenu ni mdogo yaani tupo nyuma.

Kama una kazi nzuri kununua eneo kubwa halafu jenga nyumba hata vyumba sita ...Watoto waishi humo labda mtu atake kutoka mwenyewe ,kuwa bussy kufanya biashara na kuwashirikisha watoto wako.
Muhimu watoto na familia kwa ujumla kuwajuza shughuli tunazo fanya A-Z.

Lazima tusafirishe ujuzi tukiwa hai, hii haipaswi kuwa hiari bali lazima tunapaswa kuvunja circle of poverty kwenye jamii yetu kwa nguvu kwa kupenda au hata kwa kutokupenda.
 
Na watoto wenyewe ndio hawa wanaovaa MILEGEZO, hata ukimuuliza MASWALI YA UFAHAMU hajui chochote.

Anajua tu SIMBA na YANGA na MAYELE. Kichwa kimejaa ukurutu.

Ukimpa biashara yako anaimaliza ndani ya mwaka mmoja. Anatumbua hela na kwenda kula na MADEM. Ati MADEM!! Na amevaa mlegezo.

Ukizaa hakikisha unazaa watoto wenye akili timamu. Ni ngumu sana kupata mtoto timamu. WENGI NI MAZOMBI.

Yale MACHANJO YALE na MADAWA YA UZAZI. Taifa linazalisha MAZOMBI wanaotembea wima.

Hawawezi kuhoji, hawawezi kuuliza, hawawezi kufikiri, wanachojua ni SIMBA na YANGA.
Mkuu, hoja zako ni nzuri sana lakini mimi ninaamini katika kubadili mitazamo ya watu.

Watoto wako wanapaswa kufanana na wewe, sidhani kama unaweza kuwa na watoto wanne na kati yao wote wakawa wajinga/vilaza na wakajaa ukurutu vichwani. Na tunaposema biashara ya familia nzima hatumaanishi familia nzima inakuwa katika uongozi, wengine wanakuwa waajiriwa tu katika huo mradi.

Ni kwasababu sisi waafrika hasa watanzania maana hawa ndio ninawajua zaidi ni wabinafsi sana ndio maana hata ukitaka kuanzisha wazo la mradi wa familia utapingwa sana na wale ambao ndio wenye uwezo mkubwa kwenye familia. Ni kwasababu tunaona sisi tumemaliza na hao ndugu maskini tutaendelea kuwatupia vihela pale watakapohitaji. Ila swali la msingi ni tutawasaidia hadi lini?

Nina rafiki ambaye kwenye familia yake(kwao) yeye pekee ndio mwenye pesa nyingi, ndugu zake wote ni njaa kali na mara kwa mara yeye ndio kimbilio. Sasa huwa namuuliza utawapa misaada midogo midogo ndugu zako hadi lini? Kwanini usianzishe biashara ambayo utaisimamia na ukawaajiri ndugu zako wasio na kazi humo na watoto wao, ukianguka leo watamkimbilia nani?

Kwahiyo ni kubadili mtazamo tu, hata hao akina MO na Bakhresa sio wote kwenye familia wenye akili ya biashara, ndio maana MO ndio yupo mbele wengine huwasikii sana lakini huwezi kuwakuta na bahasha za kaki wakipeleka CV zako zikaguliwe.
 
Back
Top Bottom