Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #61
Ni lazima mzazi amjulishe mtoto nini anafanya na kwa nini anafanikiwa ububu hausaidiiSisi tuendelee kupeleka watoto chuo kikuu Ili waje waajiriwe na hao watoto waliofeli form 4.
Watoto wajue mitkasi ya wazazi mapema na washiriki hata kama nimuuza ...
Inakuaje Mtoto wako anavaa milegezo na wewe mzazi upo. Huoni kuna pahala hujatimiza wajibu wakoNa watoto wenyewe ndio hawa wanaovaa MILEGEZO, hata ukimuuliza MASWALI YA UFAHAMU hajui chochote.
Anajua tu SIMBA na YANGA na MAYELE. Kichwa kimejaa ukurutu.
Ukimpa biashara yako anaimaliza ndani ya mwaka mmoja. Anatumbua hela na kwenda kula na MADEM. Ati MADEM!! Na amevaa mlegezo.
Ukizaa hakikisha unazaa watoto wenye akili timamu. Ni ngumu sana kupata mtoto timamu. WENGI NI MAZOMBI.
Yale MACHANJO YALE na MADAWA UCHWARA YA UZAZI. Taifa linazalisha MAZOMBI wanaotembea wima.
Hawawezi kuhoji, hawawezi kuuliza, hawawezi kufikiri, wanachojua ni SIMBA na YANGA.
Shida nyingi za wa Tz ni Sisi wenyewe, yaani shida inaanzia kwenye familia zetu, mtu moja kulisha watu watano na zaidi na hao watu ni watu wazima sio watoto. Hivyo Ile Sera ya wenzetu wa ulaya ya kwamba MTU akifika miaka 18 na hayupo Shule au chuoni aanze kujitegemea ndio tutajenga nidhamu ya uzalishaji na kujitegemea. Lakini hili la kuona ni Haki yako kulishwa na Baba, Mama au Kaka na Dada zako au hata watoto wa ndugu ndio tuharibu, familia na Taifa Kwa jumla.Huko sahihi Mkuu, Ndugu yako yuko Dar na huu ni mwaka wa 10 kwake hakuna umeme na nguzo iko nyumba ya 6 mtu kama huyo hivi kweli mnaweza kuchangia mawazo ya kibiashara.
Jamii ya Asia imeweza vipi kali ardhi hii ?Kwanza unaanza umasikini wa nchi. Nchi masikini yenye raia maskini itatoa wapi family businesses?
They had a head start. Walianza mapema.Jamii ya Asia imeweza vipi kali ardhi hii ?
Kuna wazazi wamejaribu unachokisema ila wameambulia majuto makuuu.Ni lazima mzazi amjulishe mtoto nini anafanya na kwa nini anafanikiwa ububu hausaidii
SAA NYINGINE UNAKUTANA NA FAMILIA WEZI KWELI KWELI, MTOTO MWIZI, MAMA MWIZI, BASI TAABU TUPUNi kuomba Mungu sana akupe watoto wema na waadilifu.
Tuliowahi kufanya kazi kwenye kampuni za familia tulikutana na mengi, wakati mwingine unaionea uchungu mali ya boss kuliko mwanae.
Mtoto na mama wanashirikiana kumuibia baba!SAA NYINGINE UNAKUTANA NA FAMILIA WEZI KWELI KWELI, MTOTO MWIZI, MAMA MWIZI, BASI TAABU TUPU
Na siku hizi Wazazi tumekuwa wavivu,eti urithi wa Mtoto ni Elimu,Elimu sio Mali.Mo Dewji angepewa Elimu pekee bila Mali labda leo tungekuwa hata hatumjui.Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia.
Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe.
Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali kila mtu akitaka chake.
Dunia sasa inabadilika ni vyema nasi kubadilika wanafamilia na wazazi wasione sifa kuwa fichia white watoto wao na kuwafukuza ili wakabangaize hovyo kwenye umasikini kwa kuanza kwenye zero.
Ni muda sasa ujuzi kuanza kuamishiana tukiwa hai iwe ujuzi wa biashara, kilimo, kazi nyingine yoyote kutoka kwa baba/mama kwenda kwa mtoto naye anafanya hivyo kwa watoto wake nao wanafanya hivyo kwa watoto wao inakuwa muendelezo.
Kupambana sasa na umasikini inabidi tulinde hata kile kidogo tulicho nacho na kukikuza ili kiongezeke ukubwa.
Tusione mila na tamaduni za wahindi na waarabu kuhusu mali ni za hovyo bali tuzione ni bora kabisa kuigwa katika kuvunja umasikini unao tuzunguka.
Tuamke sasa.
Haaaaaah balaahHatuwezi tumeshindwa, hata kuwaiga wanavyoendesha Nchi zao, kwa ufanisi hata Falme zao zina tija kuliko zetu mfano Mfalme wa Swaziland anachoweza ni kuwakaza mabikira wa Kinguni na kubadilisha jina la Nchi kuwa la kiukoo.
Si ajabu list hii watu wenye asili ya Asia ndio wameijaza
These families are tied to the government. They're lobbyists and tax frauds.
I'm not buying all that 'generational wealth' and 'rags to riches' bullshit.