Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

Ustaarabu walichukua kwetu...Kemeti sema tu mambo yalikuwa hayaandikwi....wabishi watapinga
Mkuu, kwanza tukubaliane kuwa hakuna mtu mweusi wala mweupe. Kwa minajili hiyo basi, tuna Wazungu na Waafrika.

Sasa tuingie kwenye hoja!

Unasema Ulaya na Marekani kumeendelea kwa migongo ya Waafrika? Kwa nini Waafrika na wenyewe hawajapaendeleza kwao?

Afrika Kusini imeendelea zaidi kuzidi nchi nyingi za Kiafrika. Unafikiri isingelikiwa Makaburu ingelikuwa na hayo maendeleo?
Kwenu wapi?
 
Kwamba wewe ni HN? Umejua kusoma na kuwaiga na kwahiyo umeendelea?

Unajidanganya na unajivutia laana kwenu.

hizo ni hulka za mwanadamu. Sasa Ukizingatia kwamba vitabu unavyotaka tuige, na mambo mengine ya wazungu, basi usisahahu kwamba hata vitabu vikuu vingi vya dini duniani vimezungumzia roho mbaya, chuki, wivu, na ujuaji ushamba n.k sasa wao walijifunza wapi?

utaona kuwa umepiga kalas hapo.
Hoja yako ni ipi hasa?

Huwa nawashangaa sana Watu weusi pale mnapopinga ukweli ulio wazi kwa kuleta hoja zisizo na msingi au uthibitisho.
 
Hakukua na Waarabu wakati huo, na hakukua na Racism wakati huo, Mafarao walichofanya ni kuunganisha Kingdom zote mbili ya Kaskazini ambayo ilikuwa na Washami na Wanubi na ya Kusini iliyokuwa na Nguvu za Kijeshi na iliyokuwa na Wanubi asilimia 97% na wote wakaunganishwa na Dini moja wakaanza kuoana na kuzaana.

Ilikuwa ni Idea nzuri na ndio chanzo cha wao kujenga Mapiramidi na Culture iliyomletea Mapinduzi makubwa Mwanadamu wa leo.
View attachment 2828615View attachment 2828616
Morden Nubians ambao bado wako Egypt na baada ya uvamizi wa Wayunani Wapersia na hatimae Waarabu ndio huu ubaguzi wa Rangi wa leo ulipoasisiwa.
Unadanganya sana ukiwa umepoteleya akili. ur a hopeless afrikan. umejaa ulozi ya laana
 
Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.

Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.

Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.

Sikiliza country music

Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money

Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell

Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Acha upuuzi Shaka zulu alisoma wapi? Mkwawa alisoma wapi?
Kabaka alisoma Wapi? Pyramid za Misri zilijengwa na Mzungu gani? Timbuktu University ilijengwa Mzungu gani ? Hao walioandika hivyo vitabu vipi waliwaji kuwa kiongozi
 
Ni lazima unafadhaika kufikiria kuwa unajua. huh? maneno makubwa yanakufanya ufikiri unajua mambo?

Ww bado ni mupumbavu. Uncle tom Niga.
mmako amekuzaa laana inakumeza na kukuunguza kwa roho. Unawaka laana.
Rubbish
 
Back
Top Bottom