Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Naunga mkonoili amalizie miradi aliyoianzisha akae miaka 20 madarakani.
Ni kweli mkuu, wasiwasi huo ulio huainisha "labda akiingia raisi mwingne anaweza akahalibu trend...."Hapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
Sawa ehee...je ukuaji huo wa uchumi unaendana na maisha halisi ya mtanzania??ndio takwim ya kweli hiyo tusipinge kila kitu vingine tuunge mkono.
Naunga mkono hoja 100%Hapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
Inahitaji mtu imara pia taasisi bila watu wanaoijenge haitakua taasisi imara pia“Africa inahitaji taasisi imara na c mtu imara”
lazima muda uongezwe ili tupige hatua za kimaendeleo.
Sentence za kuklilishwa na polepolelazima muda uongezwe ili tupige hatua za kimaendeleo.
POINT nzuri sana kwa Wana CCM, Bila CCM Madhubuti nchi itayumba? To reply press [emoji106]“Africa inahitaji taasisi imara na c mtu imara”
Mkuu jambo la msingi si kukaa miaka mingi madarakani bali ni kutengeneza msingi ambao yeyote atakayekuja ataanzia alipoishiaHapa leo tuelewane , Maana hata kwenye kupinga hua tunakua pamoja.
Tunahitaji Rais Akae Miaka 20 ili tuweze kupiga hatua ya kweli.
Miradi yenyewe ni kumalizia miundomsingi na miundombinu yote kama reli ya kisasa SGR, Miradi mikubwa ya Bara Bara inayoendelea nchi nzima, Bwawa hilo kubwa la kuzalisha umeme.
Akikaa na Akatulia Akamaliza kila kitu Alichoanzisha Basi nchi itakua imefika mbali na tutaziacha nchi nyingi za Afrika kimaendeleo.
Wasi Wasi wangu akiingia Rais mwingine ataharibu trend ya Miradi na tutajikuta kila alichoanzisha Rais Magufuli kinasimama na tutaishia hapo hivo tumuunge mkono akae Miaka hiyo 20 ili amalize kila kitu ndio astafu hapo itakua safi tu.
Miradi yote huachiana labda kama unaajenda nyingine tofauti na miradihapana trend ya miradi itaharibika lazima aongezewe muda ili tupate maendeleo endelevu.