Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

Naunga mkonyo hoja.

Unawezaje kuwa na akili timamu wakati dunia yenyewe haina akili timamu?

Hata hao wanaojifanya wana akili timamu ukiwakuta wakiwa peke yao utabaki mdomo wazi venye wanafanya mambo ya ajabu.

Unakuta mtu ni waziri kabisa na unamuheshimu sana lakini ukimpiga chabo kwa kutumia kamera za siri unamuona anajipiga dole kwenye kinyeo halafu ananusa!

Nachoka sana.

Kumbe vinyeo havina chama!
Mende kama kawaida yako😅
 
Kwema

Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes inajitokeza unaitumia

Wengi hii asilimia ya uchizi Wana iamsha na pombe, bangi .. vilevi tofauti tofauti , unga, coke na madawa mengine mengi mengi

Sisi wa kawaida bin aley, Kuna Ile stim unaipata ukinywa pombe au ukivuja bangi, uchizi ndio unakuwa hivyo, hauoni haya , hauoni aibu Kwa yeyote , unazungumza/unafanya chochote, unaweza ukavua nguo na kesho ukakatiza mtaa ule ule watu walipoona kengele/kitumbua chako

So hiki kiasi Cha uchizi ulichonacho kinatofautiana binaadamu na binaadamu Kuna wengine kimewazidia wengine kimepungua, ni mbaya sana ikizidi

Ndio unakuta watu wanasema unamuona yule kijana angekuwa anavuta bangi/pombe aisee sijui angekuaje? Unaona anayofanya hapo havuti bangi/pombe ndio hivyo angekuwa je anatumia hivyo vitu angekuaje

Sasa unakuta mtu ana asilimia ndogo sana ya hiyo asilimia ndio unakuta, mtu anamuonea aibu adi Mme wake , anamuomba atoke ndani abadili nguo, au mwanaume anamkatalia mke wake kumpa show mpaka azime taa khaa , mwanaume mpaka taa izimwe duuuh

So Raha inakuja huu uchizi ukibalance kwenye akili yako hapa ndipo unapoenjoy maisha Sasa

Kuna baadhi ya vitu hauwezi kufanya ukiwa na akili zako timamu zote ndio maana hii asilimia ya uchizi tumekuwa nayo kichwani

Huku jf Kuna baadhi ya watu akili zao Zina uchizi mwingi sana sio vizuri kuwasema inakuwa ipo nje ya uwezo wao hawawezi kujizuia. Wao mitusi tu

Hivyo tu
Chiz knowledge au
 
Ndio maana nimeamua kuukoka ili niachane na kuwaza makebo ya watu kanisani.

Unakutana na mbaba kafungasha makebo kama jimama la kinyakyusa mpaka unajiuliza hivi huyu kayatoa wapi haya?

Kuna wababa wanazingua sana hawana aibu kabisa kufungasha makebo makubwa mbele ya kadamnasi.
Hivi Donald Trump yale makebo kayatoa wapi?
 
FB_IMG_1783681021101.jpg
 
Kila mtu ni kichaa. Kama ungekuwa unazungumza na kuyatenda yale yote yanayokuja kwenye akili yako Kila muda watu wangekushangaa sana.

Hebu assume uko kanisani unawaza kudinya, kunyetuka, n.k halafu ukayazungumza hayo unayoyawaza.

Tofauti pekee kati ya hao tunaowaita vichaa na sisi ni kwamba wao wananena na kufanya yale wayafikiriayo muda huohuo.

Dr am 4 real PhD.
Akili/ fikra za binadamu ni KICHAKA KIKUBWA MNO
 
Naunga mkonyo hoja.

Unawezaje kuwa na akili timamu wakati dunia yenyewe haina akili timamu?

Hata hao wanaojifanya wana akili timamu ukiwakuta wakiwa peke yao utabaki mdomo wazi venye wanafanya mambo ya ajabu.

Unakuta mtu ni waziri kabisa na unamuheshimu sana lakini ukimpiga chabo kwa kutumia kamera za siri unamuona anajipiga dole kwenye kinyeo halafu ananusa!

Nachoka sana.

Kumbe vinyeo havina chama!
Ila bichwa komwe😂
 
Kuna muda inabidi ujitoe ufahamu kidogo
Mm mara ya kwanza kujitoa ufahamu niliwadai wazazi kodi ya nyumba
 
Back
Top Bottom