Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

Ili uenjoy maisha lazima uwe una uchizi kidogo kichwani mwako

Ndio maana nimeamua kuukoka ili niachane na kuwaza makebo ya watu kanisani.

Unakutana na mbaba kafungasha makebo kama jimama la kinyakyusa mpaka unajiuliza hivi huyu kayatoa wapi haya?

Kuna wababa wanazingua sana hawana aibu kabisa kufungasha makebo makubwa mbele ya kadamnasi.
Unatamani makebo ya wanaume wenzio?
 
Kwema

Kuna baadhi ya vitabu nimewahi kusoma mwandishi anaeleza kuwa kila mwanaadamu ana asilimia ya ukichaa/uchizi kwenye akili yake na hii asilimia ya uchizi imejificha , na sometimes inajitokeza unaitumia

Wengi hii asilimia ya uchizi Wana iamsha na pombe, bangi .. vilevi tofauti tofauti , unga, coke na madawa mengine mengi mengi

Sisi wa kawaida bin aley, Kuna Ile stim unaipata ukinywa pombe au ukivuja bangi, uchizi ndio unakuwa hivyo, hauoni haya , hauoni aibu Kwa yeyote , unazungumza/unafanya chochote, unaweza ukavua nguo na kesho ukakatiza mtaa ule ule watu walipoona kengele/kitumbua chako

So hiki kiasi Cha uchizi ulichonacho kinatofautiana binaadamu na binaadamu Kuna wengine kimewazidia wengine kimepungua, ni mbaya sana ikizidi

Ndio unakuta watu wanasema unamuona yule kijana angekuwa anavuta bangi/pombe aisee sijui angekuaje? Unaona anayofanya hapo havuti bangi/pombe ndio hivyo angekuwa je anatumia hivyo vitu angekuaje

Sasa unakuta mtu ana asilimia ndogo sana ya hiyo asilimia ndio unakuta, mtu anamuonea aibu adi Mme wake , anamuomba atoke ndani abadili nguo, au mwanaume anamkatalia mke wake kumpa show mpaka azime taa khaa , mwanaume mpaka taa izimwe duuuh

So Raha inakuja huu uchizi ukibalance kwenye akili yako hapa ndipo unapoenjoy maisha Sasa

Kuna baadhi ya vitu hauwezi kufanya ukiwa na akili zako timamu zote ndio maana hii asilimia ya uchizi tumekuwa nayo kichwani

Huku jf Kuna baadhi ya watu akili zao Zina uchizi mwingi sana sio vizuri kuwasema inakuwa ipo nje ya uwezo wao hawawezi kujizuia. Wao mitusi tu

Hivyo tu
Kichaa ni upi, hayawani ni upi? Ukichaa ninaouelewa si wa kuombea yeyote awe nao haijalishi ni kiasi kidogo kiasi gani. Mtu mpaka analazimika kutumia sawa, asiyetambua hatari anayolabilisns nayo. Si ukichaa wa kuutamani. Naona kuna wanaoongelea uraibu zaidi kuliko ukichaa.
 
Back
Top Bottom