Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?Kuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu.
Sasa najiuliza vita Gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa ni wananchi wa kawaida na siyo wanajeshi ambao hufundishwa kupigana vita.
Vita ni mbaya na kwa kawaida huwezi kuwa na utu wakati wa vita.
Ukristo umeingiaje hapa. Hata Ukraine ni vita ile. Vita haina utu.Mbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?
hujui ukirsto umeiangiaje? kaa hapa JF KAMA massa 3 halafu uone comments za wakiristo wenzio halafu utauliza hilo swalaUkristo umeingiaje hapa. Hata Ukraine ni vita ile. Vita haina utu.
Kwenye vita kuna kitu kinaitwa "collateral damage" yaani hasara ya kiutu isiyokusudiwa.
Unapigana vita adui yako anatumia raia (human shield) kujificha. Wewe ukiwa ndiyo kamanda wa kikosi chako utafanyaje?
Maana hapo raia wanakuwa ni mateka tu wa wapiganaji na hawana cha kufanya kujitoa kwenye mtanziko huo.
Komenti za wengine zinanihusu nini Mimi!?hujui ukirsto umeiangiaje? kaa hapa JF KAMA massa 3 halafu uone comments za wakiristo wenzio halafu utauliza hilo swala
Komenti za wengine zinanihusu nini Mimi!?
Hivi haiwezekani kujadili jambo bila ya kujumuisha mawazo ya wengine!?
Bandiko hili nimeandika kwa kutumia mtizamo wangu na siyo kutokana mawazo ya "wakristo wenzangu".
Mwalimu Nyerere alikuwa mkristo lakini aliwaunga mkono Palestina na kuwatimua nchini Israel.
Tundu Lissu ni mkristo lakini anawaunga mkono Palestina. Na naamini wapo pia waislam wanaowaunga mkono Israel.
Fake Muslim akiwa kaziniMbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?
Hizo ni hisia zako.Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, kufa ni Faida. Wafilipi 1.21
Hapa umeonyesha unaandika hili makala huku umevaa mslaba mkubwa tu
Mbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?
Wanajeshi wa ukraine hawajifichi kwenye maeneo ya wanawake na watoto kama shuleni na hospitalini na kwenye nyumba za raiaMbona UKRAIN wanapiga kelele wakiuliwa watoto? au kwa sababu 99% ni wakirsto?
Tunataka vita iishe kabisa na sio kubadilisha aina ya vitaKuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu.
Sasa najiuliza vita gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa ni wananchi wa kawaida na siyo wanajeshi ambao hufundishwa kupigana vita.
Vita ni mbaya na kwa kawaida huwezi kuwa na utu wakati wa vita.
UN walikaa chini na kuja na kanuni ya proportionality wakati wa Vita!Ukristo umeingiaje hapa. Hata Ukraine ni vita ile. Vita haina utu.
Kwenye vita kuna kitu kinaitwa "collateral damage" yaani hasara ya kiutu isiyokusudiwa.
Unapigana vita adui yako anatumia raia (human shield) kujificha. Wewe ukiwa ndiyo kamanda wa kikosi chako utafanyaje?
Maana hapo raia wanakuwa ni mateka tu wa wapiganaji na hawana cha kufanya kujitoa kwenye mtanziko huo.
utakuwa unasikiliza redio Vatikan weweWanajeshi wa ukraine hawajifichi kwenye maeneo ya wanawake na watoto kama shuleni na hospitalini na kwenye nyumba za raia
Two weeks after Russia launched its invasion of Ukraine, Kremlin-backed rebels assaulted a nursing home in the eastern region of Luhansk. Dozens of elderly and disabled patients, many of them bedridden, were trapped inside without water or electricity.Wanajeshi wa ukraine hawajifichi kwenye maeneo ya wanawake na watoto kama shuleni na hospitalini na kwenye nyumba za raia
Sasa kama Hamas kambi zao na mitandao yao yote ipo kwenye makazi ya watu inakuaje hapo?Nadhani utu unaozungumziwa ni wanajeshi kwa wanajeshi kupigana na sio kujumuisha raia katika mauaji.
wakiristo mumesoma lakni akili mnazifisha miguuni mnapoona mambo ya waislam. Unaona miaka 20 sasa Hamas wamenyimwa misaada lakni wanapigana na Isreal hadi leo Marekani anawaangukia Hamas wakubali suluhu. sasa kama Hamas maiti mbona kunatumika mbinu Kubwa kutaka wafanye suluhu? Huoni chadema walivyodharauliwa na CCM hata hawashirikishwi? kwa sababu hawana chochote. wakitaka wataingia katika uchaguzi au hawataki basi. Lkn Hamas wanaombwa wasitishe vita. Ireal alichofanikiwa kuuwa watoto na wanwakeSasa kama Hamas kambi zao na mitandao yao yote ipo kwenye makazi ya watu inakuaje hapo?
Hamas sio wajinga ati, kama Hamas wangekua na kambi za jeshi maeneo nje ya raia au wanakwenda kwenye open space kupambana na IDF vita ingekwisha ndani ya wiki tu
Ndege zingemwaga mabomu kama mvua
Hamas wana bunduki na maroketi tu wakati IDF wana uwezo wa kupata silaha zote unazozijua duniani
Mkuu mimi siamini kati Mungu yeyote yule, hizo ni Hadithi tuwakiristo mumesoma lakni akili mnazifisha miguuni mnapoona mambo ya waislam. Unaona miaka 20 sasa Hamas wamenyimwa misaada lakni wanapigana na Isreal hadi leo Marekani anawaangukia Hamas wakubali suluhu. sasa kama Hamas maiti mbona kunatumika mbinu Kubwa kutaka wafanye suluhu? Huoni chadema walivyodharauliwa na CCM hata hawashirikishwi? kwa sababu hawana chochote. wakitaka wataingia katika uchaguzi au hawataki basi. Lkn Hamas wanaombwa wasitishe vita. Ireal alichofanikiwa kuuwa watoto na wanwake