Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu.
Sasa najiuliza vita gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa ni wananchi wa kawaida na siyo wanajeshi ambao hufundishwa kupigana vita.
Vita ni mbaya na kwa kawaida huwezi kuwa na utu wakati wa vita.