Ilianza jamuhuri kwanza,Kisha vyama vya siasa halafu awamu za uongozi na majina ya watu baadae,kwanini jamuhuri inadogoshwa!!?

Ilianza jamuhuri kwanza,Kisha vyama vya siasa halafu awamu za uongozi na majina ya watu baadae,kwanini jamuhuri inadogoshwa!!?

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
1,472
Reaction score
2,766
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!?

Ni nani tumpe kiti airudishe jamhuri katika ukuu wake kitaasisi na kiutendaji!!?no nani atachora mstari ambao hautavukwa kuitenda jamhuri!?Leo mwanasiasa anaifanya jamhuri atakavyo vyovyote vile na sisi busyness as usual!!

Muda umefika was kumuingiza atakaerudisha jamhuri kama jina kuu na sio wanasiasa na majina yao!

Mungu ibariki jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
 
Back
Top Bottom