Ilikuwa ni suala la muda tu, nilijua lazima Harmonize atusue kwenye hii game

Ilikuwa ni suala la muda tu, nilijua lazima Harmonize atusue kwenye hii game

Muda huu naisikiliza ngoma yake inapigwa sijui ni meridian au uhuru peak!

koh koh! jeshiii...!
 
Muda huu naisikiliza ngoma yake inapigwa sijui ni meridian au uhuru peak!

koh koh! jeshiii...!
Kwamba mkuu kinondoni ...pengine hapo mitaa ya M.K coz ndo katikati ya meridian na uhuru peak
 
Kwamba mkuu kinondoni ...pengine hapo mitaa ya M.K coz ndo katikati ya meridian na uhuru peak
MK choka mbaya siku hizi wanakarabati. Mitaa ile kiwanja ni Meridian na MK, kidogo na Ras Kalinyo anakuja juu yupo Mwanamboka.
 
Harmonize ameinuka tena baada ya kutomdis kila siku tena baba ake mond ,, nilichogundua mashabiki wengi wa mondi ndio wameamia kwa jeshi kubali kataa ,,, na hiyo ni baada ya mondi kuanza kuwavimbia mpaka mashabiki wake et hawawezi kumpangia cha kuimba " siku zote mashabiki hawana pa kusemea wanachokifanya ni kumuangalia mtu wa kaliba yako na hapo ndo watampandisha na kumshusha mwingne,, mengine naongeza bdae
 
Ngoja aje hapa H.Baba kwa ID fake,atatokwa povu kama mgonjwa wa kifafa.

😂😂😂😂
 
Harmonize ni msanii mzuri wananchi wamemkubali Sana wakati huu lakini nakataa kusema amewafunika wcb bado mana hatua aliyopo tayari diamond alishaipita nyimbo kusiskika kila mtaa na kuchezwa kila radio.
Data hazidanganyi diamond bado yupo mbali kimauzo ya mziki wake angalia huko youtube na mitandao mingine ya kuuza nyimbo
 
Back
Top Bottom