mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
gari linalopitwa speed huwa liko mbele siku zote.Harmonize ni msanii mzuri wananchi wamemkubali Sana wakati huu lakini nakataa kusema amewafunika wcb bado mana hatua aliyopo tayari diamond alishaipita nyimbo kusiskika kila mtaa na kuchezwa kila radio.
Data hazidanganyi diamond bado yupo mbali kimauzo ya mziki wake angalia huko youtube na mitandao mingine ya kuuza nyimbo
kama kuna kosa watafanya tena wcb ni kudhania konde ni mchovu.
konde anafanya mambo yale yale yaliyomweka mond alipo.