Msanii ambaye mkali mitandaoni, ila bingwa wa kuhairisha show.
Tar 15 may-Burundi Kimya
6 may -Uganda Kimya
18 may-Rwanda Kimya
30 June-London Kimya.
Tarehe 2 July mpaka Majizo na EFM wakampa promo Kimya na alivyo kuwa mwepesi kusahau leo kawaomba msamaha mashabiki wa Germany Frankfurt kwa kuhairisha show yake ya tarehe 2 July,huku akisahau July 2 alitangaza atakuwa na show Uhuru Stadium.
Yote tisa kumi dogo Ibraah kaachia album promo hamna, kashindwa kumuandalia hata promo tu ya instalive na YouTube,album inaenda kinyonge.
Ukiifuatilia anatisha ila kiuhalisia wa kawaida.