Kwahiyo Maghufuli alipokuwa akisema “anatafuta taarifa”, unadhani Lissu alikuwa akiongea na nani? Umeitizama ile video Lissu aliyoelezea hii issue? Nimeiweka kwenye ile thread yangu ya “Mapendekezo 21 ya Professor Osoro”
Deo Sanga ni makambakoPUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.
Mzee huenda elimu yako ni kama yangu darasa la 7 lkn uelewa wangu na wako ni tofaut...picha bila caption ni sawa na kichwa bila ubongo
Wa singida United ni Festo Sanga.Huyo ni deo sanga aliyekuwa kiongozi wa singida united
..kuna mbunge mwingine ambaye jamaa zake walisema alikuwa anawasiliana na Deo Mwanyika. sitaki kumtaja mbunge huyo.
..Mwanyika na wenzake walikamatwa ili kuwashinikiza acacia wafute kesi waliyokuwa wameifungua dhidi ya serikali ktk mahakama ya kimataifa.
Kuna ka ukweli kadogo, japo na wao kina mwanyika ilikuwa ni salama yao. Na hii bila kuficha ilitokana na influence kubwa aliyo kuwa nao Mwanyika The Attoney General . Tupo pamoja Mkuu. Ukitoa comment / uzi / Habari ikinyooka I will always give you a pat on your back.
Na yale mashtaka 92 ya uhujumu uchumi aliyapangua vipi?Deo Mwanyika hakuhukumiwa na mahakama acheni Uzushi .Alikuwa akidaiwa Deni na TRA akalipa tatizo like wapi?
Wewe ukidaiwa Deni ukalipa Ni mhalifu?
Mbona watu kibao hudaiwa na TRA na hulipa madeni kwa kuwa dawa ya Deni kulipa
Kalipa Yuko huru kugombea mbona wengine Ni wagombea CCM na Upinzani na wanadaiwa madeni kibao kwenye mabenki,Saccos na TRA mbona mleta Maada huwaoni kuwa wahalifu? Mbona wanechukua fomu na kushinda chaguzi za vyama vyao?
Deo Mwanyika Yuko huru kugombea Deni so sababu ya kunyimwa na kalilipa
Hayakuhusu ila aliyapangua na mahakama haikumhukumu nayoNa yale mashtaka 92 ya uhujumu uchumi aliyapangua vipi?
We ndo hujui mkuuYule wa Njombe mjini nadhani ni DEO SANGA na sio huyo Mwanyika
Del sanga makambako, del mwanyika njombe mjiniNjombe kama sijakosea ni Deo Sanga kwa tiketi ya CCM mkuu
SPUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.
Mungu aniepushie kikombe hikiUkikosea ukaanza kuwaamini tu, utaingia kwenye mtego wa shetani, utaishia kuwasujudia.
AMENMungu aniepushie kikombe hiki
Ni mwenyewe ndio, unaonaje kama ukawashauri cdm wamwekee pingamizi kama hana sifa, la kama sivyo basi hao ccm wameona anafaa hata kumteua. Istoshe watu wanamkubali sana hukuKama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Mkuu sijasema hakubaliki...binafs sina chuki nae hata kidgo.Ni mwenyewe ndio, unaonaje kama ukawashauri cdm wamwekee pingamizi kama hana sifa, la kama sivyo basi hao ccm wameona anafaa hata kumteua. Istoshe watu wanamkubali sana huku
Ilikuwa maigizo ili wapinzani wakose hoja, hakukaa gerezani, siku ya mahakama ndio alikuwa analetwa geresha, mambo mengi muda mchache.Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Ok nilichanganya mkuu. Si ndo yule aliyetuhumiwa na kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi? Kweli ccm ukiwa na pesa tu system ya kwako. .Vita dhidi ya ufisadi ni sound tu za mekoDel sanga makambako, del mwanyika njombe mjini