Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Kwahiyo Maghufuli alipokuwa akisema “anatafuta taarifa”, unadhani Lissu alikuwa akiongea na nani? Umeitizama ile video Lissu aliyoelezea hii issue? Nimeiweka kwenye ile thread yangu ya “Mapendekezo 21 ya Professor Osoro”

..kuna mbunge mwingine ambaye jamaa zake walisema alikuwa anawasiliana na Deo Mwanyika. sitaki kumtaja mbunge huyo.

..Mwanyika na wenzake walikamatwa ili kuwashinikiza acacia wafute kesi waliyokuwa wameifungua dhidi ya serikali ktk mahakama ya kimataifa.
 
Kuna ka ukweli kadogo, japo na wao kina mwanyika ilikuwa ni salama yao. Na hii bila kuficha ilitokana na influence kubwa aliyo kuwa nao Mwanyika The Attoney General . Tupo pamoja Mkuu. Ukitoa comment / uzi / Habari ikinyooka I will always give you a pat on your back.
 
Deo Mwanyika hakuhukumiwa na mahakama acheni Uzushi .Alikuwa akidaiwa Deni na TRA akalipa tatizo like wapi?

Wewe ukidaiwa Deni ukalipa Ni mhalifu?

Mbona watu kibao hudaiwa na TRA na hulipa madeni kwa kuwa dawa ya Deni kulipa

Kalipa Yuko huru kugombea mbona wengine Ni wagombea CCM na Upinzani na wanadaiwa madeni kibao kwenye mabenki,Saccos na TRA mbona mleta Maada huwaoni kuwa wahalifu? Mbona wanechukua fomu na kushinda chaguzi za vyama vyao?

Deo Mwanyika Yuko huru kugombea Deni so sababu ya kunyimwa na kalilipa
 
..ukilipa maana yake umekubali makosa.

..huyu anataka "zindiko" la ccm ili aendelee na maisha yake bila usumbufu.

..nia yake siyo kutumikia ubunge, bali kuwaonyesha ccm kuwa yeye ni mwenzao, na amesamehe.

cc jmushi1 , Kilatha, tindo

Kuna watu wanapiga propaganda mfu eti Magufuli anapambana na ufisadi na rushwa. Hii ndio mifano halisi kuwa hapambani na ufisadi wowote, bali anakomoa watu.
 
Kuna ka ukweli kadogo, japo na wao kina mwanyika ilikuwa ni salama yao. Na hii bila kuficha ilitokana na influence kubwa aliyo kuwa nao Mwanyika The Attoney General . Tupo pamoja Mkuu. Ukitoa comment / uzi / Habari ikinyooka I will always give you a pat on your back.

..asante.

..kwani Johnson Mwanyika, former AG, anatokea Njombe?

..mimi ninavyofahamu AG Mwanyika aliangushiwa jumba bovu ktk kashfa ya richmond.

..ule ulikuwa ni mradi wa wakubwa zake na yeye hakuwa na uwezo wa kuwazuia kufanya mambo yao.
 
Deo Mwanyika hakuhukumiwa na mahakama acheni Uzushi .Alikuwa akidaiwa Deni na TRA akalipa tatizo like wapi?

Wewe ukidaiwa Deni ukalipa Ni mhalifu?

Mbona watu kibao hudaiwa na TRA na hulipa madeni kwa kuwa dawa ya Deni kulipa

Kalipa Yuko huru kugombea mbona wengine Ni wagombea CCM na Upinzani na wanadaiwa madeni kibao kwenye mabenki,Saccos na TRA mbona mleta Maada huwaoni kuwa wahalifu? Mbona wanechukua fomu na kushinda chaguzi za vyama vyao?

Deo Mwanyika Yuko huru kugombea Deni so sababu ya kunyimwa na kalilipa
Na yale mashtaka 92 ya uhujumu uchumi aliyapangua vipi?
 
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.

Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.

Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.

Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.

Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.

Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Ni mwenyewe ndio, unaonaje kama ukawashauri cdm wamwekee pingamizi kama hana sifa, la kama sivyo basi hao ccm wameona anafaa hata kumteua. Istoshe watu wanamkubali sana huku
 
Mkuu sijasema hakubaliki...binafs sina chuki nae hata kidgo.
Isipokuwa makandokando yake ya uhujumu Uchumi kwa mjibu wa Mwenyekiti anaepambana na mafisadi huyo Bwana hakufaa kupewa kijiti..sheria inamruhusu kugombea koz hukumu yake haikutoka isipokuwa alilipa faini ya bilioni 1.5 means alikubali kosa
 
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.

Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.

Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.

Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.

Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.

Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Ilikuwa maigizo ili wapinzani wakose hoja, hakukaa gerezani, siku ya mahakama ndio alikuwa analetwa geresha, mambo mengi muda mchache.
Umesahau TAKUKURU imesema rushwa ndani ya CCM washughulikie wenyewe, as if CCM ni taasisi iliyoundwa na mamlaka kushughulikia rushwa,
 
Back
Top Bottom