Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Mkuu jamaa alikuwa na mashtaka ya kukwepa kodi sio TRA walikuwa wanamdai iweje deni liwe kosa la uhujumu uchumi.?
Kisheria anagombea ila mtu alokwepa kodi akakiri kulipa ..MAGUFULI anavyowachukia hao wahujumu uchumi asingefaa kupeperusha Bendera ya chama
 
Kwahiyo vita dhidi ya ufisadi ni watu ambao hawana connection na system?
Nakumbuka yale ya RPC wa Arusha aliposema A=B and B=C therefore A=C akimaanisha A ni CCM, B ni serikali na C ni vyombo vya dola
 
Mwanyika mashitak yake yalikuwa kukwepa kulipa kodi hayakuhusiana na ACACIA kaka.
 

Ama kweli, CCM ni mbwa kichaa.
 
Sio mambo yote huwa kama ambavyo watu wengine tunayaona, tukumbuke hawa ni wanasi-hasa.
 
Kinachoumiza jamaa alikuja na mkwara mafisadi mafisad mahakama mahakama ..mafisad yamenikimbia yameenda CHADEMA yakarudi ...wana CCM kimya.
Mara amesamehe mafisadi ccm kimya .
Mafisadi amewapa nafasi huko kugombea tena CCM kimya .
 
Kinachoumiza jamaa alikuja na mkwara mafisadi mafisad mahakama mahakama ..mafisad yamenikimbia yameenda CHADEMA yakarudi ...wana CCM kimya.
Mara amesamehe mafisadi ccm kimya .
Mafisadi amewapa nafasi huko kugombea tena CCM kimya .
Hii siasa ni mara ya kwanza Tanzania, wanaodanganywa ni huko vijijini , na wamenyima watu elimu.
Hakuna chombo cha habari kinadhubutu kuhoji hilo.
 
..hayo makosa aliyafanya akiwa afisa wa acacia.

..hata mshitakiwa mwenzake pia alikuwa afisa wa acacia.

..ukipatikana na hatia ya kukwepa kodi naamini unakosa sifa za kugombea uongozi.
Hukumuilitka mahakamani? kesi imeisha? usiongee usilojua, PCCB washasema rushwa ndani ya CCM itashughulikiwa na CCM wenyewe, hukuelewsa ile kauli ilitolewa kwa sababu gani?
 
Hukumuilitka mahakamani? kesi imeisha? usiongee usilojua, PCCB washasema rushwa ndani ya CCM itashughulikiwa na CCM wenyewe, hukuelewsa ile kauli ilitolewa kwa sababu gani?

..huyu jamaa nia yake siyo ubunge.

..yeye anataka asisumbuliwe tena na serikali ya ccm.

..anataka kutuma ujumbe kwa watawala kwamba yeye ni mwenzao na amesamehe walichomtendea.

..plea deal / kukiri makosa yake kunamuondolea sifa za kuwa mgombea.

..yeye ni mwanasheria na anaelewa hilo.
 
Kama ndo hivyo mbona jamaa analo pingamizi la kutiwa hatiani kwa kukwepa kodi?
 
true, plea of gulty and being pardoned doesnt exenorate from liability,
 
Itakuwa hata akina Lugola na Andengenye ile ishu yao ilikuwa ni ya kupika tu. Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea.
 
Tuliandika humu kitaaaambo huyu bwana anatafutiwa ubunge
Mwanzo tulidhani yupo upinzani kumbe tulijidanganya
Ufupi haijalishi Njombe wagumu wana misimamo
Labda pesa yake itawafanya wanyalu waamini atawagawia akiwa mbunge wao
Let's wait n see
 
Yule wa Njombe mjini nadhani ni DEO SANGA na sio huyo Mwanyika
Deo Sanga ni Makambako na ni mbunge ameshatumikia vipindi viwili au vitatu hapo Makambako. Huyu Deo Mwanyika ni ingizo jipya katika siasa na anagombea Njombe mjini. Sasa unaweza kutoa mchango wako kwa hoja za mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…