Sio Imani zote za KiAfrica zilikosa utu, sio Imani zote ziliua watoto wachanga au kukeketa mabinti, Kuna makabila hata wanaume walikuwa hawatahiri.Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Sasa unaona balaa Hilo, jamii ambazo hata wanaume hawatairiwi unadhani huo ni ustaarabu?Kuna makabila hata wanaume walikuwa hawatahiri.
Umejuaje hawakua na sababu za msingi?Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
hilo la kukeketa umechemsha, watu bado wanakeketa freshi tu na halikuwa na ubaya, hata wanaume hukeketwa, tafsiri ni ileile kukata na kuondoa sehemu fulani ya kiungo cha uzazi, ama kinyama au ngozi.Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Kama sababu zilikuwepo zingefahamika, ni Imani potofu na ukosaji wa elimu.Umejuaje hawakua na sababu za msingi?
Kwahiyo wewe unaunga mkono swala la ukeketaji?hilo la kukeketa umechemsha, watu bado wanakeketa freshi tu na halikuwa na ubaya, hata wanaume hukeketwa, tafsiri ni ileile kukata na kuondoa sehemu fulani ya kiungo cha uzazi, ama kinyama au ngozi.
Hazifahamiki au ni wewe hauzijui tu?Kama sababu zilikuwepo zingefahamika, ni Imani potofu na ukosaji wa elimu.
Hazifahamiki, kama unajua nipe sababu ya kuuwa watoto wenye ulemavu, nipe sababu za kuchinja mbuzi makaburini.Hazifahamiki au ni wewe hauzijui tu?
Kwa hiyo unahisi walifanya tu bila sababu? Wewe unavyosali kwenye hyo dini yako na kunywa wine ukidai ni damu ya yesu, sababu yako yakufanya hivyo ni ipi?Hazifahamiki, kama unajua nipe sababu ya kuuwa watoto wenye ulemavu, nipe sababu za kuchinja mbuzi makaburini.
ee naunga mkono swala hilo la kijamii. We unatoka jamii gani isiyokeketa?Kwahiyo wewe unaunga mkono swala la ukeketaji?
Kama sababu zipo na wewe unazijua ziseme hapa.Kwa hiyo unahisi walifanya tu bila sababu?
Mimi sinywi au kula chochote Kwa kudhani ni damu ya binadamu mwenzangu.Wewe unavyosali kwenye hyo dini yako na kunywa wine ukidai ni damu ya yesu, sababu yako yakufanya hivyo ni ipi?
Naona mmeama kutairi ni diniSasa unaona balaa Hilo, jamii ambazo hata wanaume hawatairiwi unadhani huo ni ustaarabu?
Anadai hao watu wa zamani walifanya bila sababuee naunga mkono swala hilo la kijamii. We unatoka jamii gani isiyokeketa?
Kukeketa namaanisha kitendo wanancho fanyiwa mabinti, kama unaungana na Hilo basi wewe ni tishio katika jamii.ee naunga mkono swala hilo la kijamii. We unatoka jamii gani isiyokeketa?
Kwa hiyo walikeketa bila sababu?Kama sababu zipo na wewe unazijua ziseme hapa.
Mimi sinywi au kula chochote Kwa kudhani ni damu ya binadamu mwenzangu.
Kukeketa hakuna shida. Shida ni mtu kulazimishwa kukeketwaKwahiyo wewe unaunga mkono swala la ukeketaji?