Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,564
- 8,810
Wapo ambao wanakeketwa Kwa mapenzi yao au ridhaa yao?Kukeketa hakuna shida. Shida ni mtu kulazimishwa kukeketwa
Wapo ambao wanakeketwa Kwa mapenzi yao au ridhaa yao?Kukeketa hakuna shida. Shida ni mtu kulazimishwa kukeketwa
Kama zipo unazijua zitaje.Kwa hiyo walikeketa bila sababu?
You tell meWapo ambao wanakeketwa Kwa mapenzi yao au ridhaa yao?
Walikua na sababu zao za kitamaduni na kidesturi , hauwezi sema hawakua na sababu zamisingi kisa wewe umeathiriwa na utamaduni wa kuigaKama zipo unazijua zitaje.
Sio waafrika tu hata wazungu imani zao za asili hawajaziacha bado japo wnazo diniYoda kama hujui waafrika hawakuacha dini zao za asili mjuba. Unakuta mtu ni kobazi au mgalatia lakini bado anaamini mizimu, anafanya ibada za kijadi na anakwenda kwa waganga wa kienyeji. Waafrika hawakuacha dini zao za asili, wamekuwa ni double standard, wanachanganya dini na imani, waroma wanaita utamadunisho
Kwani wazungu wanatahiri?Sasa unaona balaa Hilo, jamii ambazo hata wanaume hawatairiwi unadhani huo ni ustaarabu?
Kwa taarifa yako hao wazungu ndio magwiji wa kuuwa watoto wachanga wenye changamoto za ulemavu wala hawana utu unaohisi wanao.Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Amekariri , bila kujua wazungu walioleta dini pia mpaka sasa wa tamaduni zao ambazo zipo kinyume na dini mfano wa ndoa za jinsia mojaKwani wazungu wanatahiri?
Ndoa ya jinsia moja ni tamaduni kwa wazungu?Amekariri , bila kujua wazungu walioleta dini pia mpaka sasa wa tamaduni zao ambazo zipo kinyume na dini mfano wa ndoa za jinsia moja
Kutokana na mtazamo wa kihistoria naweza kusema ni desturi za wazunguNdoa ya jinsia moja ni tamaduni kwa wazungu?
tishio kivipi? Hilo tendo la kukeketa bado linafanyika sana tu katika jamii nyingi. Mimi kama mimi katika mademu ninaokutana nao kimapenzi ni mmoja tu ndio nimeona hajakeketwa, hao wengine wote wamekeketwa. Waliokeketwa wanawadharau wasiokeketwa na kuwaona ni wachafuKukeketa namaanisha kitendo wanancho fanyiwa mabinti, kama unaungana na Hilo basi wewe ni tishio katika jamii.
Ukristo ambayo ni dini iliyokua na wazungu kuanzia Roman empire ni utamaduni wao ambapo hiyo dini imewasadia sana katika kutawala dunia,Afrika bado tunawaza ukoloni hadi leo na ndio maana hata hili suala la dini tunajiona kama ni sisi tu pekee ndio ukristo na uislamu uliziondoa imani zetu za awali.
Leo hii kuna mataifa yameenea uislamu au ukristo ila watu hawaji shughulishi kujua kwamba huko zamani walikuwa na imani zao zengine pengine kutokana na maendeleo yao ila sisi waafrika tunafikia hadi kuhusisha kuwa kwetu nyuma kimaendeleo na kuacha imani zetu za asili za mababu.