Utamaduni ni mjumuisho wa kila kitu kinachofanyika kwenye jamii fulani.Mimi naelewa utamaduni ni mila,asili, jadi na desturi za kundi la jamii husika.
Kwa hiyo kwa sasa ni sahihi kusema ushoga ni sehemu ya utamaduni wa wazungu wa Ulaya Magharibi.
Utamaduni ni mjumuisho wa kila kitu kinachofanyika kwenye jamii fulani.Mimi naelewa utamaduni ni mila,asili, jadi na desturi za kundi la jamii husika.
Hii ukienda Egypt, Somalia, Sudan ambako Uislam umetamalaki utashangaa jinsi hii tamaduni ilivyojikita na kuota mizizi. Hadi wakihamia ulaya wanahamia na hii tabiawanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Ni suala pana hili na si kama tunavyolichukulia tu kirahisi kwamba et uislamu ni utamaduni wa waarabu na ukristo ni utamaduni wa wazungu.Dini ni mojawapo ya sehemu ya utamaduni.
Hao Wasomali ukeketaji wao sio mchezo , sidhani kama kuna watu wanawafikia.Hii ukienda Egypt, Somalia, Sudan ambako uislam umetamalaki utashanhaa jinsi hii tamaduni ilivyojikita na kuota mizizi. Hadi wakihamia ulaya wanahamia na hii tabia
Ushoga haujabeba sura ya utamaduni huko bali ni suala la haki za binaadamu.Utamaduni ni mjumuisho wa kila kitu kinachofanyika kwenye jamii fulani.
Kwa hiyo kwa sasa ni sahihi kusema ushoga ni sehemu ya utamaduni wa wazungu wa Ulaya Magharibi.
It was kinda joke mkuu, don’t take it that serious lol! Najua na ni mpingaji mzuri wa FGMMkuu,kama una nauli mwaka huu mwezi wa 12 katikati nenda kwa wakurya wa Kenya ni jirani na Sirari ,hauhitaji visa wala passport. Huu ni mwaka wa kutahiri na kukeketa, wakurya wa Tz hawakeketi siku hizi, hivyo ukitaka ujionee wanaokeketwa wanakuwaje,Kenya ni mahali sahihi. Ukishaona wale mabinti wanavyovuja damu barabarani sidhani kama utaona ukeketaji ni kitu sahihi. Na ukibahatika kupata mtu aliyekeketwa akusimulie kile kitendo, utajuta hata kwanini umeenda huko. Anaetetea ukeketaji hajui madhira wanayopitia hao wanaokeketwa,ukijua madhira wanayokutana nayo,utalaaani mtu alieanzisha mila ya ukeketaji.
haki za binadamu ni universal?Ushoga haujabeba sura ya utamaduni huko bali ni suala la haki za binaadamu.
Umeuliza swali au?haki za binadamu ni universal?
Hazijafutwa wala hazijawahi kuwepo.Hakukua na Organised Religion ndani ya Africa.Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k
Nini kilisababisha dini za Waafrika kuwezekana kufutwa kirahisi na kumalizwa kabisa na dini mpya za wageni?
Kuswali mara tano kwa siku nayo ni masharti magumu pia.Be careful for what you wish for. Mizimu iliwatesa sana wazee wetu. Haya endeleeni. Hakuna dini ya Africa iliwaacha watu bila masharti magumu.
Kweli hakuna masai albino, pacha, au mlemavu.Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
kwa hiyo nyie mnaoamini kuna lidingi flani mawinguni linatuona wote lipo kila mahali lina midevu flani hivi ndo mungu,Muafrika Hana dini.
Hauwezi ukasema mbuyu au mawe makubwa ndo Mungu wako utakuwa akili HUNA.
Hazikuwa organised kweli,kila watu walikuwa na dini tofautiHazijafutwa wala hazijawahi kuwepo.Hakukua na Organised Religion ndani ya Africa.
Okay mkuu, I was little triggered maana nimeshuhudia hayoIt was kinda joke mkuu, don’t take it that serious lol! Najua na ni mpingaji mzuri wa FGM
Hivi wewe ulikuwepo hizo zamani?Unaelewa mazingira ya maisha hiyo zamani?Tuanze na hilo kuua watoto wenye ulemavu.Kumbuka hali ya maisha ilikuwa duni na ilihitaji mtu awe timamu kimwili ili aweze kumudu maisha sasa unapoona mtu hawezi mudu hayo kutokana na hali yake ya ulemavu unaamua kumuua ili apumzike badala ya kuishi kwa msoto.Hilo lilifanyika Sehemu nyingi duniani katika zama zile duni.Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.
Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Sio mawinguni hata ulipo hapo yupo.kwa hiyo nyie mnaoamini kuna lidingi flani mawinguni linatuona wote lipo kila mahali lina midevu flani hivi ndo mungu,
mna akili so.
basi hata kwenye mbuyu na mawe makubwa yupoSio mawinguni hata ulipo hapo yupo.
Katika viumbe ambavyo havipaswi kumkataa mungu binadamu ni mmoja wapo.
Unajua umetoka na shahawa za baba Yako?