Ilikuwaje dini za Afrika zikafutwa kirahisi kabisa na dini za Wazungu na Waarabu?

Ilikuwaje dini za Afrika zikafutwa kirahisi kabisa na dini za Wazungu na Waarabu?

Hapana . tatizo unachoamini.
Ukiamini mawe makubwa na miti mikubwa umeshatoka kwenye imani ya mungu
si tumekubaliana Mungu yupo kila mahali,
Hao waliokuletea dini wenyewe walikuwa wanaabudu mawe jaribu kugoogle Stonehenge, na mpaka leo wanaenda kuhiji
 
Mkuu ushasahau tulipewa shanga tuunde tasbihi kama vile leo tunavyopewa scholarships na kufunguliwa acc Dubai, Mauritius, Jersey na Swiss leo hii then tunawapa gas yote na Nickel yote. Hatujabadilika, tunaweza kufutwa kabisa by ethnic cleansing mkubwa mmoja akuhakikishwa dollar bilioni hata leo. Ule unyani wa miaka ileeee bado tunao ati
 
Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.

Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Sio Imani zote za KiAfrica zilikosa utu, sio Imani zote ziliua watoto wachanga au kukeketa mabinti, Kuna makabila hata wanaume walikuwa hawatahiri.
Hapa hakuna dini mnaoongelea vitu tofauti na dini kutajiri au kutotahiriwa ni dini?

Kujua WATU walemavu ni dini?


Africa hakukuwa na dini kabla ya Hizo za kigeni tusidanganayane nitajie HIZo dini za Africa
 
Imani ya mungu mmoja ndo Iko sahihi.isiyokuwa na shaka
Mungu mmoja yupi?

Allah, Zeus, Krishna, Jesus, Brahma, Vishnu?

Kuna idadi kubwa sana ya Mungu wanaodaiwa kwamba ni sahihi, Sasa unathibitisha vipi huyo Mungu wa imani yako tu, ndio Mungu sahihi?
 
Mimi muislam.hilo swali WAULIZE wakristo
Lile dubwasha jeusi mnaloliita
Al kaaba, mnalolizunguka kama mmepandwa na ukichaa ndio Mungu sahihi yule?

Unaponda mababu wa kale kuabudu mawe na miti, wakati wewe mwenyewe, imani yako mnaabudu lile box jeusi kule Makka!!
 
Back
Top Bottom