Ilikuwaje dini za Afrika zikafutwa kirahisi kabisa na dini za Wazungu na Waarabu?

Sio dini tuu, tamaduni lugha na Kila kitu, tumetengeneza uzio kati yetu na mizimu ya mababu zetu waliokuwa wanatusaidia

Sasa hivi Idadi ya machizi imeongezeka, Matumizi yaliyokubuhu ya pombe na madawa ya kulevya . Zamani ilikuwa yakikukuta matatizo unakuta ni wazee mizimu imekasirika na ni kweli ukienda kufanya matambiko unaona kama mgonjwa kapona, kama ni biashara milango inaanza kufunguka. Sasa hivi nenda kuleoshi ufanye tambiko uone utakavyoshighulikiwa na viongozi wa dini kama ni muhaini

Sasa hivi tunafanyia matambiko ya kiarabu na kizungu ( ibada) ambayo tunaiga mpaka lugha zao, nguo zao, vyakula vyao, mpaka makenge mengine yanachubua ngozi na kubadili nywele waonekane ni wao lakini mizimu hiyo ya kiarabu na kizungu inatushangaa inazidi kutufanya maskini na kumwaga baraka Kwa watu wao

Sasa hivi mtu alienda ughaibuni aliambiwa aonyeshe utamaduni wake Kila Mmoja anajifanya mmasai maana ndio utamaduni pekee wanaouona mbaya wanakosea dressing code unakuta mwanaume anavaa maleba ya kike si hajui? si kaiga?
 
Muafrika Hana dini.
Hauwezi ukasema mbuyu au mawe makubwa ndo Mungu wako utakuwa akili HUNA.
Binafsi naheshimu sana imani ya mtu mwingine as long as haiathiri jamii inayomzunguka.

Wanaoamini jiwe, mbuyu au msitu kua ndio Mungu wao hawana tofauti na wanaoamini kwa Mungu asieonekana.
 
Sio dini tuu, tamaduni lugha na Kila kitu, tumetengeneza uzio kati yetu na mizimu ya mababu zetu waliokuwa wanatusaidia

Sasa hivi Idadi ya machizi imeongezeka, Matumizi yaliyokubuhu ya pombe na madawa ya kulevya . Zamani ilikuwa yakikukuta matatizo unakuta ni wazee mizimu imekasirika na ni kweli ukienda kufanya matambiko unaona kama mgonjwa kapona, kama ni biashara milango inaanza kufunguka. Sasa hivi nenda kuleoshi ufanye tambiko uone utakavyoshighulikiwa na viongozi wa dini kama ni muhaini

Sasa hivi tunafanyia matambiko ya kiarabu na kizungu ( ibada) ambayo tunaiga mpaka lugha zao, nguo zao, vyakula vyao, mpaka makenge mengine yanachubua ngozi na kubadili nywele waonekane ni wao lakini mizimu hiyo ya kiarabu na kizungu inatushangaa inazidi kutufanya maskini na kumwaga baraka Kwa watu wao

Sasa hivi mtu alienda ughaibuni aliambiwa aonyeshe utamaduni wake Kila Mmoja anajifanya mmasai maana ndio utamaduni pekee wanaouona mbaya wanakosea dressing code unakuta mwanaume anavaa maleba ya kike si hajui? si kaiga?
Mambo ya mizimu hadi sasa hivi yapo, wapo wanataabika wakifuatilia wanakuta kuna mizimu huko ina asili ya uchawi inataka mtu awe mchawi.
 
Dini ya mwarabu imekiharibu kiswahili kwa killkisilimisha kwa kubadili maneno ya kibantu na kuweka ya kiarabu. Sijui ilikuwa ni mpango gani hata baada ya kuondoka waarabu taasisi ya kupendeleza lugha wengi walikuwa viongozi wa dini na Kila kitu kipya kinapoibuka basi hutafutiwa msamiati wa kiarabu kama MUBASHARA, SHARUBATI nk wakati tuna makabila zaidi ya 50 na ingekuwa rahisi kupata neno la kibantu au kabila linguine lisilo la kibantu
 
Mungu haumjui vpi wakati amekuletea vitabu vyake?
Niambie mbuyu au mawe makubwa yana vitabu ?

Wewe lini Mungu alikuletea kitabu Mkuu?
Unajua huna tofauti na wanaobudu mibuyu?

Yaani MTU aandike kitabu akuletee akuambie amepewa na Mungu. Kwa nini hukumuuliza huyo Mungu asikuoe kitabu yeye mwenyewe? Mpaka ukelewe na third part
 
Jibu ni jepesi, kwasababu dini au inami za kiafrika zilikosa utu na ustaarabu.

Imagine watu Wana tamaduni za kuuwa watoto wachanga wenye kasoro za ulemavu, imagine watu wanakeketa mabinti bila sababu za msingi.
Mwafrika ni kundi la binadamu wa hovyo sana
 
Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k

Nini kilisababisha dini za Waafrika kuwezekana kufutwa kirahisi na kumalizwa kabisa na dini mpya za wageni?
Makosa ni yaleyale hadi leo TUNASHINDWA KULEKEBISHA VYA KWETU TUNAISHIA KUTUMIA VYA WAGENI
 
Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k

Nini kilisababisha dini za Waafrika kuwezekana kufutwa kirahisi na kumalizwa kabisa na dini mpya za wageni?

Religions were engineered to maintain social order and protect the interests of authorities, many scholars and believers argue that faith primarily evolved to explain natural phenomena, foster tribal cohesion, or provide spiritual liberation
 
Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya kale kama China, Japan na India pamoja na mengine kama Vietnam, Korea, Nepal, Thailand, Mongolia n.k

Nini kilisababisha dini za Waafrika kuwezekana kufutwa kirahisi na kumalizwa kabisa na dini mpya za wageni?
Walifanikiwa kutawala mifuko ya Uongozi na hivyo kuweza kubadili utaratibu wa Kijamii kupitia shule,na dizi zao.

Ukitawaliwa huna chako ,inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom