Wayahudi sio wazungu
Waliishi hapo miaka mingi sana ya nyuma kilichofanya watawanyike na kupotea eneo hilo ni laana ya kuwakataa manabii wa Mungu na kumuua Yesu
Ona maneno ya Yesu aliwachana bila kuficha Wayahudi (Waisraeli)
MATHAYO 23:37, 38
37. Ee Yerusalemu, Yerusalemu! Unayewaua manabii. Unawapiga kwa mawe wale ambao Mungu amewatuma kwako. Mara nyingi nimetaka kuwasaidia watu wako. Nimetaka kuwakusanya watu wako kama kuku anavyowakusanya vifaranga wake chini ya mbawa zake. Lakini hukuniruhusu kufanya hivyo.
38. Sasa Hekalu lako litaachwa ukiwa kabisa.
Hii ilikuwa ni laana kwa taifa la Israeli la kale na kuanzia hapo wakawa watumwa kwa taifa la Roma (Roman Empire) na wakatawanyika kutoka pale Israeli kwenda maeneo ya Ulaya.
Eneo lao likawa ukiwa
Baadaye ardhi/eneo lao likachukuliwa na Wapalestina chini ya Ottomon Empire kuanzia 1517 baadaye Waingereza wakalipora mwaka 1917 lakini likiwa bado chini ya mamlaka ya Palestina
Baada ya miaka mingi ya kutangatanga, kubaguliwa na mateso huko Ulaya, Marekani na maeneo mengine duniani, Wayahudi wakarudi kinguvu mwaka 1949 wakipewa support ya UN, Marekani na Uingereza kuwaondoa Wapalestina wakidai ni nchi yao ya ahadi kwenye movement iliyoitwa ZIONISM MOVEMENT[/I]