FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hao walichokwa na Wakristo wa Ulaya kwa chuki zao kwa Ukristo ndiyo wakatafutiwa eneo katika tawala ya Uingereza. Hitler aliwauwa wengi sana na nchi zingine za Ulaya na Marekani hawakauwa tayari kuwa eneno la kuwaweka kwa jili ya ubaguzi wao wa kidini.Pale Mashariki ya Kati pamezungukwa na Waarabu, halafu katikati kuna wazungu wanasema ni nyumbani pao, wanajiita Israel.
Hawa wazungu wametokea wapi? Kama wao ni watoto wa Ibrahim, Ibrahim alikuwa mtu wa Uru ya Wakardayo, àlmbayo ni Iran ya leo. Iran sio wazungu.
Hawa Waisrael wazungu wametokea wapi?
Kumbuka Wapalestina ndiyo wenye funguo rasmi za sehemu zao za ibada za asili za Wakristo, Wayahudi na Waislam hapo Jesrusalem.
Kwanza ilipangwa waletwe Uganda kukawa na mvutano, ikaamuliwa wapelekwe hapo Palestina.