Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Duuh, mungu kaamua kujificha kudadekBiblia inasema Yesu alikuwa mweusi. Missing Kemet ilikuwa ya watu weusi ndio maana ilikuwa rahisi kwa Yesu kwenda kujificha Misri alipotaka kuuwawa na Herode. Huwezi kujificha kwenye jamii ambayo hamfani rangi