Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Israel ni watu weusi.Pale Mashariki ya Kati pamezungukwa na Waarabu, halafu katikati kuna wazungu wanasema ni nyumbani pao, wanajiita Israel.
Hawa wazungu wametokea wapi? Kama wao ni watoto wa Ibrahim, Ibrahim alikuwa mtu wa Uru ya Wakardayo, àlmbayo ni Iran ya leo. Iran sio wazungu.
Hawa Waisrael wazungu wametokea wapi?
Biblia inasema Yesu alikuwa mweusi. Missing Kemet ilikuwa ya watu weusi ndio maana ilikuwa rahisi kwa Yesu kwenda kujificha Misri alipotaka kuuwawa na Herode. Huwezi kujificha kwenye jamii ambayo hamfani rangiIsrael ni watu weusi.
Wazungu wanahijack historia....
Kwahyo bila hao huwezi kuleta majibu?
Israel ni watu weusi kivipi?Israel ni watu weusi.
Wazungu wanahijack historia....
Yaani saundi ni nyingi kuliko uhalisiaMuda wa hadithi za kutunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akikujibu ni taggKwahyo bila hao huwezi kuleta majibu?
Wamisri ni weusi?! Wapi Biblia imesema Yesu alikuwa mweusi mkuu!Biblia inasema Yesu alikuwa mweusi. Missing Kemet ilikuwa ya watu weusi ndio maana ilikuwa rahisi kwa Yesu kwenda kujificha Misri alipotaka kuuwawa na Herode. Huwezi kujificha kwenye jamii ambayo hamfani rangi
Hapa panahitaji elimu kdgWamisri ni weusi?! Wapi Biblia imesema Yesu alikuwa mweusi mkuu!
Ni wavamiziInakuwaje bara ni la Africa ila waarab ndio wengi kuliko weusi?
Wapi Yesu anaongea na wazungu?Wayahudi sio wazungu
Waliishi hapo miaka mingi sana ya nyuma kilichofanya watawanyike na kupotea eneo hilo ni laana ya kuwakataa manabii wa Mungu na kumuua Yesu
Ona maneno ya Yesu aliwachana bila kuficha Wayahudi (Waisraeli)
MATHAYO 23:37, 38
37. Ee Yerusalemu, Yerusalemu! Unayewaua manabii. Unawapiga kwa mawe wale ambao Mungu amewatuma kwako. Mara nyingi nimetaka kuwasaidia watu wako. Nimetaka kuwakusanya watu wako kama kuku anavyowakusanya vifaranga wake chini ya mbawa zake. Lakini hukuniruhusu kufanya hivyo.
38. Sasa Hekalu lako litaachwa ukiwa kabisa.
Hii ilikuwa ni laana kwa taifa la Israeli la kale na kuanzia hapo wakawa watumwa kwa taifa la Roma (Roman Empire) na wakatawanyika kutoka pale Israeli kwenda maeneo ya Ulaya.
Eneo lao likawa ukiwa
Baadaye ardhi/eneo lao likachukuliwa na Wapalestina chini ya Ottomon Empire kuanzia 1517 baadaye Waingereza wakalipora mwaka 1917 lakini likiwa bado chini ya mamlaka ya Palestina
Baada ya miaka mingi ya kutangatanga, kubaguliwa na mateso huko Ulaya, Marekani na maeneo mengine duniani, Wayahudi wakarudi kinguvu mwaka 1949 wakipewa support ya UN, Marekani na Uingereza kuwaondoa Wapalestina wakidai ni nchi yao ya ahadi kwenye movement iliyoitwa ZIONISM MOVEMENT[/I]
Ufunuo 1 verse 14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto. 15 Nyayo zake zilikuwa kama shaba inayongʼaa, katika tanuru ya moto, nayo sauti yake ilikuwa kama mugurumo ya maji mengi.Wamisri ni weusi?! Wapi Biblia imesema Yesu alikuwa mweusi mkuu!
Kwa hiyo huyu ni Yesu alionwa na Yohana kwenye ufunuo🤔 tuelimishe polepole mkuuUfunuo 1 verse 14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto. 15 Nyayo zake zilikuwa kama shaba inayongʼaa, katika tanuru ya moto, nayo sauti yake ilikuwa kama mugurumo ya maji mengi.
Tamu sanaMuda wa hadithi za kutunga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
pia kwa miaka mitatu walifanya huduma pamoja, Yohana alikuwa ni mwanafunzi wa Yesu na ndiye aliyekuwa mdogo kuliko woteKwa hiyo huyu ni Yesu alionwa na Yohana kwenye ufunuo🤔 tuelimishe polepole mkuu