Ilikuwaje katikati ya nchi za Kiarabu pawe nyumbani pa Wazungu?

Sijaelewa....nieleze umelenga Nini kwenye hii habari ya Absalomu
 
Sasa hapa usichoelewa Nini bro?keshasema yeye ni mweusi mweusi Kwa vile kapigwa na jua.sasa wewe unadhani ni black Mandingo?
 
Biblia inasema Yesu alikuwa mweusi. Missing Kemet ilikuwa ya watu weusi ndio maana ilikuwa rahisi kwa Yesu kwenda kujificha Misri alipotaka kuuwawa na Herode. Huwezi kujificha kwenye jamii ambayo hamfani rangi
Hilo mbona lipo wazi. Hao wanaopigana pale sasa sio native wa pale. Waarabu qameenda maeneo yao miaka ya karibuni wakati wa expansion ya Ottoman Empire. Hao wazungu wamekuja majuzi to 1900's
 
Unachanganya yohana mbatizaji na yohana mwanafunzi

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Ufunuo wa Yohana ni kitabu kilichoandikwa na Yohana mwanafunzi wa Yesu, sio Yohana Mbatizaji.

Yohana Mbatizaji alikufa kwa kuchinjwa na Herode hata kabla Yesu hajafa
 
Usisau na kugusia jinsi mafalasha wa Ethiopia walivyohamishwa kwenye 1970-80s
 

jichetue lakini jibu unalijua??…
 
Inakuwaje bara ni la Africa ila waarab ndio wengi kuliko weusi?
Sababu kuu hao waarabu ni wavamizi ambao hawana miaka mingi hapa Africa tangu wavamie.

The same way kwa hao wajiitao wayahudi waliopachikwa hapo palestina na UN baada ya kukosa eneo la kimkakati la kuwapeleka ndugu zao wakawe chambo ya kuharibu historia ya dunia kuhusu ukweli wa Hadithi za wayahudi wa kweli.

Hawapo hapo bahati mbaya bali kwa mipango ya hao hao wazungu, kwanza kupotosha historia ya watu weusi, pili kisiasa na kiuchumi ndio sababu ya wao kupora hiyo ardhi ya wapalestina.

Huyo wanaemuita ibrahimu, kuwa ndie baba yao, huo ni uongo maana ibrahimu hakuwai kuishi Asia wala hakuitwa ibrahimu na hakuwa mtu weupe, pili hata huyo ishmael hana uhusika wowote na mataifa ya uarabuni kwakuwa alikuwa mweusi ambaye historia yake imepotoshwa na hao wazungu walioshirikiana na muhamad kuunda hiyo dini ya mchongo.

Watu weupe wameiharibu sana hii dunia kwa kila kitu.

Kwa bahati mbaya hawa jamaa wanacontroll kila kitu dunian hivyo haya mambo ni ngumu kuyajua maana wamekamata akili za watu kuanzia mashulen mpka ktk hizo dini.

Ni Bahati sana kufikia hatua mtu unakua neutral yaani hujashikwa kidini wala kielimu basi unakuwa na Free will ya kuamua na kujua kipi kweli na kipi si kweli maana unakuwa nje ya mahaba ya vifungo vya hao jamaa kidini, kisiasa, kiuchumi mpaka kiakili na kiroho.

Ngumu sana kwa kizazi chetu kuutambua ukweli, 90% ya kila jambo duniani ni Uongo.
 
Tumia historia kuonesha kuwa hao wayahudi fek walikuwepo hilo eneo kabla ya kupachikwa hapo na UN miaka ya 1947.

Pili tumia ushahidi wa kisayansi kwa kufananisha Vinasaba kati ya hao wayahudi fek na wakazi wa huo ukanda, maana kiuhalisia mtu yeyote wa ukanda wako ni lazma mtafanana vinasaba sababu ya kushare miunganiko ya kijamii , ama taratibu za kimila na tamaduni.

Tatu ukitumia biblia utaona kuwa inawakataa hao wayahudi feki maana biblia inasema wayahudi wa kweli walipelekwa utumwan kwa melikebu(mashua) kwa kufungwa minyororo shingoni na miguuni na kupelekwa dunia nzima mbali na ardhi yao, kihistoria hao wayahudi hawana ushahid wa kuwekwa utumwan(Soma historia), ni mtu mweusi tu ndiye aliyepelekwa utumwan kwa zaid ya miaka 400 mbali na afrika ni muafrika tu ambaye kaenea dunia nzima, pia kibiblia ardhi ya israel ya kweli ni kubwa yenye rasilimali nyingi za madini, ardhi yenye rutuba, maziwa, bahari na wanyama, je hilo jangwa lenu hapo middle east lina ukubwa gan? Lina hata ardhi yenye kustawisha mimea? Kuna wanyama huko?

Jaman msikubali kuwa wafuata upepo, tumezaliwa ktk dini ambazo wazazi wetu wameturithisha kwa ujinga wao na sisi tusikubali watoto zetu warithi upumbavu wa aina hii, utumwa wa kimwil uliisha umebaki huu utumwa wa akili ambao wazungu wanautumia kuwaaminisha mambo ya uongo huko makanisan na misikitini bila kusahau mashuleni.

Soma vzuri historia ya dunia ukishindwa rudi hapa nikupe ushahidi wa kupinga huo upumbavu mliolishwa makanisani na mashuleni
 
Yaan hujui kitu kuhusu historia ya hawa watu, nikikwambia urudi miaka 2000 iliyopita unioneshe ktk ardhi hiyo ni nan alikuwa mkazi(kihistoria) wa hiyo ardhi utaweza?

Maana kibiblia mmeaminishwa miaka hiyo ktk hiyo ardhu alikuwepo Yesu na mitume kadhaa, lkn kihistoria miaka hiyo ardhi hiyo palikaliwa na waarabu ambao ndio hao wapalestina nao hiyo ardhi sio mali yao halali maana ukanda huo ulikuwa mali ya mtu mweusi.

Unatakiwa ujuwe kuwa baada ya vita vya dunia vya pili hao jamaa walitafutiwa eneo la kuwekwa East afrika ikashindikana na ndio muendelezo wa wayahudi kuchukiana na idd amini, baada ya wazungu kukosa eneo la kuwapeleka hao wakimbizi ambao kimsingi ni raia wa ulaya haswa uturuki basi wakaingia kibabe hapo palestina ambako tayari ilikuwa nchi ya waarabu pia kulikuwako na wazungu ambao walikuwa na viwanja huko na ndio sababu ya hawa watangulizi wa kizungu kuwagawia ndugu zao maeneo huko, maeneo mengine wakajenga mahekalu na mengine kujenga hiyo Yerusalemu feki na makaburi feki ikiwa kama Historical sites ya kuwadanganya watu kuwa eneo hilo walishakuwepo.

Kigezo kikuu walichotumia kurudi hapo ni biblia ambayo ilishaharibiwa na wao wenyewe kupitia mroma kwa kuEdit na kuondoa vitabu vya muhimu na uku wakipachika story za uongo ambazo ukitumia akili kusoma unagundua huo uongo.
 
Alikuwa kijana mzuri wa sura lakini mwenye HILA NA FTINA NA TAMAA SANA
 
Wimbo ulio bora hutumika kutongozeabinti za kilokole
 
Inakuwaje mtu anaamini wayahudi ni wazungu???

Inakuwaje mtu hajui hata hao waarabu Wengi wametoka Greece??
Kiarabu, kiyaudi ,kiharmaric, tigray ni lugha zenye asili Moja.

Zote ni Semitic language, Sasa inakuwaje watoke Uyunani?
 
Asili ya Waisraeli, pia wanajulikana kama Waisraeli wa Kiyahudi, ni mada ngumu na ina historia ndefu. Hapa kuna muhtasari wa kihistoria wa asili yao:
  1. Mwanzo wa Taifa la Israeli: Katika Biblia, imeelezwa kwamba taifa la Israeli lilianza na Ibrahimu (Abraham), ambaye aliongozwa kutoka Uru wa Wakaldai kwenda Kanaani na ahadi ya Mungu ya kuwapa ardhi hiyo kwa urithi. Huyu alikuwa miongoni mwa watu wa kale wa Mashariki ya Kati.
  2. Kipindi cha Kutawala Misri: Baada ya muda, wazawa wa Ibrahimu walikwenda Misri kutokana na njaa. Walisalia huko kwa muda mrefu na hatimaye wakawa watumwa.
  3. Kutoka Misri: Kiongozi wa kidini na kisiasa, Musa, aliwaongoza Waisraeli kutoka utumwani Misri. Hii ndiyo inayojulikana kama Kutoka au Exodus.
  4. Kuingia Kanaani: Baada ya miaka mingi ya kutembea jangwani, Waisraeli walifika katika nchi ya Kanaani, ardhi ambayo Mungu aliwaahidi.
  5. Historia ya Mataifa ya Israeli: Baada ya kuingia Kanaani, Waisraeli walikabiliana na wakazi wengine wa eneo hilo, wakiwemo Wakanaani. Walijenga ufalme wao wa kwanza chini ya wafalme kama Daudi na Sulemani.
  6. Ugawanyiko na Uhamiaji: Baada ya muda, ufalme wa Israeli uligawanyika kuwa Ufalme wa Israeli (Kaskazini) na Ufalme wa Yuda (Kusini). Kwa sababu za kihistoria, Waisraeli wa Kaskazini walitawanyika na kuwa wakimbizi, ambao wengine walipoteza utambulisho wao wa kikabila.
  7. Ukupande wa Dini: Kwa miaka mingi, dini ya Kiyahudi ilicheza jukumu muhimu katika kuunganisha jamii ya Kiyahudi, hata kati ya wakimbizi na wageni. Dini hii ina msingi wake katika historia ya awali ya Waisraeli.
  8. Kurejea Kwa Wayahudi: Karne ya 19 na 20 ilishuhudia Waisraeli wengi kutoka ulimwengu mzima, pamoja na Ulaya, kuanza kurudi katika ardhi ya Kanaani na kujenga tena taifa la Israel. Hatimaye, taifa la Israel la kisasa lilipatikana mwaka 1948.
Hivyo, kihistoria, Waisraelil wamekuwa na uhusiano wa karibu na Mashariki ya Kati, ingawa asili yao inachanganya mambo ya kihistoria, dini, na uhamiaji. Kwa sasa, Israel ni nchi ya kisasa katika eneo hilo lenye utajiri wa historia na tamaduni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…