Ilikuwaje katikati ya nchi za Kiarabu pawe nyumbani pa Wazungu?

Endelea babu au umemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona umeona wazungu TU. Mbona huzungumzii Arab Jews au black Jews au Persian Jews we umewaona hao ashkenaz tu kwanini?
 
Kwahiyo umehitimisha kwamba Waisraeli ni wazungu?[emoji23]
 
Ibrahim alipotoka kwao aliambiwa na Mungu aende kwenye nchi atakayoagizwa. Huko alikuta watu (natives).
Kwa hiyo hawa wenyeji ndio wenye eneo lao
 
Ndio maana Uislam ni dini inayokuwa kwa kasi, Maandazi Road kuna binti wa kipemba ana watoto 17
 
Safi sana mwalimu wa historia
 
Ibrahim alipotoka kwao aliambiwa na Mungu aende kwenye nchi atakayoagizwa. Huko alikuta watu (natives).
Kwa hiyo hawa wenyeji ndio wenye eneo lao
Mungu alimuahidi Ibrahim miaka mingi sana kuwa wazao wake au kizazi chake kingerithi nchi hiyo. Mpaka anakufa akuona ahadi hiyo ikitimia.

Baadaye WAKANAANI wakaenda kuishi hapo kabla ya ahadi ya Mungu kutimia.

Inaweza kusemwa kwamba Wakanaani walikuwa wakaaji wa nchi ambayo haikuwa yao, tayari Mungu alipanga Waisraeli waishi hapo

Kizazi cha kipindi cha YOSHUA ndicho ambacho kiliona utimizo wa maneno ya ahadi hiyo aliyopewa babu yao Ibrahim miaka mingi iliyopita

Mungu aliruhusu Wasraeli wakiongozwa na jemedari Yoshua kuwaangamiza WAKANAANI na kutwaa eneo hilo.

Moja ya WAKANAANI waliopona kwenye shambulizi hilo ni yule kahaba RAHABU na familia yake

NB: WAKANAANI walikuwa wavamizi kwenye eneo ambalo tayari Mungu alipanga kimbele Waisraeli waende kuishi. Kwa hiyo natives ni watu wa kizazi cha Ibrahim (Waisrael)
 
Aisee! Kuna watu mko deep kasoro hamna mamlaka tu
 

Unaweza kuyasapoti maneno yako na viambatanishi vya ushaidi ! maana la sivyo zinakua n hisia mihemuko tu
 
Hapa umeandika uongo. Eti walikuwepo waarabu. Waarabu si wameenda miaka 1500's wakati wa expansion ya Ottoman Empire. Pamoja na kuandika kote umeshindwa kujua hilo au umejichetua?
 

Una uhakika waisrael ni wazungu mkuu…

Tazama hapa ili uanze kutoa hiyo idea yako ya kua ni wazungu!! mathalan hao waisrael wenye asili ya ethiopia wanafanana na wazungu??
 
Sawa mwanahistoria, umesema wayahudi waliondoka na baadaye ndio wakaja waarabu wa palestina, kumbe ardhi ni ya wayahudi sio waarabu
 
Wazungu bandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…