Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Alinambia "kumbe una komwe mchongoko kiasi hicho mahi wangu, mbona kwenye picha halionekani au ulilipeleka likizo".

Nikalia, nikabubujikwa machozii mimi. Chozi moja la jicho la kushoto likashuka likadodoka na kugonga mabuti yangu ya kimgambo. Akanisonkola na kidole kwenye kichwa huku akinifyonyaa....

Nililia, nilimwaga machozi pipa tatu, nikazimiaa nikajikuta nimelazwa wodi ya wagonjwa wenye upungufu wa maji mwilini chini ya usimamizi wa DR Mambo Jambo

Extrovert Poor Brain mshamba_hachekwi
😂😂😂😂😂😂😂 Ety chini ya usimamizi wa dr mambo jambo..

Mi nikajua ulikua under mzizi mkavu 😂😂😂😂😂😂😂
 
Bwana bwana , huyu alieleta mambo ya kuedit mapicha na mafilter kwa ujumla hakuwa na nia njema kabisa.

Hizi tamaa acha tu, nishawai ingia dating site moja huko nikaiimbisha Manzi ikaja Wasap Inbox huko ikatuma mapicha weee, bwana wee nikajisemea mtoto si ndiyo huyuu sasa na kwa jinsi alivyo basi nitamtuliza na kumfanya bibie wangu permanent na nitaacha kupapalika na mamanzi wengine[emoji3].

Toto toto kweli, jiuso zurii, ilo lirangi sasa[emoji3], shape fulani hivi isiyoumiza macho wala kukera watizamaji, kiufupi Toto HD Utra.

Basi bwana, nikaliimbisha toto tukakubaliana kutoka date, siku ilipofika muhuni niliipania siku nzima maandalizi ya kutosha sana nikijua nakwenda kumpokea mwali wangu ambaye kila mwanaume fisi hiyo ni ndoto kuwa na mpenzi wa sifa hizo.

Niishie kwa kusikitika tu, niliyoyakuta si yale niliyoyatarajia wala niliyoyaona katika picha na video zake.

Kiufupi walikuwa watu wawili tofauti kabisa isingelikuwa ile tabia ya kuongea nae kwa Voice call basi ningehitimisha kuwa yule mrembo wangu si huyo kigagura niliyeonana nae[emoji3][emoji3].

Serikali ingilieni kati haya mambo wanaume tunadanganywa sana.
 
filter ni utapeli kama utapeli mwingine.
 
Back
Top Bottom