Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
π€£π€£π€£Hiyo kaliUmenikumbusha nyimbo ya Rupert Holmes inaitwa Escape,(Pina Colada)
Rupert alikua kachoshwa na mke wake,akaamua atafute mwanamke MWINGINE amuoe,time hiyo hakukua na Simu Wala fb,so akanunua Gazeti kaficha utambulisho wake,akaweka tangazo kua anatafuta mwanamke,sifa asiwe smart sana awe na half brain,asiwe mlevi,hata kama anapenda yoga sio mbaya,Cha mwisho awe anapenda Pina colada (aina ya chakula)..
Akatokea mwanamke ambae ana sifa kama zile,nae kachoshwa na gume gume lake,wakapanga date kukutana,siku ya kukutana kaenda kukutana na mke wake.. wakachukuana wakarudi home..
π€£π€£π€£π€£π€£Sijawahi kukutana na pisi mbovu, kila niliyewahi kukutana nae kupitia hizi networks ana upekee. Japo mwaka fulani..dah, nilikutana na pisi moja hivi!! Kuna wanawake wazuri mkuu, nilijiona kabisa sipo ligi yakeπ€£π€£π€£
Namzidi gede, yeye ananizidi puaThubutuu..!
wakishua alafu achoke mkuu labda ulikutana na dem maskini akakuigizia maisha......Huyo manzi ukikutana nae tena wewe utamuonea yeye huruma kwa alivyo chokaaa.
Kuna demu wangu wa kishua aliniwacha kwa jeuri nimeonana nae mwaka jana amebaki Oohh wangu wa zamani sijui bado unanipenda?.
Nilimwambia kibwengo wewe mimi wa nini katafute urefu na uzuri kwanza ndio uje tuongee.
Kwahio ulikula kuku na kifaranga?2010. Kumbe nilikuwa nachati na mamake na siyo yeye japo nadhani walikuwa wanapokezana kutegemea na aliyekuwa na hiyo simu siku hiyo. Na kweli siku ya kuonana akaja mama yake dah!
Sitakaa nisahau japo baadaye wote watatu tuliishia kuwa marafiki sana. RIP mama Diana. Na Diana (M.D) po pote ulipo, mi bado nakukumbukeni sana wallahi! ππ

Nilijitutumua ila wapi mkuuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Haha ikawaje? Au ulirusha taulo. Ukaaga mashindano.
Hapana jamani. Haikuwa hivyo. Si kuku tu bali hata kifaranga sikula. Bagosha! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈKwahio ulikula kuku na kifaranga?
π€£π€£π€£π€£π€£Umenikumbusha nyimbo ya Rupert Holmes inaitwa Escape,(Pina Colada)
Rupert alikua kachoshwa na mke wake,akaamua atafute mwanamke MWINGINE amuoe,time hiyo hakukua na Simu Wala fb,so akanunua Gazeti kaficha utambulisho wake,akaweka tangazo kua anatafuta mwanamke,sifa asiwe smart sana awe na half brain,asiwe mlevi,hata kama anapenda yoga sio mbaya,Cha mwisho awe anapenda Pina colada (aina ya chakula)..
Akatokea mwanamke ambae ana sifa kama zile,nae kachoshwa na gume gume lake,wakapanga date kukutana,siku ya kukutana kaenda kukutana na mke wake.. wakachukuana wakarudi home..
Namzidi gede, yeye ananizidi pua
πAsante mkuu tumejifunza kupitia wewe
π€£π€£π€£Nilijitutumua ila wapi mkuuπ€£π€£
Guede humpati hata robo
π€£π€£π€£π€£kukutana na mtu mtandaoni ni kubet tu, maana huwezi jua utakutana na kitu gani! ephen_ utakuwa umemuelewa sana, inabidi life jitu hapoπ€£π€£π€£π€£π€£
Kuna dem mmoja Enzi hizo SIM sio smart alikuwa nesi mbulu huko, SASA anasauti tamu Kama Diva anamzidi kidogo ephen_
Akaja town SASA kumchek mshikaji tukaenda kumpokea ubungo terminal miaka hiyo haha mweusi chunusi zakutosha kibonge flan hivi hasomeki.
Jamaa alizima simu tukapotea