Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Fb hyo km miaka 10 hv iliyopita aliniambia nilifikiri utanikimbia na alinitahadharisha nisije kumtelekeza akifika ni mrembo wa sura na kimo ila shepu ni ya kchina hasaa.. hv ninavyongea kaolewa na mchina japo mawsiliano bdo yapo na akirudi mjini huwa ni muendelezo
 
Niliopoa manzi mtandaoni akanipa no zake tukaanza wasiliana kitu kizuri hakua anakaa mbali sana na ninakoishi mm Yani mwendo wa dk 30 Kwa daladala Tukapanga cku ya kukutana mhuni nkatuma nauli na demu akaja ila sasa daaah nilijua ni kabinti fln ila kumbe ni lidada sawa na shangazi Yani limenizidi miaka 12 Aiseee haya mambo acha tuu
 
Umenikumbusha nyimbo ya Rupert Holmes inaitwa Escape,(Pina Colada)

Rupert alikua kachoshwa na mke wake,akaamua atafute mwanamke MWINGINE amuoe,time hiyo hakukua na Simu Wala fb,so akanunua Gazeti kaficha utambulisho wake,akaweka tangazo kua anatafuta mwanamke,sifa asiwe smart sana awe na half brain,asiwe mlevi,hata kama anapenda yoga sio mbaya,Cha mwisho awe anapenda Pina colada (aina ya chakula)..

Akatokea mwanamke ambae ana sifa kama zile,nae kachoshwa na gume gume lake,wakapanga date kukutana,siku ya kukutana kaenda kukutana na mke wake.. wakachukuana wakarudi home..
🤣🤣🤣Hiyo kali
 
Sijawahi kukutana na pisi mbovu, kila niliyewahi kukutana nae kupitia hizi networks ana upekee. Japo mwaka fulani..dah, nilikutana na pisi moja hivi!! Kuna wanawake wazuri mkuu, nilijiona kabisa sipo ligi yake🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣

Haha ikawaje? Au ulirusha taulo. Ukaaga mashindano.
 
Huyo manzi ukikutana nae tena wewe utamuonea yeye huruma kwa alivyo chokaaa.

Kuna demu wangu wa kishua aliniwacha kwa jeuri nimeonana nae mwaka jana amebaki Oohh wangu wa zamani sijui bado unanipenda?.

Nilimwambia kibwengo wewe mimi wa nini katafute urefu na uzuri kwanza ndio uje tuongee.
wakishua alafu achoke mkuu labda ulikutana na dem maskini akakuigizia maisha......

yaani wakishua alafu leo akukumbuke huyo ni maskini tu hakuna ushua hapo
 
Umenikumbusha

Jamaa yetu Moja tukiwa advance pale Usagara sec Tanga !akachati na dem mmoja hivi,miadi ya kukutana ikafika!

Walipokutana Dem alikua kavaa baibui kaacha macho tu!!Sasa yuke dem alipomcheki akasema "ndio wewe kumbe"akaondoka bila hata salam Wala kufahamiana Kwa kina!

Mshikaji alikuja geto kadata sana!tukamtuliza!!

Bado namkumbuka jamaa
 
2010. Kumbe nilikuwa nachati na mamake na siyo yeye japo nadhani walikuwa wanapokezana kutegemea na aliyekuwa na hiyo simu siku hiyo. Na kweli siku ya kuonana akaja mama yake dah!

Sitakaa nisahau japo baadaye wote watatu tuliishia kuwa marafiki sana. RIP mama Diana. Na Diana (M.D) po pote ulipo, mi bado nakukumbukeni sana wallahi! 😁😁
Kwahio ulikula kuku na kifaranga?
 
hahaha, nakumbuka 2011, tumechati sana na mtu mtandaoni baadae kanilazimisha tuonane basi nikaamua kumfata huko kihonda kwa chambo morogoro...daa ile nimefika namuona tu nguvu ya mwili ikaisha yaani nikaona hatuendani kabisa...tukapiga stori sana baadae nilipoondoka tu nikaaga mpambano....alikuwa kama lulu maiko yaani..mzuri safi kabisa ila kuwekwa ndani awe mke wangu ukagoma, hata kuwa mpenzi moyo ukagoma yaani mbingu na ardhi...bahati nzuri naye alinielewa ishara zangu wala hakunitafuta tena
 
Umenikumbusha nyimbo ya Rupert Holmes inaitwa Escape,(Pina Colada)

Rupert alikua kachoshwa na mke wake,akaamua atafute mwanamke MWINGINE amuoe,time hiyo hakukua na Simu Wala fb,so akanunua Gazeti kaficha utambulisho wake,akaweka tangazo kua anatafuta mwanamke,sifa asiwe smart sana awe na half brain,asiwe mlevi,hata kama anapenda yoga sio mbaya,Cha mwisho awe anapenda Pina colada (aina ya chakula)..

Akatokea mwanamke ambae ana sifa kama zile,nae kachoshwa na gume gume lake,wakapanga date kukutana,siku ya kukutana kaenda kukutana na mke wake.. wakachukuana wakarudi home..
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilijitutumua ila wapi mkuu🤣🤣
🤣🤣🤣

Kuna dem mmoja Enzi hizo SIM sio smart alikuwa nesi mbulu huko, SASA anasauti tamu Kama Diva anamzidi kidogo ephen_

Akaja town SASA kumchek mshikaji tukaenda kumpokea ubungo terminal miaka hiyo haha mweusi chunusi zakutosha kibonge flan hivi hasomeki.

Jamaa alizima simu tukapotea
 
🤣🤣🤣🤣kukutana na mtu mtandaoni ni kubet tu, maana huwezi jua utakutana na kitu gani! ephen_ utakuwa umemuelewa sana, inabidi life jitu hapo🤣🤣
 
Back
Top Bottom