Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Ilikuwaje mara ya kwanza ulipokutana na mtu mliyechati mtandaoni kwa nia ya kuwa wapenzi?

Kuna aliyeniambia hatuendani kutokana na kazi yangu wakati huo, nikaona isiwe tabu nikapiga kimya. Baadaye ananitafuta baada ya kugundua nimepiga hatua. Nikaweka big no!

Kuna mwingine kwa style hiyo hiyo, hadi kuniambia ana mimba yangu, ila katika kuchanganua nikandua ni uongo. Nikamwambia aendelee na maisha yake. Alikuja kuniomba msamaha ila ikawa tabu kurudi reverse.

Mambo yalikuwa mengi sana mtandaoni.

Kuachana na mapenzi, mali zangu zote nilizonazo ikiwemo kazi yangu nimezipatia mtandaoni.

Hata utafiti huwa ninafanyia mtandaoni.
Asante mkuu tumejifunza kupitia wewe
 
Ilikuwaje?? Au ndio ulikutana na pisi ya haja ukaingia upepo
Sijawahi kukutana na pisi mbovu, kila niliyewahi kukutana nae kupitia hizi networks ana upekee. Japo mwaka fulani..dah, nilikutana na pisi moja hivi!! Kuna wanawake wazuri mkuu, nilijiona kabisa sipo ligi yake🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom