Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?

Bota alimshinda huyo mtu wa South Africa
 
Hapo ndipo nashangaa , kwamba Waislamu walimuona mwislamu mwenzako hafai wakamchagua Mkristo.
Waislamu wazamani hawakua wadini walikua ni pan africanists waukweli tofaut na hawa pro gen z pro arabs sidhan kama wangeweza kufanya mapinduzi matukufu ya zanzibar wangekua na mentality ya waislamu wa kizaz hiki
 

Ujinga mwingine huu..eti tunapasishwa. Are you serious? Na elimu bora ni ipi? Kupata cheti na kuitwa Professor wakati hujaelimika au kusoma kawaida, kuwa na skills na maarifa ya kupata majawabu ya changamoto za mazingira na kazi unazofanya?
Unaelewa nini kuhusu elimu? Kusoma na nkuona wengine sio watu na hawastahili kuishi sababu hawafanyi unayofanya wewe?

Unless usome na kuelimika, utaendelea kuwa mbumbumbu. Cheti sio kigezo cha mtu aliyesoma. Kama huamini endelea hivyo hivyo.

Na haina maana hakuna waliosoma kwenye hizi dini zetu. Wapo wengi wamesoma na kuelimika. Na wakiielewa dini, huenda mbali zaidi na kuwa fair na kuheshimu watu wengine.

Kwa vigezo vyote, wewe bado una ujinga mwingi ndani yako. Hebu kasome tena uelewe mambo ya dunia yanavyokwenda na kwanini dini yako ni kitu binafsi kwako, hakituhusu wengine.
 
Mwaka 1954 CCM ilikuwepo?!
 
Hapo ndipo nashangaa , kwamba Waislamu walimuona mwislamu mwenzako hafai wakamchagua Mkristo.
i dont think hio historia inakinzana na anachoongea ndugu Mohamed Said, kama umesoma kitabu chake before uhuru waisilamu walikua sambamba na Nyerere na hawakumbagua kwa dini yake, so hio hoja ina prove point yake kwamba waisilamu walimchagua Nyerere kama mwakilishi wao, ila alivyoingia madarakani baada ya uhuru akawapiga chini na kutaifisha mali zao wote na kutengeneza Bakwata.
 
Pumbas
 
Iko wazi, baada ya wazungu kuona harakati za waislam na vugu vugu la harakati za uhuru kupitia waislam ndipo wakapandikiza mtu wao, wazungu ni wajinga sana ingawa wanapita njia za welevu
 
Kuna bwege moja humu linadhani kuelimika ni kujua sana kiingereza, yaani limekazana kuwasema waislam kisa hawajui kiingereza, pumbav kabisa
 
Binafsi niligunduwa baadae kumbe aliyetuzidi wote ujanja alikuwa Muingereza, hata Ikulu Waingereza walimweka Nyerere kama kanyaboya tu.
. Mtawala wa Ikulu alikuwa mwanamke wa Kiingereza aitwae Joan Wicken.

Unalijuwa hilo?
Hii story na mimi nimewahi kuisikia kwenye kijiwe cha kahawa na kashata hapa Kurasini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…