Ilikuwaje Nyerere akamshinda Sykes?


Ilikuwaje huyo Sykes akaukubali kugombea na Nyerere?.
 
Kwaio unataka kusema Sykes alikua hakijui kuzungu (English language)
 
Mzee Mohamed Said tupe majibu tafadhali.
 
Mkuu, vuta subra. Kitabu cha kumbukumbu za Joan Wickens kilichozinduliwa DSM 2023 kitaachiliwa na wachapishaji Oxford University Press mwaka 2036 (miaka 30 baada ya kifo cha Joan).

Omba uhai tu na kumbukumbu njema ya bandiko lako. 🤔😄
 
Ile movement ya kudai uhuru ilihitaji mtu kama Nyerere, hakukuwa na namna zaidi ya Nyerere kuwa kiongozi wa TANU ili kazi iliyokuwa mbele yao iwe nyepesi
Ila baada ya hayo kilichotokea ndicho tulicho nacho sasa.

Kuna watu walitaka kina Hoya Hoya ndio waongoze. Kuna mambo yanataka watu wenye uwezzo na akili. Hoya Hoya tuendelee kushangilia Simba na Yanga.
Sio kuongoza nchi. Sehemu ya kutafakari, tunakimbilia kwa waganga wa kienyeji watupe maarifa 🤣 🤣 🤣 🤣 .
Kalagabaho kina sisi. Hoyaa Hoyaaa
 
Hizo porojo za Mohamed Said zisikupotezee muda, wacha aendelee kusomosha huku misikitini.

Yaani unataka kuniambia kina John Rupia, Chief David walikuwa swala tano ?.
Wengi walikuwa waislamu huo ndio ukweli hata ukiangalia picha nyingi za enzi za mapambano utaona mwalimu alikuwa na mashekhe muda mwingi wakiweka mipango ya kupigania huru hili labda ubishe kwa sababu zako za chuki
 
waingereza ndio walimchagua Nyerere , kama ulikuwa hujui !! Mpango wa kuunganisha zenji na Tanganyika Nyerere alipewa maelekezo na waingereza ila sio akili yake ....Unajua kwa nn?


Kumchagua Nyerere ndio mtu pekee alikuwa brainwashed angeweza kuendeleza mipango yao ya kuwa kibaraka "'Puppet'' ....
 
Mtu ana malaria 🦟 sisi tunaenda kupiga ramli chonganishi 😂
 
Kama walik
Kama walikubaliana kumwachia Nyerere kwanini waliingia kwenye kinyang'anyiro Hadi akwashindwa hata kama unasema ni kwa kura chache
 
Vyovyote vile ila kwa akili za kawaida sidhani kama mwingereza alikaa tu pembeni akisubiri hatma bila kulinda maslahi yake. Pamoja na yote JN amefanya kazi kubwa mno kuliunganisha taifa. Nchi haina deni naye.
 
Kumsaidia ndiyo kugombea naye uongozi? Si angejitoa? Huu ni uongo
 
mzee Mohamed Said
Alipata kusema kwamba kina sykes walimuachia nyerere uenyekiti ili kuweka sawa uislamu na ukristo, na tanu isionekane ya wakristo tu.
Cc JokaKuu Pascal Mayalla Mag3
 
halafu Nyerere alikuwa wakati sheikh atao kitabu alikuwa hai? mbona hakujibu?
 
Hao wamebobea kwenye uongo wa kiislamu ndio fani yao
Hili swala la waislam kupigania uhuru alioandika sheikh Mohd Said ingalikuwa uongo kanisa katoliki hasa Pengo angalikuwa ashaomba msaada wa kifedha vatikan ili wajibu hoja. lkn kwa sababu limekuwa gumu kwao ndio maana wapo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…