Ilikuwaje Rais Samia akamwamini asiye mwaminifu?

Tatizo viongozi wateule wote wanatakiwa kufanya kile rais anataka. Ukijaribu kuja na kitu kipya au ukafanya kazi vile unaona inafaa kufanyika utaishia kupigwa siasa tuu

Hii nchii siasa zimeshazidi utendaji kazi
Alikataa tozo
 
Huwezi kusema mimi nimeelekezwa hivi na kiongozi wa juu japo sikubaliani!!!
Unatakiwa ukubali kusimamia maamuzi ya serikali na kuyatetea la unajiuzulu.
Ndo kuolewa huko unalala unchi hamna namna hatauwe bingwa wa kujisitiri!!
Anyways huyumama hana njaa kashakula maela ya serkali yakutosha apumzike afanye yake.
Yote kwa yote yuko smart nadhani kuliko Sa100
 
Alafu mbona Balozi Mulamula kaegemea sana upande wa Baiden kuliko upande wa Kamala ambae ni Mwanamke mwenzie!!??

Huyo sio Kamala, bali huyo umuonae na mke wake Biden
 
Hiyo picha ya Liberata Mulamula akiwa na Joe Biden na Jill B ni ya lini na ya tukio gani? Liberata (66) ana ha.ki ya kutofautiana maoni na watu wengine. Namtakia huyo mstaafu amani na mafanikio baada ya utumishi wa kutukuka.
 
Mkuu hayati alimkataa kitambo baada ya kugundua ana uraia U.S ila BI KIZIMKAZI alikuwa anafanya vitu kama vile anamkomoa hayati, kana kwamba hayati alikuwa anawaonea.
Weka ushaidi? Nikionaga jitu linamshabikia mwendazake uwa nalidharau moja kwa moja.
 
Weka ushaidi? Nikionaga jitu linamshabikia mwendazake uwa nalidharau moja kwa moja.
Hivi wewe unahitaji ushahidi gani kwamba Samia alifanya mambo mengi kwa mihemko!? Kama wewe usiyemshabikia Mwendazake waache pia wanaomshabikia na uhuru wao! Samia alijua nchi hii kuendesha ni rahisi tu kama kukanda unga wa chapati! Na alijua akienda sana nje ya nchi ndo atafanya maajabu kaenda Marekani zaidi ya wiki mbili na royal tour yake fake lakini kama unavyoona hakuna jipya fully maruweruwe!
 
Hii ni title research au ni conclusion ya research
Watu wengi wanaongelea hili ingawa inajulikana kabisa kuwa "do not outshine your boss"
Tatizo linaanziaga hapo kwenye hiyo story ya boss. Lakini ukiwa leader unaowaongiza will never wana outshine u baadala yake watajituma kwa ajili yako.
 
Huwezi kumpenda JPM maana wewe unaukabila na ujinga kichwani! Sasa kama JPM ni kiazi Samia atakuwa nani? Si ndi kiazi kabisa kilicho oza!
Kauli gani hii unaitoa dhidi ya Rais wetu ambaye ni Head of state and commander in chief of our armed forces?!?! Jamani, jamani, jamani tuwe na staha kwa Rais wetu...tuache utoto...freedom of expression tuliyonayo isivuke mipaka...
 
Mmarekani na ushungi wapi na wapi?mengine ya kujitakia
 
Sleeper Agent...na Biden nae uzee umemzidi....kamuexpose asset yake...old scumbag
 
Tanzania ni nchi ya kulalamika na malalamiko...
 
Basi wale kondpo wakaimba
Miguu minne mizuri
Miguu miwili ni mibaya

Baada ya muda Kondoo wakaja na kiitikio kipya
Miguu minne mizuri
Miguu miwili mizuri zaidi
 
Piganieni Tanganyika yenu irudi apate kurudi Zanzibar
 
Huyu mama Mulamula inaonekana hana uswahili Swahili..umbea umbea na kujikomba. Sasa Samia anaona anadharauliwa. Ukiongezea na picha za Obama na Biden..ndo inakuwa balaa
 
Na kwa style hii haulambi teuzi watu wa vetting hawawezi kubali mtu ambaye ni bitter.
Aliyekwambia natafuta teuzi nani? Sera za Serikali ya awamu ya 6 ni rafiki kwa biashara nayofanya,hayo ya teuzi mtajua nyie mnaeitwa Chawa..

Mimi sio mwanaccm Wala upinzani bali ni mwananchi wa kawaida tuu ila SSH amenikosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…