Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Ilikuwaje ukalala na mke wa mtu?

Endelea kujidanganya eti ndoa ni muungano takatifu.

Daudi alikua anakula wake za watu hadi kuua waume zao na bado Mungu alisema ukimgusa Daudi ni sawa na kugusa mboni ya jicho lake.

Ibrahim alikua anakula house girl wake mchana kweupe na michepuko mingine bila shida yoyote na ndie mungu anaempenda.

Achana na kuhangaika na hadithi za kidini. Mke wa mtu akija kwako kutafta huduma ya kimwili mpe, wanawake wanapitia mengi inawezekana ndani mume hajampa mwezi ama hata miezi.
Nauhakika kama wa kawaida una miaka chini ya 30,kama umezidi 30+ nakusikitikia umeshindwa kuwa mtu mzima.kaka hakuna mbadala wala kubembeleza juu ya kuwa muadilifu ,unachofanya ni kama kusema unaweza kusoma sekondary huku unakula pombe ,na shetan mwema huwa anaachia wachache walevi wafaulu ili mtolee mfano mfeli 10000,Nahakika unawatoto wakataze haya
1.wasiibe cha mtu
2.wakaembali na wake za watu
3.wasinywe pombe
Tunajua hakuna ambae anaweza epuka yote ila jitahidi kadili allah atavyokujalia ,ila kamwe usivitetee,mm nalewa kila siku ila akiniuliza asiekunywa au wanangu nawambia pombe haifai .
 
Alikosea kupiga simu, nilimjibu vizuri tu sio mimi kakosea namba. Akapiga tena. Wewe ni mkarimu sana, halafu majina Yako yanafanana na ya Mr.
Nikasema sawa,
Siku ya pili akaniuliza uliza maswali nikamjibu vizuri tu.
Akaomba tuonane.
Tukapanga siku na muda, tukaonana lodge flan ubungo maziwa.
Mke wa mtu mama wa watoto wawili.
Ni mwanamke mwenye njaa sana.
Mpaka leo amsha amsha zipo.
 
Nauhakika kama wa kawaida una miaka chini ya 30,kama umezidi 30+ nakusikitikia umeshindwa kuwa mtu mzima.kaka hakuna mbadala wala kubembeleza juu ya kuwa muadilifu ,unachofanya ni kama kusema unaweza kusoma sekondary huku unakula pombe ,na shetan mwema huwa anaachia wachache walevi wafaulu ili mtolee mfano mfeli 10000,Nahakika unawatoto wakataze haya
1.wasiibe cha mtu
2.wakaembali na wake za watu
3.wasinywe pombe
Tunajua hakuna ambae anaweza epuka yote ila jitahidi kadili allah atavyokujalia ,ila kamwe usivitetee,mm nalewa kila siku ila akiniuliza asiekunywa au wanangu nawambia pombe haifai .
Hizo hadithi zako kawadithie watoto wako ama watu kama wewe wenye akili za kitoto. Mshauri huyo Allah ajijaalie mwenyewe ama aje mini nimjaalie.
 
Usiku ule tulitoka watatu tukaenda kupata bia mbili tatu.Tulikuwa mimi,yeye(shemeji) na rafiki yake.Tukiwa tunapiga vitu(pombe)shemeji kila saa akawa ananichokoza anamuulizia ulizia wifii yake nikajua hapa kuja jambo,tukiwa tunakunywa nikaanza kupitisha mikono kwenye mapaja manene meupe laini ya shemeji huku nikimsifia alivyonona,wala hakuwa mkali

Tuliendelea kupiga tungi mwishowe yule rafiki yake na shemeji pombe zilipomkolea akatukimbia(Ni kawaida yake).Tuliendelea kunywa na shemeji mpaka mida ikasogea tukaazimia tuondoke.Shemeji akataka nimsindikize nikasema sawa nikamsindikiza mpaka karibu na kwake lakini akaniambia karibu nyumbani na zile pombe nikakaribia kweli,nikakaribishwa mpaka ndani.Mmewe alikuwa anafanyia kazi mkoa wa mbali hivyo hakuwepo na watoto walikuwa boarding,basi nilikaribishwa mpaka chumba cha watoto tukalala huko,tukafanya ya kwetu.Nilidamka saa 11 niwahi kwangu wakuda wasije kuniona nikitoka mle asubuhisubuhi na kuconnect dots.Toka siku hiyo nikawa najipigia kika nitakapo.
Bora huyo alokupeleka chumba cha watoto. Huyo alipitiwa na yule shetani wao. Mengine kitanda chao yanapigia hapo hapo.
 
Endelea kujidanganya eti ndoa ni muungano takatifu.

Daudi alikua anakula wake za watu hadi kuua waume zao na bado Mungu alisema ukimgusa Daudi ni sawa na kugusa mboni ya jicho lake.

Ibrahim alikua anakula house girl wake mchana kweupe na michepuko mingine bila shida yoyote na ndie mungu anaempenda.

Achana na kuhangaika na hadithi za kidini. Mke wa mtu akija kwako kutafta huduma ya kimwili mpe, wanawake wanapitia mengi inawezekana ndani mume hajampa mwezi ama hata miezi.
Ila ukija liwa tako usitufiche. Useme uliwpa tako
 
Kwenye zama hizi za uzinzi,na jf iliyosaidia kuondoa stress,kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.
Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu,ilikuwaje?!
Kuombwa hela .... Kukopwa hela bila kulipa ukidai kujicjichekesha tuu mwsisho wa siku u found peace......to break even hivo tuu
 
Kuombwa hela .... Kukopwa hela bila kulipa ukidai kujicjichekesha tuu mwsisho wa siku u found peace......to break even hivo tuu
Haahaha una bahati wewe kama ukidai wanajileta kufidia mkopo. Mengine kwanza hayakopi yanaomba,na yanaijia alichoahidiwa baa zenye lodge,au getoni. Af unakuta ni buku 5,10
 
Kwenye zama hizi za uzinzi,na jf iliyosaidia kuondoa stress,kuna mengi. Najua wanawake ni wasiri sana,japo na wao wameangusha train nyingi sana.
Kuna wakati unajikuta umefanya jambo la aibu,kwa tamaa ya muda mfupi. Wapo waliokula kimasihara hata kwa wadada wadogo au single. Je, kwa mke wa mtu,ilikuwaje?!
🎼🎤Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka
Mtoto kauta-, mtoto kauta-
Mtoto kautaka, mtoto kautaka 🎶🎵
 
Hii unayosimulia ni ngano zilizozoeleka. Kina Daudi, Suleman na samsoni walikuwa wanagonga wake za watu sana lakini bado Mungu alikuwa anawatokea kupitia manabii na mitume. Sembuse sisi mitume yetu ni kina mwamposa na kiboko ya wachawi.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS.
Kuna mmoja hapo alimpenda mke wa soldier, akamtanguliza soldier mstari wa mbele akauawa. Huku nyuma mfalme akajibebea mke wa soldier. Eti Mungu akamind sana hicho kitendo ila akampotezea tu. Siku hizi mitume wetu wanagegeda wake zetu alafu Mungu katulia tu hana time nao kabisa.
 
Mlaumu mkeo, sijambaka, yule ni mtu mzima mwenye akili timamu, k ni yake so akiamua kumpa mtu mwingine mlaumu yeye, mimi ni mlaji, chakula kikiwekwa mbele yangu nakitafuna.
Ila ni risk kubwa sana unajiweka, ukibainika utajuta sana. Wanaume wengi huwa hawavumilii wake zao kuchapwa nje, utafanyiwa kitu mbaya sana. Afisa elimu wa halmashauri moja (miaka ya 1990s) aliwahi kupasuliwa kende kwa kukamatwa na mke wa mwalimu mmoja pale kijijini kwetu
 
Back
Top Bottom